Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Salaam, Kwa hali ya ako la ulaya jinsi ilivyo kwa sasa, hakuna ubishi tena kuwa timu ya mpira ya Manchester city ndo inakikosi bora bora zaidi pale barani ulaya hivyo natabiri kuwa watachukua...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Huyu mwamba namuona sana kwenye mapambano mpaka ya nje ya nchi lakini sioni hata waandishi wa habari wakiongelea habari zake nini tatizo, kama Kuna anayemjua zaidi atuwekee hapa!
0 Reactions
3 Replies
513 Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewaongoza wakaazi wa Jiji la Dar es salaam na Watanzania kwa ujumla kushuhudia fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) ambayo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati mwingine sisi wengine tunashindwa kuelewa hiki kipengele cha mfungaji bora huwa kina maana gani, Je tunatafuta mfungaji/wafungaji bora au tunatafuta mtu mmoja wa kumpa zawadi?. Kwa uelewa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Salamu kwenu nyote. Final ya UEFA champions league ya miamba, patashika isiyo ya mkato wa shoka. Vumbi si vumbi , midfield battle, possession vs counter attacks, number of shorts and efficiency...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Upo umuhimu mkubwa sana TFF na Bodi ya ligi kuu Tanzania kuingia watu wa mpira (watu wenye weledi/kujua mpira) siyo wachumia tumbo. Suala la Fistoni kalala Mayele na Saidoo Ntibazonkiza limeleta...
0 Reactions
11 Replies
848 Views
Msiwaone wachezaji wa Utopolo wako dar wanashangilia ushindi Leo jumamosi wakat jumatatu wanacheza fainal na ninyi, wenzenu wanategemea sana mambo nje ya uwanja, hakuna kingine ni waganga tu, wale...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Naam nimekua nikijiuliza maswali ya hapa na pale, kila siku yanga au simba katika hii ligi yetu, ni tofauti kabisa na ligi za wenzetu huko Morroco, southafrica nk. Hivi ni kipi kinachowafanya...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
🛑JEMEDARI SAIDI Niliposema Mayele ni overrated na ni striker wa kawaida mlidhani natania, nadhani kila mtu ameshuhudia jinsi alivyo wa kawaida sema anapambwa tu na Gongowazi FC. Msimu wa pili...
13 Reactions
77 Replies
7K Views
⬛MCHAMBUZI WA MICHEZO EFM WILLISON ORUMA AMEANDIKA HIVI; 🔴Akilinganisha best season ya Medie Kagere na Fiston Mayele. Fiston Mayele best season ! ⚽ 16 - 2021/22 ⚽ 17 - 2022/23 Medie Kagere...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Azim Dewji Wewe ni nani Tanzania hii Kuitaka Serikali isiwe inaweka wazi Mikataba yake ili wananchi tujue? Mbona Wewe mwaka 1993 katika Fainali ya Simba SC na Stella Abidjan Uwanja wa Uhuru (...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni dhahiri sasa kwa heshima ya kùmheshimu Mama yanga wamemuuza rasmi Feisal Salum kwa Azam fc kwa makubaliano maalum ya kimkataba, na atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, jambo hili ndilo...
22 Reactions
110 Replies
7K Views
Napata mashaka sana kama kweli kuna viongozi wa mpira hapa bongo, ukiona hivyo wanajiandaa kufanya siasa, kama mnakaa kukataa magoli ya penati basi ligi kuu ya soka nchini ni ya kufuta na...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Baada ya mada kuibuka kati ya mayele Na kagere Nani Bora kuliko mwenzake Kwangu Mimi mayele ni Bora kuliko kagere kwenye vitu hivi Mayele ana speed Mayele ana Power Mayele anajua ku dribble...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwenye hili suala la kuchagua mfungaji bora wa NBC PL endapo wachezaji walio vinara wa ligi watalingana magoli kwa mujibu bodi ya ligi ni kuwa msimu huu sheria zimebadilika za kuamua nani mfungaji...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Yaani sijui nani katuroga! Basi kama kulikua hakuna hizo kanuni kwanini msikae juzi baada ya mechi ya Simba Maana tayari kulikuwa na dalili ya Saido kulingana na Mayele! Kwanini yaani! Eti ooh...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Hapo Jana man city chini ya kocha wa dunia Pep guardiola waliendeleza ubabe katika ligi kuu ya uingereza (EPL) kwa kuifurumusha Newcastle utd bao 1-0 na hivyo kuiacha Manchester utd kwa point 16...
13 Reactions
155 Replies
9K Views
Usiku wa leo ni fainali ya uefa champions league kati ya manchester city dhidi ya inter milan kuanzia milango ya saa 4:00 usiku Ninapata mashaka pengine leo tunaweza kushuhudia fainali mbovu...
12 Reactions
50 Replies
4K Views
Wakuu kuna channel yoyote nje ya supersport naweza tazama final ya UEFA?? nna kifurushi cha 23k nimekwama haswa.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa kila hali mlizidiwa uwezo. Mlipigwa goli mbili kwenu na kwao mkashinda kwa penalty (goli dhaifu sana) kwa mujibu wenu wenyewe. Mmelalamikia CAF safari hii sio TFF. Nayo ni maendeleo.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom