Aliewapa jina mbumbumbu hakukosea na nashauri ajengewe sanamu pale Msimbazi au Bunju.
Haiwezekani mtu mwenye akili timamu ukawacheka TP Mazembe kupigwa 2 na waarabu wakati we mwenyewe timu yako...
Niko opposite kabisa na wanaosema kuwa Lakred ni mbovu. Kosa alilofanya katika goli la pili halifuti saves alizofanya kwa ubora kabisa. Pia nipo opposite wanaolalamika kuwa Baleke alikosa nafasi...
Kwa miaka mingi sana vilabu kutoka Tanzania vimekua si lolote si chochote kwenye soka la Afrika mpaka pale Simba SC walipo kata utepe kwa ku Qualify Group stage, kwa umri wangu ndio mara ya kwanza...
TAMKO TAKATIFU NA TUKUKA
Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa...
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola anaongoza kwa kutumia kiasi kikubwa cha fedha katika maisha yake ya ukocha kufanya usajili, akiwa kwenye nafasi ya Kocha Mkuu kwenye klabu zote alizotumikia...
Leo nimemsikia Shaffih Dauda akiongelea mchezo wa Simba na Power Dynamo,.anahofu kuwa kuna mgogoro ndani ya klabu ya Simba, kwamba hawako pamoja, bado wale walioshindwa uchaguzi wana kinyongo...
Winga huyo wa Manchester United alifunguliwa mashtaka na Wanawake watatu ya unyanyasaji na kuwashambulia, hiyo wamebaki wawili katika mchakato huo.
Antony (23) kwa sasa yupo nje ya majukumu ya...
Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Simba Sc na uongozi wake kiujumla kwa hatua hii kubwa.
Kwa mujibu wa Orodha ya shirika linalohusika na Takwimu za kimichezo duniani IFFHS, Iliyotoka mapema jana...
Kombe La Shirikisho la CAF mkondo Wa Kwanza.
Singida Big Stars inayojulikana pia kwa jina la Singida Fountain Gate inarusha Karata yake mbele ya Future FC ya Egypt ikiwa Kiwanja chake cha...
Hapa wanaandika eti Simba imerejea nyumbani kinyonge?
Simba ilifungwa? Hapana
Imeshatolewa CAF CL? Hapana
Ina nafasi ya kusonga mbele? Ndio tena kubwa
timu imetoa sare ya goli 2-2, yaani hata...
Hàbari za Jumapili wapendwa.
Nimetafakari sana juu ya mechi ya jana kati ya Utopolo vs Refugees na kugundua mechi ile haikuwa na hadhi ya kuitwa CL Africa bali ni Kagame Cup kwa kuwa wale jamaa...
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amefanya ziara Uwanja wa Benjamin Mkapa hivi Septemba 17, 2023 jijini Dar es salaam kujionea ukarabati wa uwanja huo ambao...
Mwanariadha wa kimataifa Gabriel Gerald Geay ashindwa kumaliza baada ya kupata changamoto ya kiafya kuanzia kilomita 30 na alipofika kilomita 35 akashindwa kuendelea na kapumzika.
Walichoandika...
Maamuzi aliyoyafanya feisal december muda ndo unatuonyesha yalikua yakijinga sana
Feisal ni kweli analipwa mshahara mdogo ila ni ukweli uliowazi ukitaka kuondoka kihuni vile ni timu chache...
Leo Simba na Yanga zimecheza hatua ya pili ya mtoano (klabu bingwa Afrika) zikiwa ugenini, Simba ikitoa sare kwa taabu sana dhidi ya Power Dynamos ya Zambia na Yanga ikipata ushindi wa kawaida wa...
Singida Fountain Gate FC was amazing Leo. Despite the fact that wapo economically below the top 3. I I'm very happy for them. Congratulations to them. Good luck in Egypt.
Kipa Ayubu hana tatizo tena kwa Kumuona jana tu nimegundua ana Uimara mkubwa kuliko Mnafiki Mtoto aliyeko ambaye jana baada ya Goli la Pili alikuwa akimcheka Benchini na Mchawi Mwingine aliyeko...
Nimeona hii interesting Article jinsi Pele alivyojaribu ku-conquer US.., Interesting Read.... Inaonyesha all the different Peles: Pele the Deity, Pele the Brand, Pele the Soccer Evangelist, Pele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.