Baada ya kufika atambulishwa mbele ya wachezaji wenzake wageni pamoja na wale ambao aliwaacha akiondoka mfano Boko, Chama, Kapombe, Tshabalala, na wengine wengi.
Ilikuwa furaha kwao kukutana nao...
KIVUMBI NA JASHO: DJUMA, BANGALA
Djuma Shaban, Lomalisa Mutambala na kiraka Yannick Bangala juzi kwa nyakati tofauti wamegonga mlango wa kutaka kuondoka na kwenye vikao vyao kulihusisha...
Messi better than Ronaldo - Cole
Chelsea's Joe Cole says Barcelona's Lionel Messi is ahead of Manchester United star Cristiano Ronaldo as the best player in the world.
Source: BBC...
Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa, Simba itaanzia Raundi ya Pili kwa kucheza na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos (Zambia) dhidi ya African Stars (Namibia)
Yanga itaanzia Raundi ya...
Kwa ulivyowacheki wapinzani wa Yanga katika hatua ya awali na wa Simba katika hatua ya pili ni nani kupenya kirahisi?
Yanga (Tanzania) vs ASAS FC (Djibouti)
Mshindi hapo kukutana na mmoja kati ya...
Kwanza niweke wazi Mimi si mpenzi wa kuhudhuria mikusanyiko mikubwa ya aina yeyote ile, iwe ya vyama au kwenda uwanjani kuangalia mpira, huwa naenjoy kuangalia haya matukio Nyumbani au nikiwa Pub...
Picha kamili tumeiona leo kwenye mechi dhidi ya kaizer chiefs, licha ya muda wa maandalizi kuwa mfupi na wachezaji wengine kuchelewa kuingia kambini bado wameonyesha ni timu imara na ya moto...
Sahau kuhusu ubishi wa events za Wiki ya mwanachi na Simba day, tukirudi kwenye uhalisia klabu zetu ni lazima ziendelee kutafuta zaidi vyanzo vya mapato.
Yanga made a right call to abandon Visit...
Mwaka 1999 timu ya Majimaji ya songea ilishiriki klabu bingwa na bila kuanzia raundi ya awali, walianzia mmoja kwa moja raundi ya kwanzakwa kucheza na Al Ahly kama ambavyo simba wataanza mwaka...
Kuelekea kuanza kwa Mashindano mbalimbali yanayoratibiwa na Shirikisho la Soka Afrika 'CAF' tuzo ya Kiatu cha Goli Bora la CAF upande wa wanaume unafikiri itakwenda kwa mchezaji gani?
Kwa mujibu wa AFP, Klabu ya Paris Saint-German imeruhusu Al Hilal ifanye mazungumzo na mshambuliaji Kylian Mbappe baada ya kuweka mezani dau hilo ikiwa ni siku chache zimepita tangu itume barua ya...
Up until 2021 here's how I would rank the jerseys of our African teams;
Nigeria: The Nigerian national team's jersey has often been lauded for its unique and vibrant designs. The 2018 World Cup...
Historia inatuambia, imekua ni changamoto kubwa sana kupima ubora wa golikipa, kuliko nafasi yeyote uwanjani kutokana na sababu kadha wa kadha(ambazo nitazieleza japo kidogo hapo mbeleni)...
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na Marais wa Mashirikisho ya Mpira wa Miguu ya nchi wanachama wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la nchi za Afrika...
Nianze kutoka credit kwa wadau wasoka, mpira wa miguu ni industry pekee yenye muamko na ushawishi mkubwa kwa jamii, nchini Tanzania. Lakini, kama hujaliona hili, basi angalia nyanja ya siasa...
Kipa huyu mwenye umri wa miaka 29, jina lake ni Jefferson Luis Szerban de Oliveira Junior ana urefu wa mita 1.9 na kabla ya kujiunga na Simba alikuwa akiitumikia Resende FC ambayo inashiriki Ligi...
Tamasha bora la mpira wa miguu kuelekea msimu mpya linapaswa kuwa tukio la kusisimua na la kuvutia kwa mashabiki wa mpira wa miguu na ambao si mashabiki wa mpira wa Miguu kuvutika na kuwa...
Habarini za usiku,
Nimeamua niulize ukweli wa tetesi hizi zinazomuhusisha Bangala kutimkia Simba lakini kitu kinachonifikirisha zaidi ni sababu zilizopelekea mpaka zikawepo tetesi hizi.
Je...
Nilikuwa naupiga mwingi kiasi, kabla sijazeeka.
Mtama, Lindi kilikuwa kituo changu cha kwanza cha kazi baada ya kuajiriwa. Kama kawaida ya ujana, nikajichanganya kitaa na kufahamika mitaa ile na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.