"Nashindwa kuwaelewa Viongozi wa Yanga SC kwani tayari wameshaonyesha kutomhitaji ila hawataki kumuacha wakisema watatoa taarifa yake Tarehe 31 July, 2023 ambayo ndiyo siku ya mwisho kusajili na...
Zama huja na kuondoka. Lakini legacy hubaki. Hapa kuna makocha wanne tofauti ambao kwa nyakati tofauti waliongoza vilabu vyao kutwaa mataji kadhaa ya EPL. Kila kocha alikuwa na rekodi zake pamoja...
Utaratibu wa kutoa post za "Thank You" kupitia mitandao ya kijamii kwa wachezaji au makocha wa benchi la ufundi wanaokoma kuitumikia timu umekuwa ni utaratibu mpya ulioanza kutumiwa na timu zetu...
Baada ya Jonas Mkude kwenda Yanga Sc msemaji wa Simba sc Ahmedy Ally alijinadi mbele ya Media na kusema kuwa jezi namba ishirini itastaafishwa kutokana na heshima kubwa aliyoiweka klabuni hapo...
Huwa zinaibuka kelele na kampeni za ujenzi wa uwanja/mashabiki kuchangia timu zao ili zijenge uwanja lakini mwisho wa siku kimya.
Huo ni mchezo mchafu unaochezwa na viongozi wa wa klabu hizi...
Ukiachia mbali kwa Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kuwa ni mwana Yanga SC kwani hata miaka ya nyuma alishakuwa Mwenyekiti wa Pan African FC GENTAMYCINE nimehakikishiwa tena na Ndugu Mmoja...
Naona mashabiki wa Simba wanapanga vikosi vyao...vya msimu ujao...huku wakilitupa jina la KENNEDY JUMA, MZAMIRU YASIN, SAIDOO, KIBU, JOHN BOCCO.
Nawaambia watakaoingia kikosi cha kwanza katika...
Klabu ya Manchester United imekataa ofa hiyo ya Pauni Milioni 20 (Tsh, Bilioni 63) kwa kuwa inaamini ni dau la chini na imeweka wazi thamani ya beki huyo wa kati kwa sasa ni Pauni Milioni 35 (Tsh...
Mazoezi bora yanatakiwa kuwa na sifa nyingi. Sifa moja kuu ni yachome nguvu za kutosha. Chakula tunachokula kinaenda kuupa nguvu mwili wetu. Kama tunakula zaidi ya mahitaji ya miili yetu, chakula...
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram KAYMZIWANDA ameutumia kuwashukuru Viongozi, Wachezaji, Mashabiki na Bosi wake Mr Makau kwa kumuamini kwa kipindi chote walichokuwa naye.
Ni live bila chenga...
54 teams are engaged in CL 2023 / 2024.
Accordingly, the 10 highest ranked clubs in the official clubs ranking, shall be exempted of the 1st preliminaryround.The remaining teams are divided into...
PROFILE YA EMMANUEL MAHOP
jina kamili: Emmanuel Mahop Dikongue
Utaifa: Cameroon
Tarehe ya kuzaliwa
3 January 1995
Miaka 28
Nchi aliyozaliwa: Equatorial Guinea
Nafasi: Mshambuliaji
Timu...
Dili la Mshambuliaji hatar wa kameruni EMMANUEL MAHOP kwenda Yanga limeshindikana baada ya Yanga kutoweza fika muafaka na mchezaji huyo, inadaiwa swala zima la mkwanja ndio limeifanya Yanga...
Mashabiki wa Simba sc wanamshangilia Kibu Denis kwa mazuri/juhudi anazozionesha kwenye uwanja wa mazoezi na kusahau kabisa alichokifanya Habibu Kyombo msimu uliopita.
Habibu Kyombo alicheza kwa...
Hatua ya makundi CAFCC ni ngumu zaidi kuliko CAFCL.
Sababu mojawapo unacheza na timu ambazo hazifahamiki sana ana zenye wachezaji wanao weza kuku saplaiz kiwanjani. Ukicheza na timu kubwa ni...
Hatimaye timu ya West Armenia inayoshiriki ligi kuu ya Armenia imewatambulisha wachezaji wawili wapya kutoka Taifa la Tanzania ambao ni Eric Mwijage na Yusuph Athuman.
Yusuph Athuman kabla...
Mchezaji wa Azam FC Edward Manyama amevunjika mkono kwenye mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Stade Tunisien uliochezwa huko Tunisia.
Katika mchezo huo Refa alishindwa kuumudu kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.