Habari wakuu.
Nimeona nizungumzie kidogo usajili wa Yanga unaoendelea.
Nimekuwa nikifuatilia mpira kwa kiasi chake.
Nimekuwa nikimsikia Jose Mourinho anaposisitiza usajili Bora ndani ya Klub ni...
"Nimeziona jezi mpya za Yanga, huyu Ngowi akamatwe, zile jezi ni balaa tupu. Yanga mmetisha sana." Juma Ayo
Je, kwanini timu zingine zisijifunze kwa Yanga since maendeleo hayana Chama?
Nimefanikiwa kuchungulia jezi za Simba za ugenini hizi nyeupe ni nzuri sana sijawahi kuziona aisee.
Wana Simba kaeni mkao wa kula kwa uzi huu hakika vunjabei aliwachelewesha sana. Uzi ni mkali...
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika kutoka Misri, Club ya Al Ahly ya Misri imevunja Mkataba na Mchezaji wa Kimataifa wa Msumbiji Luis Jose Miquissone kwa makubaliano ya pande zote mbili...
Watu wa msafara wa kusambaza jezi za simba mikoani hasa maduka ya vunjabei wamepitia hapa nilipo.
Jamaa yangu aliyepo kwenye msafara akanionesha jezi za simba zitakazozinduliwa baadae jioni...
".....Siwajui vizuri Yanga, nawajua Simba sababu tuliwahi kuja hapa wakatuchapa tatu kwa nunge."
Maneno ya Mchezaji wa Kaizer Chiefs baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa JK, Dar es Salaam kwa...
Wakulungwa.
Chama ana offer mezani, Ofa ambazo zina maslahi makubwa zaidi kuliko maslahi anayo yapata hivi sasa. Mnaonaje tujikusanye na kuanzisha kampeni ya kumtetea Triple C ili akafuate...
Ikiwa Harakati za Usajiri, Uhamisho wa Wachezaji na Pre Seasons Zikiendelea katika huu Mwezi, Huku Azam FC wakionesha Kuwa This Time Around wako Serious Sana na Pre Season Kipekee Kabisa...
"Tumewaletea wana Yanga SC Mchezaji ambaye hatakama hatofunga Goli ila atahakikisha Mashabiki Wote Uwanjani wanaburudika kwa Maufundi yake ya Kuchezea Mpira" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe...
Hapo jana team ya Azam Fc imezindua jersey bora zaidi duniani watakazo zitumia kwa msimu wa 2023/24
Jersey hizo zenye rangi ya Blue, Nyeupe na dhahabu zimevutia sana watu na wengi wakimiminika...
Unadhani katika hao watatu ni wachezaji gani ambao unawapa karata ya kutia saini?
Najua katika hizo sajili lazima lihusishe eneo la goal keeping.
Kwangu nampa asilimia kubwa Luis Miquisson...
Leo baada ya TFF kutoa takwimu ya timu ambazo zimesajili wachezaji ( CAF). Watu wengi hawakuelewa baada ya kuona Yanga wameandikiwa HAWAJASAJILI.
Ipo hivi Yanga ameishasajili wachezaji kwa maana...
Watafute kazi walizokuwa na ujuzi nazo. Baada FIFA na TFF kutaka wachezaji wasimamiwe na mawakala (agent) badala ya meneja asiekuwa na weledi wa kusimamia wachezaji.
Hii imekata ngede kwa machawa...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Julai 20, 2023 jijini Dar es Salaam amezindua Mfumo wa Kidijitali wa Usajili wa Vyama na Mashirikisho ya Michezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.