Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mimi ni mdigo wa Tanga na ninajua michezo yote inayofanyika mkwakwani, nataka niwaambie mashabiki wa Yanga kesho hamtaamini macho yenu, huyo mdaka mishale atadhalilika sana kesho, winga ayoub...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Truth should be told, wacheni perepeerepe kwa mpira, stop politicizing football, hams hapo kufurahisha mtu ama viongozi ama fans, sisi mashabiki tuko kushangilia na kuumia, yaani tamu chungu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kutoka Johari Rotana mpaka kwenye ‘Banda la Video’ pamoja na maelezo ya kujivunia kwamba tunafanya kwenye ukumbi wetu lakini ulipaswa kuwa uliokamilika na wenye hadhi ya kuendana na thamani ya...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana Kally Ongala, mtoto wa mwanamuziki wa zamani nchini Remmy Ongala na kocha wa azam aliongea maneno ya shombo akijiona yeye ndio bonge la kocha na ana uwezo kuliko kocha yoyote yule...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Salute Wana JF... Naaaaam habari zenu wapenda soka ni matumaini yangu kua mpo Sawa mnaendelea kulipambania Taifa. Leo ndo ile siku litapigwa pira kukamiana, pira Fainali Kati ya wanalambalamba...
4 Reactions
255 Replies
23K Views
Kuna wachambuzi mbuzi walimtoa kabisa eti wakampa Saido kwa lipi .Mayele anafahamika hadi Fainali huko Hongera sana Yanga mmetwaa tuzo kibao
10 Reactions
44 Replies
6K Views
kocha wa Taifa stars yupo kimya au ana wasubiri TFF watoke huko Tanga waje kumpangia kikosi? Mpira wetu wa bongo ni hovyo sana upo kimchongo mchongo tu na tusije kushangaa kuona FEISAL SALUMU...
4 Reactions
3 Replies
870 Views
Mmiliki alete uongozi mpya, alete mwalimu mpya aachane na hawa Watanzania wenye Usimba na Uyanga. Akiishi kwa mazoea, ubingwa hawezi kuupata. Kwa sasa wanaikamia Simba kwa vile Kocha ni...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Muda wa kunyoana. Baada ya First leg kutamatika kwa Al Ahly kutoka na ushindi wa mabao 2-1 leo ni fainali ya pili itayokwenda kutangaza Bingwa Mechi ni saa 4 Vikosi kwa timu zote mbili Wydad...
1 Reactions
402 Replies
19K Views
2019 NBA Playoffs: First-Round Schedule and Matchups Apr 11, 2019 1:59 PM ET The 2019 NBA Playoffs will begin on Saturday, April 13. Here is the full schedule for the 2019 NBA first round...
5 Reactions
2K Replies
93K Views
Mm nimeumia sana azam kufungwa na yanga Leo, nashindwa kuelewa uwezo wa wachezaji wao na performance yao uwanjani, ni bora huyo Feit Toto mpelekeni Simba akaamshe amshe, hapo kwenu hakuna kitu.
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mm nimeanza kwenda uwanjani kuiangalia Simba mwaka 1988, enzi hizo kuna Nyota Nyekundu ya akina Roster Ndunguru, faustine kibingwa, Abbas Kuka, Mohamed Mgalike, kulikuwa na Pilsner ya akina Said...
-1 Reactions
32 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya Heshima ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa mchango wake wa kupenda, kuthammini na kuendeleza...
0 Reactions
0 Replies
426 Views
Ukishasoma jijibu tu mwenyewe nani apewe golden boot. ==== EPUKENI U BUSH LAWYER Msimu wa Ligi Kuu 2022-23 umekamilika rasmi Leo kwa Wananchi Young Africans kutawazwa kuwa Mabingwa. Hongera sana...
13 Reactions
99 Replies
9K Views
- Kaimu Kocha Mkuu Kali Ongala night mwana Yanga SC lia lia. - Kocha Msaidizi Aggrey Moriss ni mwana Yanga SC lia lia. - CEO wa Azam FC Popat night mwana Yanga SC lia lia. - Kaimu Msemaji was...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
Julian Alvarez amekuwa na wakati mzuri sana akiwa na Mancity pamoja na Argentina. Kwenye kombe la Dunia aliweza pachika goli 4 na kushinda Kombe la Dunia. Kama atashinda Uefa Alverez atakua na...
0 Reactions
68 Replies
3K Views
Baada ya kutazama mchezo wa fainali baina ya Wydad AC ambao walikuwa nyumbani dhidi ya Al ahly, Nimesikitika na kushangaa sana kwanini mpaka sasa Tanzania hatuna kombe la Afrika.Hawa Wydad kwa...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Ratiba imebadilishwa mechi inachezwa saa 12 jioni
5 Reactions
407 Replies
21K Views
Wengi wanaipotezea Inter. Lakini ndio atashinda ubingwa UCL. Niko tayari kwa madongo kama atashindwa.
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Wananchi tumemaliza msimu kwa kubeba treble maara 2 mfululizo. Hii ni rekodi mpya, hakika hapo mwanzo hapakuwahi kutokea na timu ikabeba trebble mara 2 mtawallia. Shukrani kwa wananchi wote...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom