Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

AMEWAJIBU WANAOULIZA IKULU ALIFATA NINI. Mtangazaji wa kituo cha utangazaji cha Redio na Television Tv E JEMEDARI Saidi, amejibu hoja za wanayanga ambao walikua wanahoji kua jana alifanya nini...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwa moto anaouonesha Diarra ....the screen protector or mdaka mishale ( Kwa makolo mlio kimbia kusoma shule) Naona kabisa akitua pale man united....basi Manchester united wanaweza kuwa ni timu...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
USMA yuko hoi, hajiwezi anapumulia mashine anaweza hata kushuka daraja huyu ni mpinzani mwepesi sana ni aibu kushindwa kumfunga mtu kama huyu. Halafu unakosa Kombe kwa mpinzani kama huyo...
13 Reactions
76 Replies
2K Views
Jana nimemsikiliza kwa makini Hersi akitoa speech pale Ikulu, sikutamani kabisa amalize, very composure and calm. Huyu jamaa ni big brain, ana kipawa cha uongozi, mama ampe kitengo aisaidie nchi...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
UONGOZI wa Young Africans Sports Club umetoa taarifa ya kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Me. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa hafla ya kuipongeza klabu hiyo kwa kucheza mchezo wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sisi wakereketwa Mwananchi anauliza kabla ya maombi yenu kumuomba Rais upanuzi wa eneo la Jangwani kwa ajili ya kujenga Kiwanja cha kisasa hajayafikiria mtupe mrejesho wa lile eneo alilowapa RC...
0 Reactions
3 Replies
952 Views
Ni vizuri pia tukawajuza umate umate utakaoingizwa na hizi timu 2 baada ya kutinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho na Klabu Bingwa Afrika, mgawanyo ndio huu; Yanga: Milioni 820...
11 Reactions
56 Replies
5K Views
Naombea Azam au timu yoyote nje ya Yanga na Simba ifanye vizuri mashindano ya kimataifa ili kupunguza siasa Kwa siasa hizi zinazo endelea nawaombea mabaya Yanga na Simba, wasifike kokote kule...
1 Reactions
4 Replies
586 Views
“Orlando Pirates through to the Semi-Final @SimbaSCTanzania you can burn juju all you want but not in our HOUSE,” Merafe said.
1 Reactions
0 Replies
519 Views
Muoneni hapa akiwa Ikulu kwenye kongamano la Yanga.
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Baada ya Simba sc kuachana na mchezaji kijana tegemezi wa timu ya Taifa Ghana Agustine Okrah. Za ndani kabisa ambazo NALIA NGWENA nimezipata kutoka kwa kiongozi wa Simba mwandamizi kanipenyezea...
5 Reactions
8 Replies
802 Views
Kwa sasa Simba amebaki kujificha nyuma ya Wydad, AlAhyl na "wakubwa" wengine kulingana na kamusi yake binafsi Ukimbana kidogo kwenye kanyampasira, utasikia "mpaka mcheze siuji na Wydad, sijui Al...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Mara baada ya tamko la Rais, na after dinner Magogoni, kulikuwa na vichuguu vya hapa na pale kama mchwaz vichuguu namaanisha mikutano isiyo rasmi na baadae kichuguu kikuu ambacho muhandisi...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Kuna watu wanaeneza uongo kwa kudai kuwa CAF CUP waliyofika fainali Simba ndiyo Shirikisho leo hii Siyo kweli. Mwaka 1993 barani Afrika kulikuwa na mashindano aina tatu 1. Kulikuwa na Champions...
14 Reactions
38 Replies
21K Views
Binafsi nikiri wazi mbali ya kujaribu kuponda mafanikio ya watani zetu Yanga kwa ajili tu ya uhasimu tulionao, lakini nina uhakika sisi kama wanasimba na wanamichezo wapenda mpira wa miguu...
9 Reactions
17 Replies
883 Views
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo...
12 Reactions
103 Replies
7K Views
Wale jamaa wana kila mbinu za kuhakikisha kombe linabakia kwenye ardhi yao, week ikiyopita nikiandika hapa mkanibeza. Yale mafataki yalikuwa yanapigwa kwa vipindi maalumu siyo kama sisi...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Hivi kuipa heshima Taifa la Tanzania ni kurudi na medani ya CAFCC tu? kwamba hata waliofika robo fainali CAFCL kombe la wakubwa huku wakiwa Visit Tanzania hakuonekana kuitangaza na kuiletea...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Jana katika hafla ya kuipongeza timu ya Yanga ikulu Dar es Salaam, Rais Samia Suluhu ametegua siri ya mapenzi na ushabiki wa timu anayoishabikia Rais wa TFF Walace Karia. Kwa muda mrefu Karia...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom