Yanick Bangala kwangu Mimi bado ni kitasa haswaa tena ni mchezaji mzuri japo kuwa Yanga inaviungo wakabaji wengi lakini ukipiga hesabu za uchezaji namba sita (6) hakuna wa kumfikia Yanick Bangala...
Ukweli mshahara wa milioni 14 ni mdogo sana ukilinganisha na mchango na umuhimu kwenye klabu. Ikumbukukwe alirejeshwa kwa Mkopo na kuisadia wakati Ina struggle.
Alipaswa kulipwa mshahara mkubwa...
1. Congo DR
2. Afrika Kusini.
3. Ivory Coast
4. Burundi
Ila Wenye 99% ya Kusajiliwa ni wa kutoka Congo DR au Afrika Kusini na Ivory Coast na sababu Kuu ya huyu wa Burundi kutohitajika sana ni...
Na ndiyo Mchezaji ambaye Kisiri kabisa anawindwa na Simba SC Kusajiliwa baada ya Taarifa za ndani ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa kuwa kutokana na kuwa ni Kinara wa Kuongoza Migomo (na Nduguye...
Kampuni ya Vifaa vya Michezo duniani ya ADIDAS imetua ndani ya Timu ya Orlando Pirates ya nchini Afrika ya Kusini. Kwa sasa timu hiyo itavaa jersey zake zitakazokuwa na nembo ya ADIDAS hii ni...
Kwa hii Mbinu Jezi #6 FC nawasifu hakika Marketing mnaijua kuifanya vyema.
Mlianza kwa Kumvalisha Jezi yenu mpya ya 'Magemu Magemu' ili Kuwaaminisha Mashabiki.
Wafuatiliaji wa mambo tunajua kuwa...
Nawaomba Sana ndugu Wana Simba,tumshikilie Chama kwa nguvu zote maana bado tunamtegemea Sana
Tusidanganyike na usajili mpya maana bado watu hatujawajua
Mabifu yamalizen
Tokea GENTAMYCINE nizaliwe na niwe mfuatiliaji wa Mpira hadi sijawahi ama Kuona au Kusikia Klabu inakwenda Pre Season Kimafungu Mafungu kama ilivyo kwa Klabu yangu pendwa ya Simba SC.
Kwa mtazamo...
Fiston Kalala Mayele.
Aondoka RASMI YANGA kuelekea pyramid FC.
KWAHERI Mayele Kila LAKHERI huko uendako.
MAMBO KUMI YA FISTON MAYELE.
1.Ulikuwa mshambuliaji Bora.
2. Ulikuwa mchezaji...
Suala la Chama si suala la kuchekea bali ni suala la udhariri kwa timu kubwa Kama Simba Sc kubembeleza mchezaji.
Hii haileti picha nzuri kuanzia benchi la ufundi mpaka kwa wachezaji, ni suala...
Club ya PAOK ya Nchini Ugiriki imetangaza Kumsajiri Mtanzania Mwenzetu SAMATTA akitokea Fenabache, Cha Kushangaza nimepia Comment za Mashabiki asilimia 99% hawajapenda Usajiri wake.
Kwa msaada wa...
Siku za hivi karibuni tumezoea kuwaona wazee wa Robo Fainali CAF aka mwakalobo aka kolowizad aka boss wa kununanuna wakipika data mbalimbali ili tu wawapiku wapinzani wao wa jadi ambao kwa sasa...
Unaenda Pre Season bila ya Kocha Mkuu, Msaidizi, na bado unatumia jezi ya msimu uliopita, hii ni record Simba wameweka.
Inshort wameenda Pre Season bila ya kuwa na bench la ufundi.
BREAKING NEWS!
Majadiliano ya muda mrefu baina ya uongozi wa Yanga SC na Fiston Kalala Mayele yamefikia tamati kwa mshambuliaji huyo kuuambia uongozi kuwa anahitaji kupata changamoto mpya...
Timu ya wekundu wa msimbazi wana jambo la kujifunza, haswa nini cha kufanya kipindi cha preseason nini umuhimu wa preseason na Benchi la ufundi linanufaika vipi.
Simba wamepeleka timu uturuki...
Hapo nyuma kiungo fundi wa mpira Maestro Chama aliwahi kuandika kupitia akaunti ya twita kuwa
"laiti Kama ningepata nafasi ya kushauri kamati ya usajili ningewashauri wamrudishe miqson au bwalya"...
Bado kuna sintofahamu juu ya mustakabli wa kiungo Clatous Chama ndani ya Simba SC baada ya kundi la pili la wachezaji kuondoka kuelekea Uturuki kuungana na wenzao kwa ajili ya maandalizi ya msimu...
Mpaka sasa NALIA NGWENA kutoka kwenye vyanzo vyangu ninavyoviamini, Khalid Aucho na Goli kipa Diara bado hawajaripoti kambini na hakuna taarifa yoyote kuwahusu.
Aucho ndiyo kiungo bora na ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.