Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

MWISHONI kabisa tulimwona Kocha Nasreddine Nabi akitoa machozi. Ni nadra kwa mwanamume kulia. Tunaambiwa tulie kwa ajili ya kuipa mioyo yetu nafuu lakini hatufanyi hivyo. Nabi alilazimika kufanya...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
𝗨𝗚𝗔𝗡𝗗𝗔 𝗧𝗢 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 Timu ya Wananchi Yanga inatarajiwa kulipokea Basi lao Kutoka nchini Uganda siku ya ijumaa kwa ajili shughuli maalumu la kulitembeza "PARADE" kombe lao la Nbc. #timuyawananchi...
11 Reactions
34 Replies
2K Views
Mara zote mchezaji anapoondoka yanga kihuni na kwa ngebe na kebehi nyingi uwa mwisho wake ni mbaya sana, Tunarejea habari za wakina Frank Domayo, Gadiel Michael, Ibrahim Ajibu, na wengine...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mchezaji bora kuwahi kutokea toka dunia iumbwe La pulga amejiunga na Klub cha inter miami nchini Amerika inayomilikiwa na mwingereza David beckham Messi alitarajiwa kurudi Barcelona lakini...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Mara zote mchezaji anapoondoka Yanga kihuni na kwa ngebe na kebehi nyingi huwa mwisho wake ni mbaya sana. Tunarejea habari za wakina Frank Domayo, Gadiel Maico, Ibrahim Ajibu, na wengine...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
“Ilipotolewa ile penalti nilihisi naweza kuzimia ilinishtua sana. Unajua ilikuja wakati tunatafuta bao na hatukutakiwa kuruhusu bao lakini jambo zuri kipa wetu (Diarra) alikuwa na siku nzuri...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Hahahahaa kweli kuna watu wajanja:fei kala ela za wajinga alafu waliochanga pesa ni simba. Alafu kaenda azam duh hii inaitwa turn over a k.a u turn. Hivi simba mnashida gani? Mbona akili ndogo...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
NALIA NGWENA nashangaa mpaka Sasa upo kilmya tu inamaana unafurahi kuona muamala wa watanzania unavyosoma. Media zipo kimya hakuna tamko kutoka kwako suala la kwenda CAS halipo Tena. Kupitia...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Sasa ni dhahiri ile mihemko na huruma za kinafiki juu ya Feisal imeanza kupata tune tofauti baada ya 'watoka watupu' kugundua kuwa hawana chao. Nashauri wote mliokuwa mnampigania kwa 'povu'...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Jambo Jambo? Yanga walilambishwa asali kwa Kisu, Favor zikazidi wakajiona wao ndo wenye nchi na wananchi, kumbe Hangaya ni mtu wa strategy. Siku zote ukitaka kumtuma Mbwa lazima umtupie mifupa...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Kelele zote zile kumbe haji kwetu kaenda Azam! Kweli sisi simba ni mambumbumbu, kwa namna tulivyokuwa tumeshupaza shingo nikajua Mwamedi kavunja kibubu kumbe hola. Nimeumia sana sisi kuonesha...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Natoa kongolee kwa Dar Young African sc, hakika mmetuheshimisha mashabiki wenu na hatuna Cha kuwadai. Tuzo mlizozitwaa kwenye michuano ya kombe la shirikisho Kama kiatu Cha ufungaji Bora na Diara...
4 Reactions
59 Replies
2K Views
Ikiwezekana Mayele asijisumbuwe n kiatu cha NBC ni league Moja ya mchongo sana. Hata mechi ya mwisho asicheze ili wampe Saido ufungaji bora kama walivyo mpa mpole ukiona mjinga anajitawala na...
8 Reactions
61 Replies
8K Views
Kuna mchambuzi mmoja kauliza kwanini Simba inaweza kushinda hata magoli kumi (10) kwenye mechi isiyo na umuhimu Halafu mechi muhimu Ina draw au kupoteza??? Kiufupi wanapiga bomu mortuary...
8 Reactions
64 Replies
3K Views
GHAFLA tu Yanga imejipeleka katika maji marefu. Yanga wamefika katika fainali ya kombe la Shirikisho na hii ina maana kwamba msimu ujao lengo lao kubwa linakuwa kutwaa ubingwa. Ubingwa upi? Ndio...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗡𝗔 𝗙𝗘𝗜𝗦𝗔𝗟 𝗦𝗔𝗟𝗨𝗠𝗨 𝗠𝗔𝗠𝗕𝗢 𝗦𝗔𝗙𝗜 Uongonzi wa Yanga umefikia makubaliano na Feisal Salamu rasmi kwa kuachana kwa amani baada ya kumaliza mazungumzo yao leo.Yanga wamekubali kumuuza Feisal salumu...
12 Reactions
48 Replies
4K Views
Wagonga nyundo wa la London jana usiku walishinda kombe la ligi ya Europe Conference League Arsenal hawajawahi kushinda kombe lolote la Ulaya, West ham wameiheshimisha London wakiungana na...
2 Reactions
3 Replies
636 Views
Sheria na kanuni ya CAF ni kwa nchi zisizo za kiarabu tu, warabu wanafanya ujinga mbele ya viongozi wa CAF na hawachukui hatua. Ni muda sasa centrol, East & South Afrika kuwaachia warabu wacheze...
20 Reactions
52 Replies
4K Views
Ningepata nafasi ya kuwashauri Yanga kuhusu usajili ningewambia watafute mawinga wazuri zaidi ambao wanajua ku dribble, wana speed na pia ni wazuri kwa kutoa pass. Moloko ni mzuri some time kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kila shabiki wa Simba sc analiomba Hilo kwa jinsi navyowajua TFF watafanya Figisu za wazi ili Fiston Kalala Mayele asichukue kiatu Kama alivyofanyiwa msimu uliopita ili wabalance furaha ya mtoto...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom