Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hatimae ukweli umejulikana baada ya wapinzani kujaribu kuiba mchezaji airport now imefahamika rasmi kuwa wapinzani walimuiba mchezaji asiye sahihi.
15 Reactions
49 Replies
8K Views
Wale wakongwe wa EPL mnamkumbuka huyu mshkaji tupe sifa zake mbili tatu.
1 Reactions
2 Replies
872 Views
Sitaki kuandika uchambuzi wowote kuhusu Mkude, swali ni je, tustaafishe jezi yake au, tufute hilo swala kwa kuwa kaenda upande wa pili kutafuta masilahi?
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Mahakama imetoa hukumu leo kuhusu kesi ya udhalilishaji wa ngono ambao mchezaji wa zamani wa Manchester City, Benjamin Mendy anahusishwa kufanya na wanawake nchini Uingereza. Mahakama imemkuta...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Watu wengi wanaweza kuona kikosi cha Yanga ni cha kawaida kutokana na sajili za Simba lakini kwangu mimi bado Yanga wana kikosi kikubwa zaidi ya Simba hasa hasa washambuliaji wa Yanga. Kipindi...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanasimba wenzangu embu tujiuze Kigwangalla ameifanyia nn Simba? Ni kwa nn anajitokeza kipindi tu kunapokuw na msigano baina ya sSimba na mwekezaji Mo? Tusimpe mwanya mtu mwenye chuki zake...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ikiwa yanga watamtumia zengeli vizuri watakuwa wamempata mchezaji mkubwa na mzuri zaidi na kuna uwezekano mkubwa akaibwa zaidi ya mayele Zengeli ni namba 10 halasi Japo anacheza namba 11 na 7...
8 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni ajabu sana kwa hizi timu zetu za Kitanzania Simba na Yanga kufanya mambo kienyeji kienyeji sana ili kuwafurahisha mashabiki wao na sio kuitengeneza timu. Kuna tetesi kuwa Simba wamemsajili...
8 Reactions
51 Replies
6K Views
Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu . Sijaridhishwa na namna...
10 Reactions
155 Replies
11K Views
Wachezaji wa kigeni hadi sasaivi tumezidisha naona kabisa Banda na sakho hawatakuwepo msimu huu
4 Reactions
39 Replies
7K Views
Nipo kwenye gym moja maarufu sana hapa karibu na Ubalozi wa Vatican lakini kwa masikio yangu nimemsikia mmoja wa wana kundi wa friends of Simba akimtuhumu mwenzao aliyepo karibu na Mudi kwa kuwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ila huyu mwamba ni uchochoro au kuna sababu nyingine? Haiwezekani beki bora unacheza dakika 90 ya mechi zote za CAF halafu unaaruhusu kamba 16. Upi umuhimu wako kwenye timu? Upi msaada wako...
2 Reactions
67 Replies
8K Views
Beki Kisiki Gift Fred kutoka Villa ya Uganda atua kwa Mabingwa wa nchi na wenye Historia yao Yanga. Hii inawafanya wazidi kuujenga ukuta wa Berlin wakati majirani wao wakiujenga ule wa Jeriko...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Swali ni watamkaba nani?
6 Reactions
55 Replies
5K Views
Giggy akipiga bonge la Own Goal (OG). Ana kitu
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi kama shabiki kindaki ndani wa Mo 29, nimekubali yaishe, mwaka huu tunapigwa tena. Hasira zangu ntamalizia kwa Ahmed Ally😥 Tangu aingie anatujaza matumaini hewa tu, boss nayeye amechoka na...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Hizi porojo tulishazizoea, mchezaji ana mkataba na timu yake wa mwaka mmoja alafu wajinga wajinga wanatembea na upepo kuihusisha yanga na mchezaji husika. Ni lini vilabu hivi vikauziana wachezaji...
1 Reactions
5 Replies
935 Views
Winga Teleza na mmwaga maji hatari kutokea Taifa la Congo kanaswa kwenye Nyavu za Wananchi na kila kitu kinaenda vizuri na kesho kuna uwezekano mkubwa akatangazwa na kuungana na Jeshi la Kijani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MSIMU ulioisha ulikuwa wa pili kwa Fiston Mayele hapa nchini. Msimu wake wa kwanza katika pambano moja la Simba alikutana na kisiki kinachoitwa Joash Onyango. Ni ndani ya miezi 24 tu iliyopita...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom