Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Amesahau kazi yake. Kasahau kwamba yeye ni msemaji wa Simba. Kutwa kucha kinywa chake kinatamka Yanga. Post zake zote za Facebook na Instagram, ni Yanga tu. Iwe kwa kejeli au matusi. Iwe kwa...
10 Reactions
14 Replies
2K Views
Mabingwa wa Zambia power Dynamo wasema kwa hapa Tanzania hakuna timu ambayo wanaiogopa kukutana nayo kama Yanga Ila kwakuwa wamebahatika kukutana na Simba [emoji250][emoji250] .......basi Simba...
8 Reactions
37 Replies
4K Views
Wakuu, mtashuhudia wenyewe mechi za ligi kwa maana ya "NBC premeir league" hazikuchezwa wiki endi yote iliyopita, sababu mie sijazipata. Mtaona siku za kazi panakuwa na mechi mpaka mbili. Nadhani...
1 Reactions
9 Replies
916 Views
Wakati Timu Moja mbovu mbovu nchini Tanzania na isiyo na Uzoefu wa Kucheza CAFCL japo ilibahatisha kufanya vyema CAFCC ikianza Kucheza Mechi zake Mbili au Nne za Hatua za Awali ambapo GENTAMIYCINE...
16 Reactions
24 Replies
4K Views
Nimepitia kwenye mipango, mikakati na tahadhari zote dhidi ya mchezo wa leo muhimu kabisa. Inshaallah Simba inakwenda Group Stage leo
0 Reactions
3 Replies
339 Views
Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo Yanga atatinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika na kukutana na baadhi ya vigogo na kuwafanga hapa nyumbani au ugenini kwani kwa Yanga hili...
15 Reactions
50 Replies
3K Views
Kuna mafala wa upande wa pili wamegawana majukumu, kuna kundi moja liko Mafia, Morogoro na Zanzibar kuiharibia Simba jumapili ili wao jmosi wakipita watucheke na mji tuuone mchungu. Kundi la...
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Leo tunacheza mechi Ugenini Ktk Viwanja vya Majaliwa tunakwenda kushinda magoli 2 bila kila mechi kwetu ni muhimu licha ya kuwa Nyumbani kwa Namungo ila tunashinda mechi ya leo. “Uchungu wa Mwana...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi simba ila sio rahisi kutoboa usiulize kwanin mimi ndio mpelekaji
1 Reactions
20 Replies
2K Views
kama kuna mtu anajua vizuri hili suala hebu tuandikie hapa tujue mkweli nani,kati ya mwakinyo na promota,maneno yamekuwa mengi
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari, Karibu tupeane updates ya mechi mbalimbali za Ligi za Ligi Kuu za nchi za Ulaya leo Septemba 30, 2023. EPL Aston Villa 6 - 1 Brighton (FT) Bournemouth 0 - 4 Arsenal (FT) Everton 1 -...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Iwapo yanga akifungwa Leo naomba nipigwe ban tu
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Mshahara wa Ronaldo ni kama ifuatavyo: Ronaldo's mind-boggling new salary equates to: Monthly: $17.75m Weekly: $4.43m Daily: $633,928 Hourly: $24,413 Per minute: $406.88 Per second: $6.78 Kwa...
9 Reactions
22 Replies
10K Views
Timu ya soka ya Yanga inakwenda kuandika Historia yake ndani ya jiji la Kigali Rwanda kunako michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Iko hivi siku ya kesho Jumamosi ya tarehe 16.9.2023 wageni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
GENTAMYCINE naomba niandaliwe Program Maalum nchi nzima ya kufundisha Customer Care kwa Watoa Huduma Wote kabla ya kuanza kwa Mashindano haya na nawahakikishieni kwa Madini yangu ya Kutukuka...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Klabu ya OGC nice iliingia katika taharuki na kusitisha shughuli zake zote baada ya kiungo mkabaji Alexis Beka Beka kutishia kujiua kwa kujitupa kutoka katika daraja refu kwa madai ya kuachwa na...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
"Yanga wamepata bahati ya kukutana na Vibonde tangu msimu uliopita kwenye mashindano ya kombe la shirikisho barani Africa na msimu huu kwenye club bingwa MSIMU ULIOPITA YANGA vs Mazembe alikuwa...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Mkoa wa Arusha umepewa dhamana kubwa ya kitaifa ya kujengwa kiwanja kipya cha michezo na kufanya Tanzania kuwa na viwanja vitatu vinavyokidhi vigezo na mahitaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa Umakini mkubwa nikasema nifuatilie tu nini Kinajiri pale Mwalimu Nyerere International Airport Wakati timu Pinzani kwa Simba na Yanga Wakati zinawasili. El Merrekh ya Sudani na Power Dynamo ya...
12 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom