Ukiangalia jezi za namumgo, Azam, Yanga na singida ni Jezi kali mno kuliko jezi za Kolo......
“Jezi bei ya jumla ni 32000 mnajua kwanini ? hiki ndio kinafanya watu wanavaa vitambaa vya timu zao...
Bondia Daniel Wanyonyi kutoka Kenya [emoji1139] amefanikiwa kulipa Kisasi Kwa kumtwanga Bondia Karim Mandonga kutoka Tanzania katika pambano lao lilifanyika Usiku wa Kuamkia leo jijini Nairobi...
Kwanza niweke wazi tu Mimi kwenye riziki ya mtu huwa sina mtimanyongo lakini kwa usajili wa Luis Miquisone unaleta mashaka makubwa sana.
Mtakumbuka Miquison aliondoka Tanzania akiwa kwenye peak...
Ukweli ni kwamba Manara hana mpinzani kwenye kucheza na Jukwaa la wanamichezo.
Manara Apewe Maua yake,Hawa kina Kitenge na Zembwela ni wababaishaji tuu.
Jamaa pamoja na kutocheza mechi za ushindani kwa kipindi kama cha miezi sita kutokana na ligi ya DRC kusimama lakini bado unaona ana kitu.
Jamaa ni mwepesi,ana kasi,ana uwezo wa kumiliki mpira na...
Pamoja na kutambulishwa kwa kikosi hiki cha Yanga leo kwenye siku ya Wananchi lakini bado kuna SURPRISE zinakwenda kutambulishwa muda wowote kupitia Platforms zao na hii tunaiita MSOME JIRANI.
Ghafla nimemkumbuka Anko Mrisho Ngassa katika ubora wake. maisha yanayoyoma kwa kasi. Kwa sasa yupo mitandaoni akiposti video zake na kuelezea kila anachokifanya katika maisha. Huku katika soka...
Hawa wachezaji wawili iwapo watatambua nafasi zao ndani ya kikosi cha Yanga ni dhahiri kabisa Yanga inakwenda kufanya makubwa msimu huu.
Sina shaka na uwezo wa Msonda iwapo atatumiwa vizuri na...
Aisee hili kosi la Simba limebakisha jambo moja t, kuwa na kamati nzuri ya ufundi ambayo itahakikisha ftina na figisu za mwanadamu hazifanikiwi, golini mcameroon, kulia kapombe kushoto Zimbwe, nne...
Tumepokea taarifa kwamba Simba Sc na vigogo wengine wa Super League, wataanzia round ya kwanza katika Ligi ya Mabingwa.
Draw ya round ya awali inategemewa kufanyika tarehe 25 Julai.
Taarifa hii kutoka SPORTPESA ina kamilisha tu maoni yetu kwamba Yanga SC inaongozwa “KISHIKAJI”. bila kufuata weledi wala utawala bora.
Klabu yenye viongozi imara wenye kufanyakazi kwa kufuata...
"Kiukweli sijawahi kuvaa Jezi Namba Sita ( 6 ) na siipendi pia na hata katika Timu zote nilizocheza huwa navaa Jezi yangu pendwa namba Kumi na Moja ( 11 )"
"Kilichotokea nilipigiwa Simu na Rais...
“Rais wa Yanga [Eng. Hersi] alinipigia akaniuliza kama nimewahi kuvaa jezi namba 6, nikamwambia hapana kwa sababu nimekuwa nikipendelea kuvaa jezi namba 11.
Alinambia angependa kunipa jezi namba...
Chanzo Taarifa: EFM Sports Headquarters
Na kwa taarifa ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa na Watu wa ndani Simba SC ni kwamba kuna Uwezekano baada ya Jezi Kuzinduliwa leo kati ya Saa 10 Jioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.