Mashine ya Mjerumani imeanza kazi huko DRC ambapo ile falsafa ya Gusa Achia Twende Kwao imeanza kufanya kazi ambapo mkongo kakimbizwa isivyo kawaida kipindi cha pili hadi akaamua kuachia, ilikuwa...
TAKWIMU ZA SAED RAMOVIC LIGI KUU AFRIKA KUSINI AKIWA TS GALAXY.
.
🏟 — 76 Mechi
✅ — 27 Ushindi
🤝 — 22 Sare
❎ — 27 Vipigo
⚽ — 82 Magoli ya kufunga
🥅 — 68 Magoli ya kufungwa
🚫 — 31 Clean Sheet...
Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, amemjibu Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, kufuatia tuhuma alizozitoa za Simba kubebwa na waamuzi katika Ligi Kuu.
Kupitia ujumbe wake, Ahmed;
Soma: Malalamiko...
Wanajukwaa Kwema!
Leo Asilimia 90 ya mijadala iliyofanywa kwenye vipindi vya Michezo, Wachambuzi wamejadili kuhusu Makosa ya Waamuzi kwenye mechi ya Kolo.
Na leo sio mara ya kwanza, Huu ni...
Kibu Denis kwenye ligi kuu ana zaidi ya siku 400 tangu afunge goli lake la mwisho, goli la mwisho Kibu alifunga tarehe 5/11/2023, ambapo aliwafunga Yanga kwenye yale matokeo ya goli 5-1, baada ya...
Kocha wala ubora wa team. Ni ushindi wa kimichongo. Ndo maana unaona Yanga tunapita mtu 5 lakini wala hatuongei sana. Tunafahamu si mbinu za kocha wala si ubora wa wachezaji.
Hizi teams...
Nimecheki hii orodha baada ya Kusikia Mwamuzi Kepha Kayombo amechezesha mechi nyingi za Simba Sports
KEPHA KAYOMBO. Amechezesha Mechi hizi za simba Sports
Vs Jkt Tanzania
Vs Coastal Union
Vs...
Haijajulikana amefuata nini.
Ila watu wachawi sana,mmemsagia kunguni mwenzenu kuwa hafiki pasaka na hajafika kweli ilaCV yake imeboreahwa
Soma Pia: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi
Kwa kawaida mchawi hudhani watu wengine ni wachawi pia.Ukiona unafanikiwa kazini wachawi wa hapo kazini wajaribu kukuroga wakashindwa kwa kuwa tu una Mungu,watajua wewe ni mchawi kuliko wao.
Kwa...
Tunajua utopolo ana mamluki wengi,wengi wakiwa wezi wakubwa hii nchi wanaotoa pesa zao kuhonga wachezaji wa timu pinzani ili ama wawalegezee wanapocheza Mao,ama waikamie Simba ikibidi hata kuvunja...
Sead Ramovic ni kocha wa Kijerumani ambaye anatajwa kwa nafasi kubwa kama mrithi wa Miguel Gamondi aliyefurushwa mapema leo.
Ramovic alikuwa anakinoa kikosi cha TS Galaxy kinachoshiriki Ligi Kuu...
I salute you kinsmen
Hivi sasa imekuwa too much kwa ligi yetu ambayo inazidi kupanda ubora ila sasa wahuni wachache wakiongozwa na TFF na klabu yao ya simba wanatia kinyaa sana
Nadhani msimu huu...
Simba wapo ugenini kikanuni ila kiuhalisia ni kama walikuwa home tu. Uwanja umejaa watu wa simba utadhani ni dsm
Jifunzeni uzalendo nyie wakulima. Mnaipenda simba badala.ya team yenu.ya home...
Mimi nakumbuka hii hapa.
Siku hii tukiwa na ma fans wa Germany, baada ya matokeo, Pombe zilinyweka kuanzia saa 6 usiku huo Hadi kesho yake saa 6 usiku. (Mengine sisemi).
Toka siku hiyo sijwahi...
Kwa mechi ya Jana na Tabora na mechi iliyopita na CS Constantine inaonekana kabisa kuna marekebisho makubwa Sana yanatakiwa kufanyika wakati Simba inajenga timu.
Kwanza wachezaji waongeze umakini...
Tuweke Ushabiki kando.
Hii ligi yetu inaelekea wapi.
Timu za Arsenal na Manchester City tunazozifahamu wengi wetu. Ni timu zilizo kwny nafasi za juu kwenye ligi ya Uingereza.
Ni timu zilizo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.