Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari zenu wadau wa jamii forum, Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu mfumo wa mechi za fainali katika ligi ya mabingwa na kombe la shirikisho barani Africa yaani kuchezwa nyumbani na ugenini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Maandalizi ya utoaji tuzo za wanamichezo kwa msimu wa 2022/2023 zitakazotolewa Juni 12, 2023 jijini Tanga yamekamilika ambapo wachezaji mbalimbali watapokea tuzo zao huku Mgeni Rasmi akitarajiwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Unajua team bora ndio hutoa kikosi bora. Team ya Simba haijashinda kikombe chochote hata kikombe cha kahawa msimu huu halafu eti ndio team iliyoingiza wachezaji wengi kwenye kikosi bora, hii...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma ameikabidhi Klabu ya Yanga Kombe la Shirikisho la Azam Sports mara baada ya kuifunga timu ya Azam kwa kwa 1-0. Finali hiyo...
0 Reactions
0 Replies
504 Views
Timu kubwa kama Kaizer Cheaf na nyingine zilizokuwa zinashusha ofa kwa Fistoni Kalala Mayele lazima zitakwenda kugonga hodi kwenye milango ya Simba SC. Kutokana na kiwango cha Saidoo Ntibazonkiza...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Yes Ft Azam 0 Yanga 1 Yanga wametangazwa kuwa mabingwa kombe la Azam rasmi, tukumbuke Azam alifika fainali baada ya kumnyoa Simba chuma 1 chuma kutoka kwa Kijana wa Pale Zimbabwe Ole Dube...
2 Reactions
3 Replies
541 Views
Kesho ni fainali ya Azam Sports Federation kati ya Yanga Vs Azam. Tabiri matokeo sahihi ujipatie shilingi elfu 5. Mshindi atakuwa mmoja tu na wa kwanza kutabiri kwa usahihi. Mwisho wa kuweka...
0 Reactions
101 Replies
4K Views
Kwanzia baba mama mpaka watoto wanabet. Kama una bet basi akili zako pia za kubet. Samahani jamani sijaamanisha kuwa tusi..
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amewatembelea Makocha ambao wapo kwenye mafunzo ya ngazi ya Diploma ya Ualimu wa Michezo Daraja A inayotambuliwa na Shirikisho la...
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Ikiwa ni siku chache baada ya kombe jipya la ligi kuu soka Tanzania bara maarufu kama NBC PL kutambulishwa rasmii na hatimae kukabidhiwa kwa bingwa wa mashindano hayo kwa msimu wa 2022/23...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Mashabiki wa Simba sc wanatamani kuona Yanga akikosa kombe na Kuna muda wanachukia mno wakisikia jina la Prince Dube aliye wadhadharisha pale Nagwanda Sijaona. Je leo mtashangilia Yanga sc...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali ya kombe la FA moja kwa moja club ya Simba haitoshiriki kombe la club bingwa Afrika bali watashiriki kombe la shirikisho barani Afrika. Utaratibu...
7 Reactions
79 Replies
9K Views
Klabu hiyo ya Saudi Arabia inamuwania mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain (PSG) aliyesajiliwa kikosini hapo Mwaka 2017 kwa Pauni Milioni 198. Neymar yuko mbioni kuondoka PSG baada ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuondoka kwake tu basi ,Kila kitu safi.Uzi tayari.
2 Reactions
7 Replies
664 Views
Na kama Alifukuzwa je, aliyemfukuza hivi sasa anajisikiaje akimuona kaipeleka Wydad Casablanca FC Fainali ya CAFCL na anaelekea kuwa Bingwa?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za jioni Hongera nyingi na tujipongeze man city fans for winning UEFA Kutoka page ya UEFA RODRI16 ndiyo mchezaji bora wa michuano iyo Kwakweli amestahili sana anajua kazi yake huyo...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Oneni hili andiko la mtoto wa boss
5 Reactions
46 Replies
3K Views
TFF na Bodi ya ligi Tanzania kitu kikubwa wanachokijua ni kupiga faini wachezaji na kufungia wachezaji/ makocha wanaowakosoa tu. Lakini katika Mambo ya msingi/ muhimu Kama kudraft ratiba ya match...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Back
Top Bottom