Tukisema bongo wengi ni wa mchongo tunaonekana tuna chuki binfsi
Huwa napenda sana kauli ya Rtd CAG prof Assad kuwa wengi(alisema 60%) ya watumishi wa Tanzanian ni below average (yaani uwezo...
Achaneni na maswala ya bandari sijui SGR, sijui nini.
Hii ndiyo mali ya Watanzania wanayopaswa kuipigania.
Ndiyo maana wakati wengine tunamaliza bundle mitandaoni kufuatilia bunge likipitisha...
Tukisema Hakuna mnachojua muwe mnakubali. Tukisema mnaojiita Wachambuzi wa soka Tanzania ni washangiliaji kama alivyo Abdalla Saliboko wa Tandale na Oscar Maganga wa Sangamwalugesha muwe mnakaa...
Kanuni ya Ligi kuhusu wafungaji bora kupata tuzo inasema kama wachezaji wakifungana kwa idadi sawa ya mabao basi wote wanapata fursa ya kuzawadiwa kiatu cha dhahabu.
Ikumbukwe kuwa vipengele na...
Almasi Kassongo ( Boss wa Bodi ya Ligi Kuu ya NBC ) na hilo Bichwa lako Kubwa kama Papai za Mgeta Mkoani Morogoro huo Uyanga wako na hizo Pesa za Kuhongwa na GSM zitakutokea Puani Siku Moja.
Bodi...
Sasa ndo wote tunalingana magoli, ikatokea wote tulipata penati sawa kwa sawa za kupiga (mfano penati 5 kila mmoja), mimi nika zifunga zangu zote, ndo zika add up kwenye yale magoli tunayolingana...
Saidoo hawezi akawa mchezaji bora, magoli 17. kafunga Hat trick 2, goli tano Kwenye mechi moja Maana yake magoli zaidi ya 11 kafunga kwenye mechi 3, na kamfunga nani, Swali la 2!
Fiston Mayele...
Hakika Yanga wamejipambambanua kama jitu kubwa sana, jitu zito, jitu lililoshindikana chini ya uongozi vijana wahuni wahuni tu kama wanavyowaita wachambuzi wa kibongo na huku uhuni wao ukizid...
𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗣𝗔𝗥𝗔𝗗𝗘[emoji471]
𝗠𝗔𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔 wa kihistoria Jumamosi ya tarehe 10.06.2023 tutakuwa na 𝗣𝗔𝗥𝗔𝗗𝗘 kubwa ya kusherekea ubingwa wa mara 𝟮𝟵 na Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Young Africans SC...
Wajumbe wa Sekretareti ya Baraza la Mawaziri wamefanya ziara katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kujifunza na kupata uelewa kuhusu ufuatiliaji na tathmini ya...
Ukiangalia mpunga anaokula Aziz Ki, Morrison, Mayele na wengineo yalikuwa ni matusi makubwa sana kwa wachezaji wazawa na kwa kiwango ambacho kimeoneshwa na Fei Toto.
Fei alikuwa ana offer more...
Mfungaji Bora wa Ligi ya TAnzania ni fiston mayele, akimpiku Mzee saido aka mstaafu aka mzee wa magoli ya viti maalumu yaani penalty.
Makolo kilio kimezidi
CEO wa bodi ya ligi Tanzania (TPLB), Almas Kasongo amesema kuwa Kamati ya Tuzo itaenda kukaa na kupitia vigezo gani vitatumika ili kuamua nani atapewa kiatu cha ufungaji bora wa ligi kuu ya NBC...
Kazi kubwa ya foward no.9 ni kufunga kufunga kufunga ikitokea kakosea anatoa mapande ila kazi kubwa ya kiungo mshambuliaji yaani midfield ni kugawa mapande na kupika magoli kufunga ni ziada.
Sasa...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.
Inashangaza kumuona Ikulu mtu ambaye amekuwa akiponda mafanikio ya Yanga.
Ikumbukwe kilichowakutanisha wadau wa michezo hapo Ikulu ni Young Africans...
Hivi kwanini Bongo tunaishi kama gari bovu. Ada za usajili za wachezaji haziwekwi wazi, hata malipo viwanjani nayo magumashi kibao.
Haya tuwekeeni hapa kifungu cha kanuni ya bodi ya ligi kuhusu...
Moja kwa moja kwenye mada.
Refer msimu uliyopita wakati wa battle ya Mayele na G.Mpole.
Bodi ya ligi walifafanua tayar hili suala.
Kinachoendelea sasa ni watu kulazimisha kupindisha taratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.