Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ukiniuliza mimi ni shabiki wa Timu gani nitakujibu, (Mimi ni shabiki wa Simba ila Naipenda Yanga daima) Yanga ni Timu kubwa ambayo inaendeshwa kikubwa licha ya kuwa asilimia kubwa ya viongozi wake...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Leo ndio ile siku Suleiman Kidunda anazichapa na mkongo. Kwasasa tunacheki burudani ya mapambano ya utangulizi taarifa zaidi kukujia hivi punde
1 Reactions
2 Replies
674 Views
Timu ya Tanzania ya Beach Soccer imepata Medali ya Bronze baada ya kufanikiwa kuwachapa Libya Magoli 9-3. Morocco imetwaa Ubingwa baada ya kutoka Sare ya 3-3 dhidi ya Senegal, mchezo ulioishia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataarifiwa hapa kuwa Mazungumzo yaliyotamatika jioni hii kati ya Wakala wa mchezaji na Bwana Hersi yamefikia tamani. Yanga wame-table mshahara wa Mil 5 kwa mwezi kwa mchezaji na pamoja na...
4 Reactions
37 Replies
6K Views
Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu amesema tangu Rais wa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameingia madarakani amehamasisha masuala ya Utamaduni na Michezo ambaye...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Mwanasoka wa Manchester City, Benjamin Mendy (28) anatuhumiwa kwa kosa la kumbaka msichana mmoja mwenye umri wa miaka 28 na kumwambia msichana huyo “ni sawa, kwani ameshafanya ngono na wanawake...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu mko salama? Kwa wale ambao hamkubahatika kuiona mechi kali kati ya Argentina vs France pale Qatar basi muda huu kupitia Dstv channel No. 224 wanaonesha mtanange huu muda huu. Kazi kwenu.
1 Reactions
1 Replies
273 Views
Tazameni kwa umakini goli la pili,linatia raha sana. Ni kama kuukung'uta mchuchu goli la kibabe kelele zake ziufikie mtaa wa tatu. Ukiwa unautoa nje anatembea kibabe....namna hii
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Ally Kamwe alijibu swali Hilo kupitia Mpenja TV. Micky Jr anatumika vibaya na wanasimba kusambaza propaganda dhidi ya Yanga sc, hakuna alijualo kuhusu Yanga sc na habari zake ni kubashiri tu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama tetesi hizi zitakua ni za kweli Basi tutegemee kuona ushindani wa hali wa juu katika mpira wetu.
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Philip Jones alisajiliwa na aliyekuwa kocha wa Man Utd, Sir Alex Ferguson mwaka 2011. Kipindi hiko akiwa kinda akichezea Blackburn Rovers. Alitajwa kama mchezaji bora katika nafasi ya ulinzi wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanariadha Faraja Lazaro Damas na Magdalena Shauri ambao ni Mume na mke na ni waajiriwa wa (JWTZ) wameshinda mbio za JKT Half Marathon 2023, Zilizofanyika tarehe 25 Juni 2023, jijini Dodoma...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo nimesoma comment za wakongo kuhusu Fiston Mayele. Pamoja na kuwa Mayele hapa kwetu tunamuona King wa Goals, kwao Kongo kule kuna watu hawamkubali kabisa na kila akifanya vizuri kazi yao ni...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Kolo aka mbumbumbu fc sijui ni lini watakuwa makini na usajili. Kila msimu ukitia ndani msimu huu, wameendelea kusajili magarasa tu. Sasa hivi wanahangaika na Djuma Shaban, Yanini Bangaiza, na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ningepata nafasi ya kumshauri Fiston Mayele Ningemshauri kuwa Na yeye aendae mchenzo wa kucsaidia ndugu zetu wa Kongo ya mashariki wanao teseka na vita mchenzo uo utausisha wachezaji wa Mazembe...
0 Reactions
2 Replies
690 Views
Niambieni walishinda CAF msimu huo? Kila Sehemu na Tamaduni zake katika Football, Afrika tuna utamaduni wetu tofauti na Ulaya Japo tunaweza endana kwenye vitu flan but vingine tukatofautiana.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kila Simba inapoingia robo finali mashindo ya CAF Tajiri Mohamed Dewj anajitokeza hazarani kudai anapata hasara kwelikweli kwa kuidhamini Simba, Ni kwanini hasara anazopata zinatangazwa kwenye...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Timu hii mwaka jana ilisifiwa sana kiasi kwamba wengine tulidhani itafika mbali sana.Ukweli walichojitahidi tu ni kuondoa unyonge wao dhidi ya Simba.Na hapa tuliona kocha aliyekuwa na mapenzi na...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
BREAKING NEWS 🚨 Tunayofuraha kuwataarifu kuwa tumefikia makubaliano na klabu ya @RCAofficiel, ya kumnunua kiungo wao mshambuliaji, Gibril Sillah. Nyota huyo wa Gambia, anatarajia kutua nchini...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom