Soka ni pesa, bila pesa soka inaweweseka. Mohamed Dewji amekuwa sehemu muhimu ya maendeleo ya Simba Sc kiuchumi na hivyo kufanikisha pia usajili mzuri wa Wachezaji na benchi la ufundi.
Lakini...
Kwa Washambuliaji mahiri waliowahi kupita / kucheza Yanga SC hata huyu Mayele bado hajafikia 50% isipokuwa saaa anaimbwa na kupambwa kwakuwa tu Nyota imemuwakia na Vyombo vya Habari nchini...
Wenye Akili na tunaojua mengi na Kufukunyua yaliyojificha akina GENTAMIYCINE tuliposema habaki na anaondoka si mlitutukana hapa JamiiForums?
Haya litukaneni sasa na Gazeti la Nipashe ambalo...
Kutoka kwa Casto news.
𝗡𝗜 𝗦𝗜𝗔𝗦𝗔 𝗭𝗔𝗞𝗘 𝗧𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗞𝗘𝗭𝗔𝗝𝗜 𝗔𝗠𝗞𝗘𝗡𝗜 𝗠𝗔𝗞𝗢𝗟𝗢
Nimeona posti ya mwekezaji wa makolo analalamika kuwa anakwamishwa na atajitoa,,Okay hapa staki kuongea kishabiki wala...
Timu ya soka ya Yanga imemtambulisha Kocha Msaidizi kutoka Senegal anayeitwa Moussa Ngao. Kwa utambulisho huu ni wazi kuwa Cedric Kaze hatakuwa sehemu ya benchi la Ufundi la Yanga.
Klabu ya Misri iko tayari kuipa Yanga SC Billioni 2 na Kumpa Mshahara wa Tsh Milioni 85 za Kitanzania kwa Mwezi.
Klabu nyingine huko Saudi Arabia iko tayari kuipa Yanga SC Billioni 1.5 na...
"Asanteni kwa Upendo wenu mkubwa Kwangu na kiukweli bila Yanga SC nisingefikia haya Mafanikio niliyonayo sasa. Kiukweli tunacheza Mpira kwa ajili ya Pesa na Maisha hivyo nawaombeni nikacheze huko...
Watani wetu,
Wao kazi yao kama mashabiki hua wanaifahamu kila msimu,
Na majukumu ya mashabiki wa simba ni kama ifuatavyo,
1. Kuishangilia timu yao viwanja mbalimbali
2. Kujitahidi kumbembeleza...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hii imetokana na kuuza usingizi wao wakijua anashuka mayele au jembe lingine la maana,kustuka!!!!wakala chuma hiki hapa[emoji116][emoji116]
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hivi unajua kuwa umewakwaza mno 99% ya wana Yanga SC ambao hadi sasa wako roho juu kujua kama Mayele anabakia au anaondoka?
Hapo kwa Gift Fred hakuna Mchezaji.
Aliyekuwa Kiungo Mshambuliaji wa timu ya Ihefu ya Ubaruku mkoani Mbeya Adam Adam aangukia mikononi mwa Mashujaa FC wa Kigoma.
Adam Adam alijiunga na Ihefu January 2023 na sasa ni mali ya Mashujaa...
Ukipita mitaani ukawakuta mashabiki ,WA Simba na wachambuzi wa soka watakuonyesha kwamba mo dewj anaidhulum Simba au wanataka billion 20, wakati huo huo mo dewj ameendelea kutumia pesa zake...
Imekua kawaida sasa kuona mashabiki wa simba wakifanyiwa mizaha na viongozi wao kwa kuendesha propaganda ambazo ni wazi nyuma yake kuna viongozi wao. Nasema hivi kwa sababu kwanini wanaozusha hizi...
Hatimae TFF wameachia ratiba ya Ngao ya Jamii kwa timu nne ambazo ni Yanga, Simba, Azam na Singida. Mechi zote kupigwa katika dimba la Mkwakwani kuanzia August.
Kwa ratiba hii unamuona nani akiwa...
Mzuka wanajamvi!
Hii kasumba ya ubaguzi kwenye mpira inaonekana waziwazi.
Hata George weah alivyopewa balloon d'or miaka ya nyuma kwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wazungu walilalamika ilikuwaje...
Siwezi kulipwa milioni tano tu nikala ugali na sukari nikakupa pasi ili ufunge.
Kocha Nabi alikuwa analipwa milioni 35, mzee wa kutetema sasa rasmi kuwa mchezaji ghali Afrika Mashariki nzima...
Wasalaam
Nakumbuka nlitengana na mpenzi wangu mmoja kisa , mpira
Mpira ni furaha yetu , tuna furaha nyingi sana ila mpira hauna kifani .
Mpira unatuumiza sana sometimes pale , timu zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.