Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sasa ndo wote tunalingana magoli, ikatokea wote tulipata penati sawa kwa sawa za kupiga (mfano penati 5 kila mmoja), mimi nika zifunga zangu zote, ndo zika add up kwenye yale magoli tunayolingana...
3 Reactions
3 Replies
663 Views
Inaumiza maana kombe lililokuwa limebakia ni kiatu cha mfungaji bora. Nacho tunatoka patupu, kuna namna kama kuna kalaana simba tujikague. Tuache siasa mpira lasivyo wataendelea kutuita...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Ligi ya NBC premier league msimu wa 2022/2023 leo Ijumaa inafikia tamati. Mnyama akiongozwa na NTIBAZONKIZA anayetikisa dunia kwa sasa watashuka dimbani mnamo saa 3:30 mchana dhidi ya mahasimu wao...
2 Reactions
410 Replies
28K Views
Kiungo Mshambuliaji wa Simba Saido Ntibazonkiza ambaye jana amefunga mabao 5 peke yake na kuwafanya Yanga washtuke na kumsafirisha jijini Mbeya kwa ajili ya mchezo wa mwisho dhidi ya Prisons, ni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Siku chache baaa ya kuiambia BBC kuwa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 itakuwa ya mwisho kwake, Nyota Lionel Messi amebadili uamuzi huo na kueleza kuwa ataendelea kucheza kama Mchezaji wa Mabingwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Saluuuuuute Wana JF.. Leo ndo Leo asemae kesho muongo.... Kila lenye mwanzo halikosi kua na mwisho. Safari ilianza August mwaka jana na sasa tunafika tamati. Kama kawaida Leo Mabingwa wa...
4 Reactions
298 Replies
17K Views
Juzi wajinga wajinga humu walipost kuwa Simba wamenunua migoli kwa Polisi ili Ntibazonkiza awe mfungaji bora na wakaenda mbali kwa kuitaka bodi kuchunguza, sasa Leo azam kamweka bao 8 0 huyo...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Kitendo cha viongozi wa matawi ya Yanga kuleta hoja ya kuvunja mkataba na Azam sambamba na kususia bidhaa za Azam kinamuweka njia panda aliyewahi kuwa msemaji wa klabu hiyo, Haji Manara maana yeye...
2 Reactions
7 Replies
994 Views
Samahani lakini najua wengi mko busy na mkataba wa Dubai Ila leo vibanda umiza Vyote walikuwa wanaishangilia Simba SC kwa kutwaa Kiatu cha Dhahabu Aibu na Nusu mwanawane!
2 Reactions
1 Replies
594 Views
Habari, Kwa mwenendo ulivyo katika Timu ya Simba hasa upande wa kikosi, nilifikiri katika maboresho ya kikosi chao ili kuweza kufanya vizuri kimataifa na ligi ya ndani walikuwa wanahitaji...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
The football fan NALIA NGWENA nimejikuta namkumbuka kijana machachali Teps Evance winga mwenye kasi na winga anayeipiga miguu yote (kulia na kushoto). Nilipomuuona kipindi kile ameitwa Timu ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mpaka sasa ubao wa wafungaji bora NBC Premier league unasoma hivi: 𝗠𝗔𝗬𝗘𝗟𝗘➖16 𝗦𝗔𝗜𝗗𝗢➖15 Leo Mayele atakuwa dimbani dhidi ya TZ Prisons huku Saido atakuwa dimbani dhidi ya Coastal Union. Unatabiri...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Mchezaji wa klabu ya Azam Fc, Feisal Salum "FeiToto" ameonekana akiibusu picha rasmi ya Rais Samia Suluhu Hassan tendo ambalo wengi wamelitafsiri kama shukrani kwa Rais Samia. Ipi tafsiri yako...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa kanuni kwenye sheria ya bodi ya ligi. Endapo wawili watafungana, Yanaondolewa magoli ya penati. Ikiwa sawa sawa, Inaangaliwa dakika alizocheza mchezaji KUGAWANA HII TUZO NI SIASA...
14 Reactions
45 Replies
4K Views
BEKI wa Yanga, Abdallah Shaibu 'Ninja' ameweka wazi sababu iliyomfanya akae jukwaani miezi sita baada ya kutoka Dodoma Jiji kwa mkopo ni kuchelewa kwa barua yake ya uhamisho. "Taratibu zangu za...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwann Ntibazonkiza anastahili ufungaji bora baada ya kufungana sawa na Mayele? Hizi ni sababu ambazo Bodi ya Ligi inapaswa kuzizingatia. 1.Saido alikuwa Geita Gold, mzunguko wa pili amehamia...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Eti mchezaji mmoja anafunga goli 5 kwenye mchezo mmoja? Yote ni nini? Kumzuia Mayele asichukue kiatu mwaka huu. Aibu tupu.
16 Reactions
127 Replies
10K Views
Hivi nyie mashabiki wa uto mnaakili kweli? Au ndio kale kamsemo kuwa wenye akili ni wawili tu hapa jangwani? Kwa taarifa yenu saidoo ndiyo top score takwimu zote zinambeba, mzee wa kutingisha...
1 Reactions
7 Replies
932 Views
Huko kunako viwanja vya Azam complex Chamazi, Matajiri wa chamazi wamewakandamiza Polisi Tanzania 8-0, huku Prince Dube akipiga goli 4 peke yake, Hii ni match yenye magoli mengi zaidi katika...
1 Reactions
6 Replies
854 Views
Kesho Coastal Union anahitaji kushinda ili aepuke kucheza playoff. Simba anahitaji sana mshambuliaji wake Ntibazonkiza awe mfungaji bora wa ligi. Basi matokeo ya kesho Coastal anashinda lakini...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom