Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Una jua kuna vitu vinafikirisha mno. Jumatatu kulikuwa na story za Yanga kufungiwa kutokusajili mchezaji yeyote. Wasakatonge wakawa wanashangilia, hata ushahidi wa picha ukawekwa bayana, ili...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilitegemea atahukumiwa ama Kifungo cha Miaka 15 au hata Maisha na Faini ya Shilingi Milioni Kumi ( 10 ) ili iwe Fundisho kwa Wapuuzi Wenzake wengine cha Kushangaza kafungiwa Mwaka Mmoja tu na...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilitaka niposti kwenye jukwaa la michezo ila kwa hili lililotokea lina kipaumbele cha amani tuliyonayo kutiwa doa kuzidi sheria za mpira, Kuna timu kutokea Kigoma inaitwa Mashujaa, leo walikuwa...
17 Reactions
71 Replies
6K Views
Nimeona taarifa ya TFF kuwa Kocha wa Makipa wa Timu ya Mashujaa aliyempiga ngumi ya usoni Kocha wa Mbeya City kuwa amefungiwa mwaka Mmoja na Faini ya Milioni 2. Niseme tu kuwa, natamani siku...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Pale Real Madrid kulikuwa na mtoto wa nyumbani. Wachezaji walisajiliwa wakamkuta Guti wakamaliza wakaondoka wakamuacha Guti. Huyu alikuwa zao la academy ya Madrid, aliipenda Madrid kuliko kitu...
9 Reactions
34 Replies
2K Views
NALIA NGWENA nimejiuliza swali Hilo baada ya kuona Simba sc kila msimu wanakimbilia nje ya nchi lakini ukija kuchunguza mafanikio ni zero (no improvement). Siwezi kuwa mmoja wa mbumbumbu kupiga...
0 Reactions
11 Replies
946 Views
WAKATI Simba ilionekana kama imekosea kuwasajili Victor Akpan na Nassor Kapama katika dirisha kubwa lililopita la uhamisho, hatimaye Januari ikafika. Mtu mmoja mwenye busara zake akaishauri Simba...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kudadadeki TFF andaeni kabisa Kombe la NBC kwa Msimu ujao wa 2023/2024 kwani kwa vyuma vitano hatari nilivyoviona Mwenyewe na ninavyowajua Uwezo wao mkubwa Uwanjani kuna Timu itabeba Vikombe vyoye...
22 Reactions
48 Replies
5K Views
Klabu ya Yanga imetangaza kupokea mwaliko maalumu kutoka serikali ya Malawi kucheza mchezo maalum kwenye maadhimisho ya ya miaka 59 ya Uhuru wa Taifa hilo lililopo Kusini Mashariki mwa bara la...
8 Reactions
81 Replies
5K Views
Hakuna kitu kinachonifanya nikasirike kama mpira wetu huu wa bongo swala la ligi. Timu ni mbili tu simba na yanga na kila mchezaji wa ndani anatamani kufikia hapo. Wachezaji wakishatoka au mkataba...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimemuona Tshabalala kwenye mechi ya Team Kibwana vs Team Job ingawa wapo baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwemo Israel Mwenda na Mzamiru Yassin. Hata hivyo nimeona pia kwenye page ya engineer...
9 Reactions
31 Replies
3K Views
Shirikisho la soka la Kimataifa (FIFA) wamekuja na sheria mpya ya offside ambayo ili mchezaji ahesabiwe alikuwa offside ni lazima awe amempita mchezaji wa timu pinzani kwa mwili wake wote
11 Reactions
74 Replies
8K Views
Simba inatakiwa kupunguza wachezaji wa kigeni ili iweze kusajili wengine, kwa sasa imebakiwa na wachezaji 9, hivyo ina nafasi ya kuongeza 3 wa kigeni ili kufikia 12, hata hivyo inaonekana Simba...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi kwetu ni Tanga, nimezaliwa Ocean Road pale Ilala lakini babaangu ni mdigo wa Mwakidila ila ameniachia nyumba pale Mabawa, nina ndugu Chumbageni, Commercial, Mikanjuni, usagara na Duga. Tanga...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Hili chama la chamazi ukilipanga kosi lake sio mchezo, linatisha hasa. Kama mwakani litashindwa kubeba ndoo kwa kweli wavunje timu. Winga Sopu, winga mraja Casablanca, mido Akaminko mido...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Mmoja wa wachezaji waliopewa "Thank You" pale Simba ni Mohammed Outtara. Huyu ni mchezaji ambaye kila mara watu walipokuwa wakiongelea wachezaji wabovu waliopo Simba na huyu alikuwa anatajwa na...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Kiukweli nchi hii ukiwa akili au tajiri utazidi kuwa tajiri. kuwepo kwa kadi za uwananchama sio kutengeneza mazingira ya kuwachangisha kisha muwekezaji asitumie pesa yake. wanachama watakapo...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna wana JF walikuwa hawajazaliwa, leo wako busy kumtukana Mzee Mohamed Said na Pascal Mayalla.
5 Reactions
8 Replies
699 Views
Kaizer Chief wanajua sana. Wakati wa anafanyiwa usaili alijigamba kuwa anaweza kuleta maajabu kilabuni, akaambiwa njo uanze kazi akaanza mara nije na Mayele na benchi langi lote,janaa wakamstukia...
7 Reactions
31 Replies
4K Views
Rais Samia katika jitihada za kukuza michezo nchini alitoa ndege ya bure kwa wachezaji na wadau wa soka nchini kwenda Algeria kuipa hamasa Yanga ya kupambana. Inafahamika kuwa wadau wa michezo ni...
0 Reactions
7 Replies
800 Views
Back
Top Bottom