Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yupo wapi mwamba wa Lusaka? Nani amemshuhudia akishiriki yahusuyo Klabu yake tokea arejee juzi? Inasemekana, hata kwenye zoezi la kupimwa afya, hakuwepo! Vilevile, inadaiwa kaigomea safari ya...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Unaweza kucheza na Phiri kama CF lakini hana uwezo wa kukupa availability factor. Onana sio mchezaji wa kumtegemea, naye majeruhi yatamuandama. Kramo hawezi kicheza CF full season. Bocco ndio...
7 Reactions
69 Replies
7K Views
These is to much! kwa mwekezaji wa Aina hi kila wakat kuwatisha watu as if kwamba bila yeye Simba haitofika mbali ,huu Ni ujinga na upumbafu kuendelea kumbembeleza moo na kumuona mungu mtu ,kila...
13 Reactions
76 Replies
4K Views
Habari zenu wanakabumbu Hapa tufanye ndio sehemu sahihi ya kufurahia tamu za utani na kuuvumilia machungu ya timu hizi mbili nchini kupitia utani huo. Hizi ndio timu kongwe nchini zenye...
3 Reactions
18 Replies
863 Views
Kwa sisi wapenzi wa mpira na kisimbuzi cha Azam Tv, nilijipa muda nikachunga na kuthibitisha sisi Tanzania tunalipia pesa nyingi kununua na kulipia vifurushi vya Azam tv tofauti hata na majirani...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Timu ya soka ya Singida Fountaingate ya mkoani Singida imeingia mkataba na Shirika la Ndege la Precision Air la Tanzania kuwa Msafirishaji wake. Mkataba huo umelenga pia katika kutoa punguza la...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Bado siku 10 ifike tarehe 22, yanga tayari wameingia kambini kujiandaa na msimu ujao, za ndani zinasema kwamba yanga watacheza na Kaizer chief ya Afrika Kusini.
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Kiungo mwenye eneo lake ndani ya dimba atua Jangwani na kukabidhiwa Jezi namba 20 ile ile aliyoizoea. Usajili huu utakuwa na faida kubwa sana pale Jangwani kwa sababu huyu kiungo ana nyota yake...
1 Reactions
12 Replies
908 Views
Simba Sports Club imepanda viwango vya ubora wa CAF kutoka nafasi ya 9 hadi nafasi ya 7 Hii maana ake ni kuwa msimu ujao katika draw ya hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika, Simba...
8 Reactions
65 Replies
7K Views
Hii ni orodha ya matokeo ya viwango vipya ambavyo vimetolewa na Shirikisho laa Kimataifa la Takwimu na Historia za Mpira wa Miguu yaani (IFFHS) Link:- (IFFHS) Kongole kwa GSM kwa maana jitihada...
24 Reactions
123 Replies
16K Views
Je ndo siku ya Mwananchi au tutarajie nyingine?
0 Reactions
60 Replies
3K Views
Habari zenu. Fabrice ngoma ni mchezaji nzuri.. Juzi kati simba wameajiri scout wa kutafuta wachezaji je scout wa simba anapora wachezaji wa timu pinzani uwanja wa ndege,sasa kazi ya scout ni...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Rais wa heshima wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji'kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema "Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa"...
5 Reactions
146 Replies
13K Views
Kikao kilichofanyika juzi jumapili kati ya uongozi wa Yanga na usimamizi wa Mayele haukufikia muafaka Yanga wanadai hawataweza kuongeza ofa zaidi kwa Mayele na wamempa machaguo mawili wakala wake...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Makampuni mengi kwa sasa idara ya masoko hawabezi fact kwamba hizi timu zina wafuasi wengi kuzidi vyama vya siasa na huunganisha watu pamoja hata kwenye tofauti za kidini ama siasa. Makampuni...
2 Reactions
4 Replies
728 Views
Nilimsikia Msemaji wa Simba sc Ahmedy Ally akijinadi kwa madaha akiwadanganya mashabiki kuwa Simba Sc itamuaga Jonas Mkude na kustaafisha jezi yake. Hiyo ni kwa mbumbumbu tu wanaweza wakaunga...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Klabu za Kitayosce iliyoko Ligi Kuu ya NBC, na Fountain Gate inayocheza Ligi ya Championship zimefungiwa kusajili wachezaji. Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Niko hapa napiga story na ndugu Arafat ananitaarifu Wiki ya Wananchi msimu huu wanataka ipambwe na Wazulu kutoka Kusini. Siku ya jana walipewa mualiko rasmi hivyo wanategemea mrejesho siku ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Najua sio vizuri kuchanganya siasa na football Lakini naomba tusamehane kidogo Maana swala ili limekaa kisiasa Mwaka 2024 ndo kutakuwa uchaguzi mkubwa DRC Na kila kiongozi kwasasa anafanya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mo Dewji ni mwekezaji wa simba sport club kwa hisa 49% kwa nini analalamika? 1. ucheleweshaji wa mchakato wa mabadiliko 2. Upande wake umeshatimiza matakwa mahususi 3. Upande wa wanachama bado...
3 Reactions
4 Replies
559 Views
Back
Top Bottom