"Alex Luambano kiukweli nchi ni nzuri na tumefika Salama hapa Kigali Rwanda, ila tatizo Kubwa tunalolipata ni wengi wetu kurokujua Lugha ya Kiingereza kiasi kwamba tunalanguliwa mno Bei ya Taxi"...
Za weekend Wakuu,
Kuna hii kampuni mpya ya kubet inaitwa Bonus bet. Nliona wamekuja vizur na offer zao za ku deposit plus odds unaweza kujiongezea kidogo.
Ila Sasa tabu yao Ukitaka ku deposit...
Sababu ni moja tu hawajawahi kamwe kuwa na bahati na Timu za Sudan na Mpira wa Wasudani Siku zote umekuwa ni wa Kimkakati zaidi na huwa Hawarogeki kirahisi tena na Uchawi wa Timu za kutoka Afrika...
𝙔𝘼𝙉𝙂𝘼 𝙔𝘼𝙒𝘼𝙁𝙐𝙏𝘼 𝙈𝘼𝘾𝙃𝙊𝙕𝙄 𝙒𝘼𝘼𝙏𝙃𝙄𝙍𝙄𝙆𝘼 𝙈𝘼𝙁𝙐𝙍𝙄𝙆𝙊 𝙍𝙒𝘼𝙉𝘿𝘼
Klabu ya Yanga imekabidhi mifuko 200 ya saruji na bati 70 kwa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) hapa Kigali kwa ajili ya waathirika wa...
Ni muendelezo wa kuwafunga midomo wale wote waliokuwa wanabwata ya kwamba kombe la shirikisho lilikuwa na timu dhaifu, kwa walioangalia mpira wa Al ahly na USM alger atakubaliana na mimi ya kwamba...
Al Merrikh ya Sudan wakitumia Uwanja wa Pele Kigali watawaalika Young Africans ya Tanzania katika mchezo wa mkondo wa kwanza kufuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Africa.
Ni mchezo wa aina yake...
Ewe Mola kama tayari tumeshawapa Waarabu Bandari yetu basi kwa Upendo wako huo huo GENTAMYCINE nakuomba Uwabariki pia na Waarabu wengine ili leo nao Waweze Kumiliki Jangwa la Mtoni kupitia...
Wiki hii nimejaribu kufanya uchambuzi wa kina Kwa mechi hii ya mnyama na timu ya power Dynamo
Matokeo yatakuwa kama ifuatavyo
Simba kutokana na kuwa na ulinzi dhaifu wataruhusu goli 3 pia...
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe ambae anasema Raisi huyo wa Yanga aliamua kufanya hivyo kuondoa usumbufu na pi imesaidia kukabiliana na zile njama/mbinu za kupandisha...
Nimefika mahali nikakuta mashabiki wa Simba wanafurahi kwa ushindi wa leo wa yanga nikastaajabu!
Nilipouliza huu urafiki umeanza link,wakasema kila yanga ikishinda wanapewa tunda bure bila malipo...
Moja ya wachezaji wanaofahamika kuwa na mitindo mingi na tofauti ya nywele ni David Joseph Beckham.
Moja ya unyoaji uliowahi kumletea shida akiwa chini ya Sir.Alex Ferguson ni kijogoo.
Alijua...
Mwamba hatunaye tena.
Alikuwa na miaka 60.
Masikitiko makubwa.
Rais wa Argentina katangaza siku 3 za maombolezo.
-----
Wasifu Wa Hayati Maradona
-----
Mmoja wa wachezaji waliobarikiwa...
Hamjambo ndugu zangu wa Tanganyika? Tangu nifike kwenye nchi yenu kuna jambo silielewi, kila wanachokifanya Yanga upande wa pili wanadai walishapita huko zamani.
Wenye kumbukumbu naomba...
Mpira unachezwa hauongelewi..hicho ndio unachoweza sema.
Ila kingine ni kua nyie Simba endeleeni kuishi kwa Matumaini tu.
Si maswala ya kuombea eti watakuja Nyumbani tushatoka huko.
Popote kambi.
Haya Watanzania Wote hasa hasa wale Mashabiki wa Makafara FC mlioko Jijini Kigali nchini Rwanda mmeombwa Kujitokeza ili Kuchangia Damu Jini letu lifurahi na baadae tutaenda kutoa Misaada kwa...
Leo hii kila shabiki wa timu hizo mbili anafanya maombi ya kupata matokeo mazuri.
Nilichokipenda kwenye mechi za leo ni muda mmoja timu zote zinaingia uwanjani. Baada ya dakika 90 mbivu na mbichi...
Leo watanzania tutakuwa bize na matukio mawili na hivi punde mechi zinaenda kuanza pale nchini Zambia na Rwanda limebaki saa moja la kufanya maombi ya mwisho.
Mungu awabariki mashujaa wetu...
Mimi nishabiki la simba ila Yanga wananigusa sana dadeq...
Mpira wanaocheza ni mara mia ya USM Alger Jana dhidi ya Al ahly
Ila sisi Simba subiri TU jwe maji kwanza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.