Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakati Simba wakiwa kwenye harakati za kufanya uzinduzi wa Jezi yao kwenye Kilele cha Mlima KILIMANJARO na kujiwekea Historia na Rekodi nchini Tanzania na hata barani Afrika kama siyo Duniani...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Uingereza, na Klabu ya Everton inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza, Dele Ali amefunguka kuhusu maisha ya majuto aliyopitia huko nyuma. Baadhi ya mambo...
4 Reactions
60 Replies
6K Views
Kwanini viongozi msiombe kibali cha kwenda Serengeti national park, mkazindue jezi zenu pamoja na kundi la Simba nao wafurahi! Siyo mbaya mkachagua baadhi ya viongozi lia lia kama kina Mangungu...
3 Reactions
11 Replies
914 Views
Habari wakuu! Nimesikia leo toka viongozi wa Simba kuwa wanaenda kuzindua Jessey zao Mlima kilimanjaro! Well, mpaka sasa sijaona logic behind hii decision zaidi ya kuona ni kukurupuka baada ya...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Mchezaji wa Kimataifa wa Senegal na Timu ya Simba Pape Ousmane Sakho amewasilisha maombi kwenye Uongozi wa timu ya Simba ya kuomba kuondoka ili akatafute changamoto nje ya nchi. Ousmane Sakho...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kocha aliwaambia viongozi wa simba hataki kumuona CCC msimu ujao, viongozi nao wakamwambia Chama haendi popote, kama vipi bora wampe thank you yeye Kocha. Kocha kaona isiwe tabu, jana kaamua...
12 Reactions
52 Replies
7K Views
𝙆𝘼𝙕𝙄 𝙉𝘼 𝙎𝘼𝙇𝘼 🙏🏿 Nyota wa Klabu ya Singida Fountain Gate,Bruno Gomes 🇧🇷 amekuwa akitumia mda huu wa Likizo kutoa mafundisho/mahubiri ya kidini kwenye mikutano mbalimbali ya kidini huko kwao Brazil...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Mzaramo Abdallah Pazi, maarufu kama Dullah Mbabe alichezea kichapo kutoka kwa bondia wa Congo, Erick Katompa, ilionekana hajakubali hivyo leo anaingia tena ulingoni. Oktoba 1, 2021 ndani ya...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Kila ukifatilia usajili wa wenzetu wa jangwani unaona wamesajili mabeki, mara Fred kutoka Uganda na sasa hivi beki kutoka Asec, hiyo ni kutokana na mawinga hatari waliopo Simba ss hv akiwemo Louis...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewatunuku vyeti wahitimu 106 wa Stashahada katika Chuo Cha Michezo Malya kilichopo wilayani Kwimba Mwanza leo Julai 15, 2023...
1 Reactions
2 Replies
926 Views
Timu ya soka ya Yanga ukiikaribisha Klabuni kwako hawana haraka ya kuondoka, wao ni wakarimu sana utakumbuka waliwahi kupiga hodi AS VITA ya Congo na baada ya kukaribishwa waliacha simulizi yao...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
#MICHEZO Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imepangwa kundi E katika harakati za kufuzu kombe la dunia mwaka 2026. Timu ambazo Stars imepangwa nazo ni pamoja na Morocco Zambia, Congo...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Tunaomba mkome, mkome tena mkomae! Hatutaki kusikia Simba inatumika kutangaza utalii! Kama ni sababu ya kupeleka jezi mlima Kilimanjaro basi iwe ni ili Africa nzima waione, sababu mlima...
4 Reactions
12 Replies
871 Views
USAJILI BORA MPAKA SASA Dirisha halijafungwa bado lipo wazi ila mapaka muda huu sajili zote zilizofanyika hapa nchini kwenye klabu zote, bila kupepesa macho, bila unafki huu kwangu ndo usajili...
10 Reactions
50 Replies
4K Views
Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ajiunga na Timu ya Soka ya Coastal Union ya Tanga. Pamoja na kutokuwa na misimu mizuri kwa timu mbalimbali alizohudumu nchini lakini bado Kocha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Aliyekuwa Kocha wa timu ya Yanga NABI amesema kuwa yeye hajasaini mkataba wa kuitumikia timu ya AS FAR RABAT kama Kocha mkuu. Lakini kwa inavyoonekana ni kuwa mazungumzo yamefikia pazuri kwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Michuano ya African Football League ambayo mwanzo ilipewa jina la Africa Super League kuanza kutimua vumbi lake mwezi wa kumi, na Mchezo wa ufunguzi ni ndani ya Tanzania katika Jiji la Dar es...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Sawadogo bado nikijana mdogo Sana bado anajitafuta anandugu wamamtegemea tusaidiane wanatanzania kumpazia sauti apate stahiki zake.Msikilize anavyoongea Kwa uchungu, nimelia Sana, Ndugu...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Timu ya soka ya Azam FC yaanza Pre-season vizuri baada ya kuishushia kichapo cha mwizi wa kuku Al Hilal kwa magoli 3 - 0 huku FEI TOTO akirudi kwenye ubora wake baada ya kutoa assist ya goli.
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Ukisikia kuuziwa mbuzi kwenye gunia ndio huku sasa,hapo kibegi kinaenda Mlima Kilimanjaro kwa uzinduzi.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom