Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

LEO TWENDENI TUKAJAZE UWANJANI SAA 09:30 ALASIRI JUMAMOSI YA 16/09/2023 MECHI MUHIMU KWETU NYUMBANI LIGI KUU NBC PREMIER MASHUJAA FC Vs IHEFU FC LAKE TANGANYIKA HATOKI MTU SALAMA…. “Uchungu wa...
1 Reactions
6 Replies
779 Views
Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika. Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimeshangaa hakuna uwiano wa habari kwenye vyombo vya habari,mechi inayopewa kipaombele ni ya Yanga vs Al Marekh na mechi ya Simba kupuuzwa. Hata msafara unaongelewa wa Yanga na msafara wao wa...
21 Reactions
73 Replies
6K Views
Matangazo zaidi ya dakika 15?
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Wananchi walivyojiandaa na kwenda kigali tumewatesa wengi sana. Sasa wanababaika hovyo, kuandika upuuzi wa kila aina. Tumetisha.
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Sasa vitoto vyote vya mitaani lazima viupopoe kupata chochote kitu. Ndicho kinachoendelea hata humu JF na kwenye mitandao mingine watu wanatumia ma bundle yao na muda wao kuiandika vibaya na...
2 Reactions
4 Replies
895 Views
𝙆𝙄𝙉𝙂𝙄𝙇𝙄𝙊 𝙍𝘼𝙄𝙎 𝙀𝙉𝙂 𝙃𝙀𝙍𝙎𝙄 𝙎𝘼𝙄𝘿 𝘼𝙈𝙀𝙎𝙃𝘼𝙇𝙄𝙋𝙄𝘼 Rais wa Yanga Eng Hersi Ally Said amewanunulia tiketi mashabiki wote wa Yanga leo ambao walisafiri Kutoka Tanzania kuja Rwanda kwa ajili ya mchezo wa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Na sababu Kubwa ni kutokana na Hoteli nyingi kuwa za Gharama huku Wao ( Mashabiki ) wakiwa na Hela pungufu. Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimezipata kutoka Jijini Kigali Rwanda ni kwamba...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Jana Al Ahyl kafa peupe na aliyemfunga ndo yule aliyepelekewa moto akiwa kwao na pira Nabi, kama haitoshi akafa moja bila. Rekodi za Simba zipo salama as long as Yanga hajacheza gemu zake mbili...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Reporter wa Clouds FM radio ambaye yuko Zambia, Nassib Mkomwa amesema uongozi wa klabu ya Simba SC umewanunulia tiketi mashabiki wote waliosafiri kwenda Zambia kuisapoti timu ya Simba SC. Sent...
1 Reactions
2 Replies
439 Views
Mwambieni GENTAMYCINE nataka namba Tisa acheze Jean Baleke na namba Kumi acheze Mshambuliaji wangu ninayemkubali Simba SC yote Moses Phiri. Na ole wake katika Dimba la Chini ( Namba Sita )...
0 Reactions
6 Replies
761 Views
Igweee! Naomba niende directly kwenye Point: Mpira wetu hasa kwa ngazi za Vilabu umekuwa sana, na hii kwa kiasi kikubwa pia inachangiwa na hamasa kutoka kwa wadau mbalimbali wakiwemo wasemaji wa...
16 Reactions
34 Replies
5K Views
Taratibu sasa naanza kumuamini Haji Manara kuwa Wenye Akili timamu Kwao ni Wawili tu Baba yake na Rais Mstaafu Kikwete. Mkiambiwa ni Washamba mnanuna.
7 Reactions
82 Replies
7K Views
"Mashabiki wametuangusha sana,Kama uongozi tumesikitika sana kuona mashabiki wachache ndio wanaenda Zambia kuishangilia Simba" AHMED ALLY,Afisa Habari Simba. Sent using Jamii Forums mobile app
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Kila mechi wapo, si ya nyumbani wala ugenini. Kwasasa hata mechi za kimataifa nje na Tanzania wapo. Huwa wanafanya kazi zao muda gani? Na huwa wanafanya kazi gani? Au ndio wana vibanda vya urithi...
8 Reactions
30 Replies
4K Views
Mm kama shabiki wa USM ALGER nikiwa katika jiji lenye raha hapa ALGIERS nchini Algeria Timu yangu pendwa toka utotoni ipo fainal kuchukua kombe letu mapema dhidi ya timu dhaifu iliyoshindiliwa...
24 Reactions
73 Replies
4K Views
Kuna mashabiki watakuwa bado wapo njiani kwenda https://www.sofascore.com/young-africans-sport-club-al-merrikh/vLCsvLdb#11589251
5 Reactions
84 Replies
8K Views
GENTAMYCINE nasubiria majibu yenu ila najua kuna Watu Watalia na hawatoamini kwa Matokeo ya Kesho. Je, mpo tayari niyaweke Hadharani?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Shirikisho la Kimataifa la Takwimu na Historia za Mpira wa Miguu IFFHS limetoa Orodha ya klabu 20 za Africa (CAF) ambazo Zina alama nyingi (Points) Kwa kipindi Cha Miezi 12. Points hizo...
11 Reactions
71 Replies
6K Views
Imebainishwa kuwa winga huyo amepewa zuio la kufanya mazoezi na wachezaji wenzake wa kikosi cha kwanza cha Manchester United hadi atakapomuomba radhi kocha wake, Erik ten Hag. Ametakiwa kufanya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom