Kwahiyo baada ya Kumkosa Mchezaji mliyekuwa mnamtaka mno na mmemsotea sana aitwae Zougrana wa Asec Abidjan FC na sasa Kasajiliwa USM Algers ili Kuwazuga Mashabiki wenu mmeamua Kusajili Wachezaji...
Kuna timu moja GENTAMYCINE naionya mapema ijitahidi tu kwa Makusudi ifungwe na Azam FC kwani ikishinda na ikikutana nami Simba SC ninayeenda kumpiga Kipigo cha Kishalubela (Kikatili) Nduguye wa...
HILI JIWE KATUPIWA KAKA GANI ?
Ameamdika aliyekuwa CEO wa Simba, Barbara Gonzalez
[emoji1600] Binaadamu tunatatizo la kusahau. Hakuna mwenye cheo cha milele! Ubabe utafikia kikomo chake. Kiburi...
Mtangazaji wa Michezo wa Redio Kubwa na inayokubalika nchini Congo DR ya ( iitwayo ) Top Congo FM Mwanadada Sylivia Meya kasema Mayele akiuzwa Kokote kule Yanga SC waliopewa kwa Mkopo wataambulia...
Kambi imeshaanza Avic Town Kigamboni ila Kipa Diara, Kiungo Mshambuliaji Aziz K, Kiungo tegemezi Aucho, Kiungo Fundi aliyewahi kuwa MVP Bangala na Beki mahiri wa Kulia Djuma Shabaan hadi sasa Wote...
Waziri Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana pamoja na Balozi wa Ufaransa hapa nchini Mhe. Nabil Hajlaoui Julai 19, 2023 Jijini Dar es Salaam wameshiriki uzinduzi rasmi wa...
Kwa Uwezo mkubwa aliouonyesha Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera nina uhakika kama tu akisajiliwa Wachezaji wa maana (Majembe) Msimu ujao Simba SC haitoishia tu kufika hatua ya Nusu Fainali...
Hatimaye Club ya Yanga imefanikisha kunasa saini ya mchezaji kinda kutoka Afrika Kusini anayeitwa Mahlatsi Makudubela (33) almaarufu kama Skudu.
Mchezaji huyo kinda (33) alikuwa anakipiga kwenye...
Naangalia kombe la Dunia la Wanawake hapa, michuano inayofanyika kwa ushirikiano wa nchi mbili ndugu, New Zealand na Australia. Mchezo wa kwanza New Zealand kashinda 1-0 dhidi ya Norway, sahizi ni...
TFF na viongozi wa Yanga sc hapakaliki, wanapigana vikumbo kuona namna gani /kuweka mikakati mpaka Jambo la Feisal Salum kuisha.
Feisal Salumu hana timu ya kucheza zaidi ya Simba na Yanga, huo...
Mashabiki wa Simba sc walimuimba na kumkejeli Saidoo Ntibazonkiza kwa kusema kuwa umri wake umeenda na kusema kuwa ni "Babu".
Alipomaliza kandarasi Yanga sc alijiunga na Simba sc akitokea Geita...
Hakuna furaha ambayo mwana Simba SC yoyote anayo leo ukiachia mbali ile ya kuwa na Kikosi cha Mauaji ya Shalubela baada ya kufanya Usajili wa Kufa Mtu na ushindi murua kabisa wa leo wa Wanasimba...
Kwa Usajili mnao ufanya ni wazi Sasa ile tabia yenu ya Kulalamika inaendelea. Mwakalebela na malalamiko yake ya kutaka kujitoa Ligi ya bongo ajiandae.
Misimu yote iliyopita hatujasikia malalamiko...
Kamati imetangaza mapema leo kwamba Haji Manara atapunguziwa adhabu yake aliyopewa awali. Kwenye suala la hela imeshuka kutoka ilipokuwa awali milioni 20 hadi milioni 10 na azilipe ndani ya siku...
Ninawasi wasi na huu ubunifu wa Simba kama kweli utaleta maana wakati baadhi ya watu muhimu watakaposhindwa kukwea hadi kileleni mwa mlima.
Sitaki kuwatisha lakini sio kazi rahisi kutoka Dar na...
Kwa uzito.
1. Tayari kocha mkuu wa stars na Msaidizi Moroko wamekiri kumshauri arudi Yanga ili acheze stars.
2. Alipofika tu airport akapigwa picha akiwa na wachezaji wa Yanga.
3. Tff iliwaacha...
Wakati sajili zinaenda kutamatika kwa timu mbalimbali, hadi sasa kwenye mpira wa kimtazamo ( mpira wa makaratasi) Simba na Azam wananda kuipa wakati mgumu Yanga kwenye mbio za ubingwa wa NBC na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.