Ni muda sahihi kwa sisi Simba kumrudisha Morrison (toto tundu) Msimbazi. Morrison ni toto tundu lakini kipaji kipo, anaweza kutusaidia sana pale mbele akiwa na Saido na Chama.
Chondechonde...
Watani zetu simba tumemtema kakolanya. Sijajua sababu lakini kwangu ni kipa bora asiye na mbadala wakati huu manula hayupo
Yanga changamkieni maana tofauti na diara wengine magalasa
Simba guvu...
Kuna goli moja aliwahi kufunga mshambuliaji wa Ghana, Asamoah Gyan katika Kombe la Dunia 2010 katika mechi ya Ghana vs USA.
Wakati Gyan anaelekea kufunga aligongana na beki wa USA, Carlos...
It is undisputed facts kwamba Kipa namba 1 wa Timu ya Taifa kwa sasa ni Benno Kakolanya, no doubt.
Lakini katika namna ambayo wengi tulishagundua kitambo tangu alipoanza kukalia benchi vs na...
Ushindi wao wa 3 - 1 walioupata leo dhidi ya Mbeya City ya Jijini Mbeya unawafanya kuwa na uhakika wa kupanda Ligi Kuu zaidi labda Mbeya City wakapindue meza nyumbani.
Beki kisiki wa Simba bwana Joash Onyango ametangaza kuachana na timu hiyo na sasa yuko huru kutafuta marisho mapya, huku akisema Simba kuna ubabaishaji mwingi.
-----
UONGOZI wa Simba umefikia...
Msuva: ”Naweza kucheza team yoyote iwe Simba SC au hata Azam FC kwasababu nilishacheza pale. Lakini nafasi kubwa nawapa Yanga Africa " Simon Msuva via #eSport
Yanga imemtema Morrison, imefanya tathmini na kuona ni mchezaji mzuri lakini hana impact kwenye klabu, mechi alizocheza na mshahara anaolipwa havifanani, ameonekana ni liability na sio asset...
NALIA NGWENA niliona aibu Mimi kitendo cha Bernard Morrison kumpora pesa waziri wa sanaa na michezo Mhe. Chana.
Kwa haraka haraka ni kama kitendo cha kuchekesha lakini kwa NALIA NGWENA the great...
Mashindano ya Mbio za barabarani za nusu marathoni za JKT ( JKT Half Marathon 2023) Kufanyika Jumapili tarehe 25 Juni 2023 Jijini Dodoma.
Mbio hizo ni za Kilomita 21 (21.1K), kilomita 10 (10K) na...
Mimi kila nikimsikia akiwa anazungumza na Vyombo vya Habari haraka sana Akili yangu hunipeleka kudhani ( kuhisi ) labda ni Mtumiaji wa Dawa za Kulevya.
Ninaomba Radhi Wote kwa hili Swali.
Leo ndio nimeona sura dhahiri ya Jemedari Said ni mtu mwenye wivu na roho yenye chuki kali sana kwa watu anaohisi wana utofauti na mitazamo yake.
Hii imetokea leo muda wote alikua kimya hata pale...
Yes ni mchezaji wa Simba wanayemfananisha na Mayele sijui nyie wenzangu mnaonaje kama huu ufanano unafaa jibu baki nalo.
Kibu D au Drogba kama wanavyomwita wana Simba baada tu ya kupewa Uraia wa...
1. Wachezaji hawakuwa Mali yao bali ni wa Mkopo kutoka kwa Wakata Congo.
2. Kukopwa sana Pesa na Viongozi na kulipwa kwa kusumbuana mno.
3. Kilichomtokea mwenzao mmoja kuhusu Mkataba wake...
Tukisema yanga alikuwa na easy way to the Final tafsiri yake bado tunarudisha heshima kwa Yanga, yaani tunaamini Yanga hakukutana na wakubwa wenzie wakumpa challenge, tunaamini Yanga ni bora sana...
ITACHEKESHA kusema kwamba mmoja kati ya makocha waliodumu sana katika timu kubwa katika miaka ya karibuni hapa nchini hatimaye ameng’oka. Nassiredine Nabi. Anaweza kuwa amekaa misimu mitatu tu...
Wanabodi, nawaomba radhi wenzetu ambao mko chini ya miaka 40 maana hamuwafahamu sana wachezaji hao, lakini kwa kuwa JF ni kisima cha maarifa, mtaweza kupata historia ya miaka hiyo.
Nakumbuka...
Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi
Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia
Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.