Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"Nichukue nafasi hii Kuipongeza Klabu ya Yanga kwa kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho ambayo hata Klabu ya Simba pia ilifika mwaka 1993" alisema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Simba SC imejaa wachezaji mizigo, mimi kama mwanachama, shabiki na mpenzi wa Simba SC sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakiendelea kuvaa jezi yetu pale Simba. 1. Ottara 2. Onyango 3. Bocco 4...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Leo Wachambuzi na waandishi Washakunaku na Wenye Vihehere wanashangilia hili suala la Feisal kuondoka Yanga kwa kuvunja mkataba kihuni,wengi...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job. Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo...
8 Reactions
70 Replies
5K Views
Wakati mgogoro wa Yanga na Feisal Salum ukionekana ukienda kumalizika, tukumbuke pia kulikuwa na mgogoro mwingine wa kimkataba kati ya Yanga na mdhamini wao mkuu SportPesa. Ilionekana kutokana na...
1 Reactions
9 Replies
796 Views
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za...
4 Reactions
71 Replies
5K Views
Nimeingia mtandaoni jioni hii nikaona picha za Mayele na Ntibanzokinza. Ghafla nikadhani labda wamepata ajali ya gari na kufariki, Kumbe sivyo! Kumbe palikuwa na mada ya ufungaji wa Magoli...
0 Reactions
13 Replies
934 Views
BBC wanaripoti kuwa Messi amekubali kujiunga na timu ya Inter Miami ya ligi ya Marekani (MLS) na kuikacha offer kubwa zaidi kutoka Al Hilal ya Saudi Arabia. Makubaliano yaliyofikiwa yatahusisha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya haya tukiwa kwenye dakika za lala salama Leo wanafainali wa kombe la shirikisho watavaana na Mbeya city pale jijini mbeya. Mechi itaanza saa 10 kamili. Mechi hii ni muhimu zaidi Kwa upande...
4 Reactions
414 Replies
25K Views
Jiandaeni kisaikolojia NALIA NGWENA nasubiri kauli za wachambuzi wanaojiita wanaharakati (voice of voiceless). Nini watachangia endapo Feisal Salum ataitwa timu ya Taifa wakati hana mazoezi...
0 Reactions
0 Replies
387 Views
Nimepata mashaka sana kutokana na morali waliyoionesha leo dhidi ya Polisi Tanzania na kuibuka na ushindi wa magoli sita (6). Sasa kwa nini hatukuona Spirit Kama hii walivyocheza na Namungo? Kwa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Hili kombe Zuri tofauti na lile la mwaka jana
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Lionel andres Messi, is an Argentinian professional footballer who plays as a forward for League One club Paris Saint-Germain and the captain the Argentine national team. Widely regarded as one...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Mpira au Soka ni moja kati ya michezo ya kipekee sana, ni mchezo ambao umejaa makeke mengi sana na nyakati za huzuni na Furaha, kwa wengi mpira umevunja ndoa za watu kwa wale wenzangu ambao ni...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Hili jambo mnalishadadia kwasababu hamuelewi tunachomaanisha mashabiki wenye akili timamu wa Yanga hadi pale siku mtakapofika fainali(sijui itakuwa baada...
9 Reactions
46 Replies
2K Views
Yanga imeamuliwa na caf kulipa TZS 82,0000 kwa kosa la kuvunjwa vioo vya gari lililotumiwa na RIvers United ya Nigeria hapa tanzania, rivers kuibiwa fedha kwenye basi, mashabiki wa Yanga kumulika...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Muda huu Rais wa Yanga amethibitisha Rais Samia ametoa ndege ya kuipeleka Mbeya Timu ya Yanga kumalizia michezo yake ya Ligi Kuu Bara Nadhan Yanga ina vinasaba na serikali. Sent using Jamii...
12 Reactions
165 Replies
11K Views
Kuna uzi nilishawahi kuupandisha humu kama sio kuuchangia, kuwa zile sarakasi za kipindi kile kuna wana walimchanua kuwa anatumika kidhuluma.,ila next move yake ilikua iwe Simba SC, Azam FC ilikua...
7 Reactions
79 Replies
6K Views
Makabi Lilepo ni mchezaji mwenye uwezo na sifa nyingi ambazo zinamfanya aweze kufaa sana katika mfumo wa klabu ya Yanga SC. Hapa chini ni sababu anini Makabi Lilepo ni mchezaji mwenye kufaa zaidi...
8 Reactions
60 Replies
6K Views
Tukio limetokea ikulu baada ya Yanga kualikwa na Mh Raisi Samia suluhu Hassan. Kama ilivyo kwa mtukutu Bernard Morrison lazima aache alama (kituko) kamvisha medali Ahmed Ally (msemaji wa Simba...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom