WATANI WANA MAMBO
Jumapili yawadia,Ya watani kuumana
Tamati zitafikia,Zile tambo za Mabwana
Mana tumezisikia,Tokea kitambo sana
Hakika litasimama, Jiji la Darisalama.
Huku mkongo Zahera, Na...
Hili basi linalobeba wachezaji wa timu ya soka ya Kagera sugar limepaki pembeni ya barabara ya Morogoro-Dodoma maeneo ya Kihonda kwa muda wa mwezi mmoja sasa.
Nadhani litakuwa na hitilafu...
1. Simba SC ina Hela na haitegemei Kuuza Jezi ndiyo isafiri
2. Timu inayoshiriki African Super League lazima iwe tofauti na Wengine.
3. Timu inayoshika namba 9 kwa Ubora Afrika lazima Maandalizi...
Mpaka mkichana na Kusajili Virusi wa Simba na Yanga huku pia mkiwa na Viongozi Waandamizi wenye Uyanga na Usimba mwingi.
Ninawashangaa mno mnavyosajili.
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania wamezindua jezi mpya za Club ya Yanga usiku huu kwenye Ikulu ya Malawi ambako Yanga na Rais Samia walialikwa kusherehekea...
Na msivyo na Akili hata na Makabi Lilepo ambaye kwa 99% mmeshamalizana nae kwa mujibu wa Taarifa yao ( Klabu hiyo ya Sudan ) ni kwamba hata Yeye nae yuko katika Kushtakiwa pamoja na Fabrice Ngoma...
Licha ya kuwa mfungaji Bora Tena kutokea timu ya kawaida kwenye ligi ngumu namba 5 Africa. George Mpole hakuonekana kuwa Lulu Tanzania.
Sio Azam, Yanga Wala Simba zilizoonesha Nia ya kumfukuzia...
WATANI WANA MAMBO
Jumapili yawadia,Ya watani kuumana
Tamati zitafikia,Zile tambo za Mabwana
Mana tumezisikia,Tokea kitambo sana
Hakika litasimama, Jiji la Darisalama.
Huku mkongo Zahera, Na kule...
Yaani kila Siku tu Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe unazidi tu Kujichoresha na Kujidhalilisha kwa Kauli zako.
Wenye Akili zaidi yako tunajua kuwa kuna Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC ya nchini...
[emoji599] OFFICIAL: Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa chipukizi Nickson Kibabage aliyekuwa Singida Big Stars kwa mkataba wa miaka miwili.
Siyo kwenye uchambuzi bali utangazaji wa mpira, watangazaji wake wamepoa sana, hawajachangamka, hawana yale maneno tuliyozoea ya kuvutia, hata goli likifungwa, inaboa kusikiliza linavyotangazwa...
Alipokuwa ana kila dalili za Kutua Kwenu huyu Fabrice Ngoma mlikuwa mkimsifia sana katika Kurasa zenu, Watangazaji na Wachambuzi wenu leo hii mmemkosa kwa Kunyang'anywa Tonge Mdomoni Kimafia na...
Na GENTAMIYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC hapa JamiiForums na hata nje ya JamiiForums nasema hii tabia iwe mwanzo na mwisho sawa?
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said tunamtaka haraka Fabrice...
Ally kamwe : "Kama wanasema Kuna mchezaji kapotea airport na wamemchukua hongera kwao Ila wanachi wasubiri furaha Tena furaha kubwa"
Eng Hers "waandishi wa Habari mnaposikia tetesi Kama hizo za...
Akikubali kwenda South Africa au Uarabuni ambako atalipwa kati ya Tsh Milioni 70 hadi 85 za Kitanzania kwa Mwezi nitamuona ana Akili ( Kipanga )
Akikubali kubakia Yanga SC kwa Mshahara wa Tsh...
Boston, Marekani
MBIO ZA MARATHON BOSTON 2023 - APRIL 17, 2023
GABRIEL GEAY AMALIZA MBIO ZA BOSTON MARATHON 2023 NCHINI MAREKANI NA KUSHIKA NAFASI YA PILI , KONGOLE KWA GABRIEL GEAY !
Evans...
Paul Pogba ni mmoja ya wachezaji waliotarajiwa makubwa wakati akiwa anakua. Alitajwa kuwa na kipaji kikubwa na uwezo mkubwa wa kucheza kama kiungo.
Akatoka Man Utd baada ya kukosa nafasi akaenda...
Man city wamejitoa katika kinyang’anyiro cha kumuwania kiungo wa kiingereza anayekipiga West Ham Declan Rice.
Sababu kuu ya kujitoa ni baada ya West Ham kutaka paundi milioni 100 ili iweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.