Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

TUJIKUMBUSHE KIDOGO. Kwa mujibu wa kanuni ya 62 ya TFF ya mwaka 2022/23, mchezaji wa kigeni kutoka Amerika ya kusini lazima awe amecheza Angalau ligi kuu au ligi daraja la 1,2 na 3, au timu ya...
6 Reactions
57 Replies
4K Views
As reported
4 Reactions
38 Replies
4K Views
👉Pambano la Mandonga Zanzibar lifutwe 🙅 Hivi kweli Chama cha Ngumi Tanzania viongozi wao wanaelewa vyema sheria za mchezo huo? Ndugu zangu Watanzania bara na visiwani, hivi kweli Mandonga...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Jana nilifuatilia, kwa kutazama runingani, pambano la ndondi kati ya bondia Karim Mandonga wa Tanzania na Golola Moses wa Uganda. Lilifanyika kule Mwanza. Pambano lilimalizika kwa Mandonga...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Sisi Watu wa Mpira na Watu wa kuyajua mengi ya ndani na yaliyojificha tunajua kuwa Mdhamini wa Jezi Vunja Bei hakuwa mwana Simba SC na hata huyu Mdhamini mpya wa Jezi Sandaland nas pia siyo mwana...
9 Reactions
72 Replies
8K Views
Napata shida kubwa juu ya tetesi zinazoendelea ya kwamba simba inaweza kumtema kipa mbrazil aliyesajiliwa hivi karibuni kwa sababu eti ana majeraha!!! Siwezi kusema Sana juu ya tetesi inawezekana...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Yaani Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bwana Said Yakubu ni kweli hujui kwanini Taa hizo Nusu ndiyo huwashwa kama ulivyotanabaisha katika Mkutano wako na Waandishi wa Habari leo...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana Julai 29, 2023 ameshuhudia Mashindano ya Michezo na Sanaa za mapigano yajulikanayo kama ‘BONGO FIGHTING CHAMPIONSHIP' Katika...
1 Reactions
1 Replies
467 Views
Naona tangazo la mchezo wa ngumi, ([emoji3037]) Kati ya Karim Mandonga na Golola Moses kutoka pale Kampala Uganda, tarehe 29 mwezi huu wa July, Kwa kifupi promota anayeandaa hili pambano pamoja...
25 Reactions
83 Replies
8K Views
Huwezi kunywa Mo Energy Drink halafu Timu ikakosa Utajiri mpaka akina Wapiga Ngoma na Wanaoonana wasipende Kuichezea. Mido ya Chini Mtoto wa Tshisekedi na Mido ya Juu Mtoto wa Mwinyi na Wote wana...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said asipoachia ngazi Yanga SC yetu tunamroga ili nae ahamie huko Azam FC au kwa Simba SC alikowauzia Bernard Morrison aliyetutia sana Hasara Yanga SC katika Kesi...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Majina maarufu ya utani ya baadhi ya wachezaji wa zamani. "Golden Boy" - Zamoyoni Mogella "Sikinde" - Celestine Mbunga "Kizota" - Said Mwamba "Kwasakwasa" - Jobe Ayubu "Bwalya" - Frank Kassanga...
9 Reactions
55 Replies
13K Views
Mdomo umemponza Karim Mandonga, Leo kakutana na dozi kubwa iliyompuliza na kwenda chini katika raundi ya tatu na hivyo kumfanya kuishuhudia bendera ya TKO ikipita mbele yake. Mganda hakuwa na...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Rapa na mfanyabiashara huyo wa Marekani inadaiwa kuwa anaweza kuinunua klabu hiyo ya England kwa Pauni Bilioni 2.2 (Tsh. Trilioni 6.9) ikiwa mmiliki wa sasa Joe Lewis atataka kuiuza. Lewis (86)...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hawa mabondia sidhani kama wanafanya hata mazoezi ya boxing[emoji3][emoji3] Kama hili pambano la Joseph Mchapeni ndiyo kituko, hayo mapambano siyo ya kupoteza mda kupeleka makamera na kurusha...
11 Reactions
45 Replies
3K Views
Kibu Dennis amebadilika sana, cjui kama hawa wageni watamweka benchi mwamba huyu aliyewanyamazisha Yanga msimu uliopita. Hivi sasa ameshafunga mabao 2 kwenye mechi za kirafiki huko Ulaya, halafu...
0 Reactions
14 Replies
956 Views
Hii imeenda, japo kinyonge Sana Mwanetu Mandonga😄😄😄
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Soka la Bongo lina mvuto wake, unaambiwa kuwa wakati Timu ya Yanga ikitarajia kufunga usajili wake kwa kumleta Straika la magoli upande wa pili Timu ya Simba wanajiandaa kupeleka simanzi Jangwani...
6 Reactions
95 Replies
7K Views
Uhamisho wa Yannick Bangala uko mbioni kukamilika. Yanga imepokea ofa ya milioni 100 kutoka kwa Azam FC. Yannick alibakisha mkataba wa mwaka mmoja na klabu yake ya Yanga SC. Biashara 1️⃣ Mayele...
6 Reactions
67 Replies
5K Views
Hatimaye Bangala atua mikono ndani ya Viunga vya Chamazi Complex, matajiri hawa wameamua kweli kweli. Tutarajie makubwa ligi ya Msimu huu na kimataifa.
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom