Za ndani kabisa Robertinho ana mtaka Moses Phiri na Peter Banda waendelee kubaki maana ana mpango nao.
Hivyo basi, Kuna viongozi wa Simba hawataki wabaki kutokana na majeruhi waliyo nayo hii...
Mashabiki wa yanga acheni visingizio kubalini mmepoteza na hiyo ni moja wapo ya mchezo.
Mmekuwa na visingizio vingi zisivyo na msingi, aya tukubali mlipoteza fainal kwa figisu huko Algelia vipi...
Hivi kuna kanuni ya mpira inayowaongoza vijana waokota mipira? Tumeona juzi kwenye mechi ya Yanga na USMA jinsi ambavyo vijana waokota mipira walivyotumika kuathiri mchezo.
Wakirusha mipira...
NALIA NGWENA kwa maono yangu ya mbali kabisa TFF mtakapo panga kikosi lazima mtapenyeza jina la Feisal Salumu ambaye Hana kabisa mazoezi na haifahamiki Mara ya mwisho kucheza ni lini.
Chonde...
Wadau nichukue nafasi hii kuipongeza Klabu ya Yanga kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho mwaka huu 2023 ikiwa ni miaka 88 toka Klabu ianzishwe. Miaka 88 sio muda mfupi ni muda mrefu sana.
Kuna...
Hongela sana CEO diamond kwa kutimiza ahadi yako ya kutoa motisha kwa kipa wa Yanga Diara.
Sijui ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania badilisheni wenyewe.
---
Mkurugenzi wa Wasafi Media...
Augustine Okrah na Simba wamefikia makubaliano ya kuachana mwishoni mwa msimu huu, imethibitishwa. 🚨🇬🇭
Okrah alisaini mkataba wa mwaka mmoja na Simba wenye kipengele cha kuongezwa zaidi.
Mambo...
Watanzania ni wanafiki sana tena ukisafiri ndio utawafahamu. Waarabu wenyewe hawatupendi na kitendo walichotufanyia kwao kabisa kinaonesha wenzetu wana ushirikiano, huwezi kuona mpinzani wa kwao...
Waarabu walicheza mbele ya mashabiki wao full house, viongozi wote wa CAF wakiwa uwanjani kushuhudia fainali Yanga imemkanda Mwarabu kwao na aggregate ni 2-2, Waarabu wananufaika na kanuni za...
Ametangaza kuchukua uamuzi huo akiwa na umri wa miaka 41 baada ya kucheza soka kwa miaka 24
Straika huyo aliyekuwa akiitumikia AC Milan, miezi kadhaa nyuma alinukuliwa akisema hana mpango wa...
KWAHERI AUGUSTINE OKRAH
Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza rasmi kuachana na kiungo mshambuliaji Augustine Okrah 🇬🇭 baada ya kumalizika mkataba wake ndani ya klabu na mchezaji hataongezewa...
Maamuzi ya serikali huwa ni ya kutahabanika na kufikirisha sana. Serikali hii hii wakati Biashara United ya Mara akielemewa kwa kukosa nauli na mipango ya logistics kukwama kwenda Libya ambapo...
Kufuatia zile kelele eti oh Makolo na wao wanamedali za CAF, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikaamua kuzama chimbo na kushangaa nicho kiona.
Nikaamua kuja nacho kwenu wadau...
Pamoja na woga wa kafara la maji(mvua) kuna uwezekano mkubwa wa kumfunga mwarabu kwao na kuondoka na kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia ya soka nchini
Yanga inawakilishwa na...
Hakika Yanga wana haki ya kushangilia na kufurahi kucheza fainal ya mashindano ya kombe la shirikisho kwani sasa yanga ina miaka 88 au siku 32250 toka ianzishwe.
Ni miaka mingi sana kwa klabu...
Baada ya kushuhudia mechi ya USM ALGER dhidi ya Yanga sasa ni muda wa kuangalia mchezo mkubwa na wenye heshima zaidi.
Ni mechi kati ya mabingwa watetezi dhidi ya mabingwa wa muda wote kwenye hii...
Naanza kwa kuipongeza timu ya Yanga kwa hatua kubwa waliyoifikia kimpira!
Japo hawakushinda kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa na CAF binafsi naamini Yanga ndiye bingwa wa michuano ya...
Natumaini wote ni wazima humu..
Nafurahi sana kuwa mshabiki wa yanga.
Popote napopita natembea kishujaa kwa kuwa yanga.
Mafanikio yaliyopata yanga msimu huu kifedha na kuwakilisha tanzania ni...
Anachambua Mchambuzi wa Efm Tanzania, Wilson Oruma.
"Simba Sports jipangeni, mkiendelea Kusema Yanga Africa wamekutana na team dhaifu"
"Mtashangaa wanacheza Fainali ya CAF champions league...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.