Sioni kama katika siku za hivi karibuni kutatokea na mchezaji nchini Tanzania atauzwa kwa kiasi cha zaidi ya Bilioni 3.6 kumzidi Fiston Kalala Mayele.
Yanga SC wameingiza mpunga mrefu zaidi kwa...
Imekuwa tofauti kabisa safari hii wanainchi wana supriz gani?
Maana sio kawaida kabisa, binafsi nahisi kuna bomu wanaenda kulipua tar. 22/07/2023
Ngoja tuone!
Mpaka sasa kifurushi hicho kimekuwa kikikata mitaa tu na tayari kiko mkoani Kilimanjaro. Wenyewe wanasema kimesheheni Jezi mpya lakini nani mwenye uhakika kama siyo zile hadithi za majirani wao...
Tembeleeni mitandao ya Michezo ya Afrika Kusini muone jinsi nyie mlivyompamba kwa mwezi mzima hadi jana mlivyompokea lakini mnavyochekwa na kudharauliwa na South Africa Football Pundits kwa...
Rais wa Klabu ya Soka ya Yanga Mhandisi Hersi Said amesema klabu hiyo katika kuelekea wiki ya wiki ya mwananchi imeamua kuwahamasisha mashabiki na wanachama wake kujitokeza kuchangia damu katika...
“Jezi zetu tano zitakazo zinduliwa juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro zitakuwa na majina ya Viongozi wa Serikali mgongoni Rais Dkt. Samia , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...
Tarehe kama ya leo Julai 19, 1977 miaka 46 iliyopita Timu ya Simba ilitoa kipigo kikubwa cha kihistoria kwa wapinzani wao wa jadi, Yanga, mshambuliaji Abdallah ‘King’ Kibaden alifunga magoli...
Mtaani kunazungumzwa usajili wa timu mbili zaidi za Simba na Yanga lakini kuna timu ya Azam FC ambayo usajili wake siyo kwa Mashindano ya ndani kama wengine wasemavyo.
Usajili huu wa Azam FC...
Nguvu kubwa ya kumtoa Feisal kwa fitina pale Yanga na usajili mkubwa wa wachezaji wa nje basi tunategemea Azam kuchukuwa kombe la ligi kuu(NBC) , Kombe la Shirikisho la Azam .
Simba kwa usajili wa...
Azam Fc wamekua Bora kwa kila kitu kuanzia usajili mpaka arrangement ya muda na wachezaji kuungana kwa pamoja na kuanza mazoezi.
Azam FC wameonesha ukomavu mkubwa sana katika siasa za Simba na...
Timu ya Soka ya Yanga imemtambulisha Skudu saa 6 usiku na huyu ndiye aliyekabidhiwa Jezi namba 6.
Hongera kwao, lakini swali letu ndiye alilengwa kupewa jezi hiyo au baada ya mlengwa kushindikana...
Kudadadeki na Wapiga Miba Wakuu ( Warogaji ) Wawili ( GENTAMYCINE nawahifadhi ) bado mnao hapo hapo na huyu Skudu wenu mtamkataa Wenyewe.
Na Bingwa wao ( anayewapeleka kwa Mganga wake Hatari )...
Katika mchezo wa kirafiki kati yao na FC Rottach hawakuwa na sura ya huruma hata kidogo walichokiangalia ni kuuonesha Ulimwenguni kuwa wao si mchezo mchezo.
Nimesikitika sana kusikia kuwa ni kweli aliyewahi kuwa Mchezaji wetu Louis Miquissone anarejea Simba SC.
Mwaka jana Novemba na mwaka huu March kuna Kiongozi Mwandamizi wa Simba SC alienda...
Wakati Azam FC ikibakiza mechi tano kumaliza msimu wa Ligi Kuu Bara, tayari imeanza kimyakimya kutafuta kocha mpya atakayeiongoza msimu ujao ambao imepania kutwaa ubingwa huku kocha wa Al Hilal ya...
Klabu ya soka ya Azam, imetangaza ya kwamba, itaanza rasmi kambi yake ya kujiandaa kwa ajili ya msimu ujao Julai 9 mpaka Julai 30, 2023. Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo, kambi itakuwa katika...
CEO wa zamani wa Simba ameendelea kutoa ya moyoni kupitia tweets zake ambazo zinamlenga mwanaume mmoja tu. Na muda umeshafika wa kidume huyo KUTAJWA, muda unakwenda kuongea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.