Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"Al Ahly wameturudishia Miquissone ambaye hatukuwapa. Mwanzoni ilitajwa kama amenenepa sana. Ni kweli ungeweza kumuona kabisa akiwa amenenepa. Baadaye ikatajwa kwamba amekata uzito na kweli...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Gharama zinazotumika kukarabati uwanja wa mkapa kwa ajili ya mechi ya ufunguzi baina ya mnyama vs Al Alhy zingeweza kujenga madarasa au kununua madawa hospitalini au kujenga zahanati hata 30...
3 Reactions
17 Replies
764 Views
Duh kama ni kweli basi mganga anae mroga Nabi sio tapeli. Kwa sababu kila akijaribu kuipeleka timu makundi Afrika inabuma. # Yanga inafanikiwa kwa sababu ya mipango makini ya kiongozi makini...
6 Reactions
54 Replies
4K Views
WAKATI mashabiki wa Simba baadhi wakiwa hawana imani na kipa Ayoub Lakred kutokana na kuruhusu mabao katika mechi mbili za kimataifa, tabasamu limeanza kuonekana baada ya Aishi Manula kuanza...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio, lakini sijaona sababu za kukataliwa kwa goli la Singida FG. Kwakuwa humu JF kuna wabobezi wa sheria ya offside, ni vema tupeane elimu kwa manufaa...
5 Reactions
94 Replies
5K Views
Match Day 📅 October 8, 2023. ⚽ NBC Premier League Singida Fountain Gate vs Simba Sc 🏟️ CCM Liti, Singida. ⏰ 4:00Pm. Haya, kumekucha vyema. Baada ya michezo ya jana ya ligi kuu Tanzania Bara...
7 Reactions
744 Replies
44K Views
Wakuu wa jukwaa heri ya mwaka mpya. Mnauonaje mwendo wa Arsenal kwenye mbio za ubingwa pale EPL. Arsenal kama utani, anakimbiza mwizi kimya kimya, ligi ilivyoanza tukasema hafiki krisimasi...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Bila mbeleko wala maelekezo toka juu, Yashika nafasi ya pili Afrika Kwa kufuatiliwa katika mtandao wa Instagram kwa mwezi September Na Kwa wasijua namba hizi zinareflect kile ambacho Yanga...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
"Kihistoria taasisi hii ya Bima ya Taifa ndio taasisi kongwe kabisa kutoka serikalini ambayo imeanzisha miaka 60 iliyopita. Ni heshima kwetu kuingia kwenye mkataba wa utoaji wa zawadi ya mchezaji...
6 Reactions
58 Replies
3K Views
Kwa makusudi Pep, kisaikolojia alim distable jao cancelo na Bernado Silva ili wachukie kucheza manchester city Jao cancelo mchezaji muhimu kwenye kikosi cha manchester City ameenda Bavarians...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Wasalaam Hii imekuwa kawaida kwa Yanga(GongoW) na wachambuzi wa mlengo wa kingongoW, yaani kila wakihisi Mnyama kawaacha kwa alama kadhaa lawama zote huwaangukia Karia na waamuzi. Ushauri wangu...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Wenye akili tayari tumeshajua Nini kinachoendelea kwa Hawa marefa. Endeleeni kukaza mafuvu shubamiti.
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Sasa nimegundua ni kwa nini marefa wetu hawaitwi kuchezesha mechi za kimataifa. Kuanzia mechi ya Azam FC dhidi ya Dodoma waamuzi waliochezesha ile mechi ni utumbo mtupu tena Azam FC wananyimwa...
12 Reactions
98 Replies
4K Views
Ukarabati wa Awamu ya Kwanza unaoendelea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam umefikia asilimia 95 na asilimia tano zilizobaki zinatarajiwa kukamilika ndani ya siku tano kuanzia...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Walioshika ( Walioko ) nafasi za Pili na hasa yule aliye nafasi ya Tatu hapo ndipo mahala pake na huenda akadumu au akapambana na wa Juu yake kuwania nani awe wa Pili na wa Tatu huku Mshamba...
4 Reactions
9 Replies
793 Views
Wikiendi hii timu ya mpira wa miguu ya Medeama ya nchini Ghana ilimenyana na timu ya mpira wa miguu ya Bechem Mpaka dakika tisini zinakwishwa matokeo yalikuwa Bechem 1-2 Medeama Chakufurahisha...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Kumbe jana watu wametetema huko kwa farao, Ndugu muhasibu daraja la kwanza ebu njoo huku utupe maoni Yako Mayele ni liability au ni asset OKW BOBAN SUNZU
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Wameamua kabisa kutonesha kidonda cha kile kichapo cha 4-1 kati ya mnyama simba na wazee wa kukalia mwiko Mechi inarudiwa muda huu azam sports 3 hd
5 Reactions
4 Replies
494 Views
Haya wadau, hivi karibuni kupitia usajili wa dirisha dogo tumeshuhudia timu za Simba na Yanga zikifanya usajili wa kuboresha timu zao. Hapa nawaleta kwenu Baleke mchezaji wa Simba na Musonda wa...
7 Reactions
247 Replies
18K Views
Hii tabia ya kubagua Mikoa ya Mbeya na Mwanza kwenye mambo ya Maendeleo naona imeanza kukita mizizi. Wakati mikoa mingine ikipendelewa sie Mwanza na Mbeya tumekuwa wahanga wa kutengwa na...
22 Reactions
321 Replies
14K Views
Back
Top Bottom