Kwa wataalam wa ndondi hebu mtusaidie hili,
Mandonga alipigana wiki mbili zilizopita nchini Kenya akapigwa TKO lakini leo Tena amepigana pale mwanza akapigwa Tena kwa KO yaani ndani ya mwezi...
Nimemaliza Sina mengi viongozi wa Simba dharau ndio Zinawaponza mara zote ! Mfano benno ni Bora mara kumi ukimtoa Aishi na huyu wa gorilla wa yanga
wengine wote hakuna wa kimfikia benno...
Bondia Errol Spence Jr (The truth) amefanikiwa kumtwanga vilivyo Yordenis Ugas kwa T.K.O round ya 10 na kufanikiwa kuunganisha mikanda ya WBA, WBC na IBF amebakisha mkanda mmoja tu wa WBO ambao...
Tangu ufunguzi wa usajili katika ligi mbalimbali duniani SAUDI ARABIA imeonekana ndio kinara katika kunyakua saini za wachezaji wakubwa ambao waLItegemewa na kuwa kivutio kikubwa kwenye EPL...
Jangwani Kuna tatizo! Jangwani Kuna tatizo! Jangwani Kuna tatizo!
Naandika Kama shabiki mkereketwa niliyechoshwa na kelele za wachezaji Tena wachezaji ambao ni mafundi haswaa wa mpira Nani...
Hizo offer zinazotolewa ni kubwa mno, zaidi hata ya Luis Miquison!
Je unaonaje auzwe halafu Miquison arudi au aletwe mzuri zaidi.
Maana Sakho hata hivyo ana mapungufu mengi tu pamoja na kuwa na...
BREAKING NEWS:
Baada ya kukamilisha uhamisho wa Bangala kutokea Yanga huenda @azamfcofficial ikampunguza kiungo wao Isah Ndala ili kutimiza idadi ya wachezaji wa kigeni (12).
Taarifa zinaeleza...
Za ndaniiiiii,
Mdau mmoja ambaye sitopenda kuweka jina lake hapa ambaye yuko Nchini Uturuki ananipenyezea mambo kadhaa kuhusu Mnyama,
(1) Kocha hamtaki Ngoma
Kocha Mkuu wa Simba Mbrazil Mzee wa...
Habari ndugu ZANGU.
Mimi ni mdau WA soka.
Na mpenzi na mdau wa Simba.
Nimekuwa nikifuatilia usajili HASA WA wachezaji wa KIGENI ndani ya simba.
NIMEWEZA KUYAONA MAKOSA YAFUATAYO KIUFUNDI.
1...
Halafu GENTAMYCINE akisema kuwa 75% ya Viongozi wa Simba SC ni Wahuni, Waswahili na Wapigaji mnakasirika.
Nasisitiza Kipa Mbrazili Jefferson Luis wala hajaumia vibaya kama mlivyotuzuga bali...
Club ya Pyramid FC ya Misri imetangaza kumsajli Mshambuliaji wa Kimataifa wa Congo DR Fiston Kalala Mayele (29) kutokea Yanga SC ya Tanzania.
Mayele anaondoka Yanga baada ya kucheza misimu miwili...
Kama alikua Hana sifa Nani aliyemleta Tanzania na kumsainisha mkataba kuwa Simba sc?
Nini majukumu ya head of scouting au ilikuwa ni zuga/njia nyingine ya kupiga hela?
NALIA NGWENA nilipoona...
Kuna kitu gani kinaendelea huko kati ya Simba na Yanga kiasi cha kumuinua Mo Dewji na kuandika alichoandika?
===
Simba na Yanga ni utani sio uadui, mbona mimi nawasaidizi wakaribu ambao...
Jana, pale Mwanza bondia mtanzania Kiduku alipanda ulingoni kwa pambano la raundi 12 la ubingwa wa WBF. Alipambana na bondia Wellem wa Afrika ya Kusini.
Wellem, akitumia jab yake ya kushoto na...
Sina umri mkubwa katika kufuatilia soka nje ya uwanja. Sijawahi kushuhudia mtu muongo kama huyu Haji.
Sijui wenzangu mtusaidie kama aliwahi kutokea mtu muongo na mfitini kama huyu kwenye soka.
Sterling wamepigwa changa, Jamaa hamna kitu mule.
Yani unachukua mchezaji wa Bench kwenye timu unayotaka kushindana nayo halafu utegemee kushindana nayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.