Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Jonas Mkude amepewa kandarasi ya mwaka mmoja pale jangwani, hizi timu bana, sasa Ambundo na Mkude nani mwenye afadhali, Ambundo ni kiungo wa pembeni lakini ana msaada kuliko huyo Mkude ambaye...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mkude amefanya nini la maana Simba Sports mpaka jezi namba 20 aliyokuwa anavaa kustaafishwa? Sijaona Barcelona wakistaafisha jezi ya Messi, Man Utd wakistaafisha jezi ya Giggs au Ronaldo? Ac...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Yanga wameweka financial statements report yao juzi kwenye mkutano wao mkuu. Ila kwa sisi wana uchumi wa brat na trap kuna sehemu haijaeleweka na tena viongozi wao wanajisifu kabisa. Ni kwamba...
9 Reactions
210 Replies
8K Views
Waswahili wanasema "ukimuiga tembo kunya Basi utapasuka msamba' Nawasilisha swali langu hapo juu.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
NIMEKUMBUKA miaka michache tu iliyopita, Simba walikuwa wanapigania maisha yao kwa Jonas Gerald Mkude. Wakati huo mkataba wake ulikuwa unakaribia kumalizika Simba na Yanga walikuwa wanahaha...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Sasa najiuliza unawezaje uagize jezi kibao bila haya kuziona zinafananaje? Hapa ni kama DP World tu na bandari yetu
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Huwezi kuwa na Timu halafu Asubuhi Spika wa Bunge anaenda na Kuwaambia Wamsikilize Yete huku akimbeza Mpinzani wake Sugu na Mbunge Mstaafu na mwenye Ushawishi Mbeya Mjini Sugu nae akienda...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Mnyama Mkali Mwituni, Simba SC kutoka viunga vya Msimbazi jijini Dar es salaam, katika kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya Ligi Kuu, michuano ya Kimataifa msimu wa 2022/23 leo Agosti 3, 2022...
31 Reactions
97 Replies
9K Views
Ninaambiwa hapa kuwa viongozi wanaumiza vichwa kutafuta namna sahihi ya kutimiza malengo na matakwa ya ripoti aliyo iacha Robertinho. Coach Robertinho haioni nafasi ya Chama katika kikosi chake...
10 Reactions
38 Replies
3K Views
Wana agenda yao ya kuizungumza leo saa tano inayohusu usajili, na topic iliyobeba tukio hilo ni "NDIO! Wameungana tena."
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimeshangaa sana kuona viongozi bila ata chembe ya aibu wanaudanganya umma, bajeti ya klabu kwa mwaka 2023/2024 imepitishwa kwenye mkutano mkuu ni bilioni 13, lakini maajabu ya musa yanajitokeza...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
EDO: SIMBA WANAWEZA KUACHANA NA BWALYA Rally Bwalya? Huu ni mtihani. Kipaji kipo kwa Bwalya lakini hajawahi kuikamata Simba kama inavyotakiwa. Hata walipoondoka Luis Miquissone na Clatous Chotta...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Klabu ya Simba yenye maskani yake mitaa ya Msimbazi Jijini Dar es salaam leo Juni 17 2022, imetangaza rasmi kumuuza kiungo wake Left Footer Magician, Rally Bwalya raia wa Zambia. "Tumefikia...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Taarifa za ndani zinasema kuwa kiungo wa Simba, Rally Bwalya ameshamwaga wino wa kujiunga na klabu ya Amazulu ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini, lakini uongozi wa Wekundu wa Msimbazi umesema umepokea...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Nawasalim kwa jina la jamhuri wa muungano wa Tanzania. Aliyesema mungu si athumani hakukosea maana angekuwa athumani wengine wangekosa riziki maana angelipiza kisasa kwa maadui zake. Duniani...
12 Reactions
48 Replies
3K Views
Hayo ni maneno ya Ahmedy Ally msemaji wa Simba sc. Baada ya kauli hiyo ya kusema kuwa Okwa hajaonesha uwezo na ndiyo maana makocha wamemuweka benchi. NALIA NGWENA kwa mawazo yangu nauliza Mkude...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC Ahmed Ally kupitia Simba TV ametangaza kuwa Simba SC imeistaafisha jezi namba 20 iliyokuwa inatumiwa na Kiungo wao Jonas Mkude hadi pale...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Dalali: Bilion 10 mara ya Kwanza... Simba; Bilioni 13 Dalali: Bilion 13 mara ya Kwanza.. Bilioni 13 Mara ya pili... Yanga: Bilioni 20 Dalali: Bilion 20 Mara ya Kwanza, Bilioni 20 mara ya pili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
“Wakati Zoran akiwa Simba ilikuwa unacheza kulingana na ulivyoperfom kwenye mazoezi, lakini baada ya kuondoka ikawa kama Kuna watu wanaleta list ya wachezaji wanaotakiwa kucheza na hawa wasicheze...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Kichekesho baada ya kichekesho: Idara ya Fedha imeshindwa kabisa kuja na hesabu ya kutuambia mchanganuo wa msimu ulio pita kuonyesha faida/hasara. Wanachama wako mitandaoni hawafahamu chochote...
4 Reactions
56 Replies
4K Views
Back
Top Bottom