Najaribu kufikiri endapo Mayele angekuwa mchezaji wa Simba SC, redio na wachambuzi wao wa mchongo wangeimba wiki nzima, lakini hii tetesi ya mwamba kuuzwa kwa bilioni 2.8 wachambuzi wanachambua...
Kuna movies zinaendelea huko kwa mapacha wa kariakoo..
Za ndani kbs Simba walianza kuonesha umafia kwa kumrushia tonge nono la ugali Fiston, baada ya Eng kugundua nayeye akaamua kumtumia Mh...
Katika kitu kikubwa na cha aibu ambacho Mwenyekiti wa Simba SC aliwakisea Wanasimba ni suala la Ceser Manzoki.
Kupitia uchaguzi, Manzoki alipewa na maiki na kusema kuwa hatakuja Simba SC kwa...
Kwa hatua ilipofikia Young Africans ni dhahiri haiwezi kusonga mbele tena kombe la shirikisho Africa msimu huu. Japo Mallumo Galants wanasuasua kwenye ligi yao ila ubora wa mbinu na ushindani wa...
Haya Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe, Wachambuzi na Watangazaji wa Redio wenye Uyanga tafadhali Tangazeni upesi hii Taarifa.
Na huyu Mchezaji wa Club ya Asec ndiyo alikuwa Mchezaji anayetegemewa na...
Tafadhali kama huyo Mchezaji wako Nassoro Kapama kakupa Pesa ili Umfagilie na asiachwe na Simba SC acha mara moja au anzisha Timu yako ya Mpira wa Miguu kisha Msajili katika Timy yako akufanyie...
Kombinesheni ya kiungo cha Barca kilichokuwa na Xavi, Iniesta na Busquets dhidi ya kombinesheni ya kiungo cha Madrid kilichokuwa na Casemiro, Kroos na Modric kipi kilikuvutia katika ubora wao...
Kocha wa Bayern Munich, Thomas Tuchel amekiri kuwa usajili wa raia huyo wa Senegal haujawa na mafanikio kwa kuwa mchezaji ameshindwa kufikia malengo, hivyo anaweza kuuzwa kwa Paundi Milioni 17...
Pamoja na timu ya Chelsea kuuzwa tangu mwezi Machi mwaka jana, Serikali ya Uingereza haijatumia hata mia kwa fedha zilizopatikana kutokana na mauzo hayo.
Zaidi ya 2.5b £ (Karibu trilion 6 za...
Sijaona bado ulazima huo wa kujihangaisha kwenda kileleni Mlima Kilimanjaro na kuzindua jezi zetu Simba SC ili tu kufunika tukio la Yanga SC la wao kuzindua zao Ikulu ya Malawi mbele ya Marais...
Salaam ndugu zangu,
Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake.
Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi...
Inaelezwa kuwa makubaliano yaliyofikiwa ni kumuuza kwa Pauni Milioni 43 ili kuchukua mikoba ya David De Gea ambaye ameondoka baada ya kudumu kwa miaka 12
Onana pia ameshakubaliana mahitaji...
Ali Kamwe (Msemaji Yanga SC)
Siku ya Wananchi (Yanga Day) Taifa litatulia na Watu hawatoamini kwani tunaenda Kumtambulisha Mchezaji ambaye atawafanya Watu fulani Walie, Wasiamini na Wengine hata...
Mimi bila kupepesa macho, mbali na ushabiki wangu kwa Madrid, bado nadiriki ku- rank hizi nyimbo kama ifuatavyo:
1. Hala Madrid
2.
3.
.
.
.
Embu tuendelee hapo.
Klabu ya Algeria HB Chelghoum Laïd 🇩🇿 imeweka Rekodi mbili za dunia baada ya kumaliza msimu wakivuna alama 4 tu katika mechi 30.
Pia Wameweka rekodi ya kucheza mechi zote 30 za ligi bila kupata...
Hebu tuulizane vizuri wadau wa michezo, maana hii midoli toka itambulishwe pale Msimbazi furaha kwa Wanamsimbazi ilipotea na huzuni aliingia, wakavimba kabisa.
Swali ni moja tu, nani alitoa wazo...
Mayele alipwe milioni 50 kwa sababu gani? Kwa ajili ya kugombania shilingi ngapi? kwa kitu gani anacho kwenda kuifanyia Yanga? Huyu huyu Mayele aliye shindwa kuipeleka Yanga kwenye makundi Club...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.