Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hili jambo niliwahi kuligusia siku za nyuma nikasema siku moja nitakuja kulielezea kwa ufafanuzi zaidi. Nianze kwa kusema sina nia ya kueneza ubaguzi wa aina yoyote ila ninachoelezea ni uhalisia...
2 Reactions
84 Replies
6K Views
Nashangaa sana tunajivunia watu ambao siyo wetu mpaka tunafikia kusema eti wamewakilisha taifa. Kiukweli huko ni kujidanganya na kujipa sifa za kijinga kabisa. Inajulikana wazi kuwa asilimia...
3 Reactions
6 Replies
755 Views
Habari njema kwa familia ya Yanga SC na mashabiki wake wote. Napenda kuwapongeza kwa juhudi yenu kubwa na mafanikio mkubwa mlipata katika mashindano ya CAF Confederation Cup, Ligi Kuu na Azam...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kejeli dhidi ya mafanikio ya Simba ya zinakuwaga kubwa halafu pale upande wa pili wanapofikia mafaniko hayo au wanapopata changamoto fulani ambayo Simba waliwahi kupitia ndiyo fahamu zinawajia...
6 Reactions
13 Replies
877 Views
Kama unaona kuchukua ubingwa wa CAF mwepesi,shiriki wewe ufike final..sio una ishia robo final tu. Unatuletea medali za chuma za 93 ..watu tuma medali mpya za jana. Unatuletea roho mbaya sisi...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Kwahiyo kumbe muda Wote mlioshiriki Mechi zenu za CAFCC Lengo lenu Kuu ( Mama ) lilikuwa siyo kuwa Mabingwa bali kuwa Washindi wa Pili na mvae Medali za Fedha badala ya zile za Dhahabu za...
0 Reactions
5 Replies
685 Views
Kuna kipindi Nondo Mamunyeto alipitia wakati mgumu (changamoto binafsi) zilizo mfanya kiwango kishuke. Waliibuka wachambuzi (wa mchongo) wakishinikizwa na ushabiki maandazi wakaanza...
6 Reactions
8 Replies
799 Views
Nilianza kazi yangu hapa Januari sijafungwa kwenye ligi, nimepata ushindi na sare, siwezi zungumza kabla yangu, siwezi zungumzia makocha wengine kabla yangu. Bila Kufungwa tulishinda dhidi ya...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Baada ya mechi kwisha tuliwaambia ndugu zetu kuwa kulingana na walivyokuwa wanacheza marekebisho kidogo tu gemu la marudiano watapindua mazuria kibabe kilichotokea chupu chupu watung'oe taya km...
3 Reactions
17 Replies
774 Views
Baada ya kufungana aggregate ya 2-2, Algeria imepewa kombe kwa vile walitufunga hapa kwetu bao moja zaidi. Ni sheria za CAF ambazo zimepitwa na wakati kwa vile kama wote tulivyoona mazingira ya...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Waziri wa michezo na naibu waziri tunatambua na tunaona kazi zenu katika tasnia ya utamaduni Sanaa na michezo hakika mashabiki hatuna Cha kuwadai kwani mh. Raisi Dr Samia suluhu hassan hakukosea...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Nyota huyo wa Real Madrid amesema hayo baada ya kutolewa kauli za kibaguzi na mashabiki wakati timu yake ikipoteza kwa goli 1-0 dhidi ya Valencia katika Ligi Kuu ya Hispania 'La Liga'. Baada ya...
9 Reactions
132 Replies
9K Views
Mabingwa wetu tumejiandaa kuwapokea,yani hili litakuwa la kihistoria kwanzia uwanja wa ndege mpaka kaunda. Tutapiga picha na medali zetu. Sisi ndo yanga bana hatunaga jambo dogo kabisa.. Viva...
1 Reactions
2 Replies
342 Views
Mimi ni muumini wa kutokukata tamaa, ni muumini mzuri pia wa kupambania ninachokiamini kwa gharama yoyote, na ndicho Yanga mlichokionyesha jana. Asanteni kwa hili, pongezi za dhati kwa kuweka...
6 Reactions
12 Replies
549 Views
Kuishi kwa historia ni kushindwa kiakili na kufell manzima. Watu wanoafanya mambo makubwa hawaangalii story za familia yao. Unaniletea story za wazazi wako eti walikuwa matajiri zamani leo hii...
2 Reactions
10 Replies
718 Views
kundi la vijana wakike kwa wakiume wakiwa na furaha sana, wakiimba ule wimbo pendwa wa leo ndo leo huku wakiendelea na maandalizi ya Mbuzi watatu pamoja na vyakula vingine, pamoja ya hayo wakiwa...
3 Reactions
8 Replies
711 Views
Kwa jinsi nilivyomsikia mwanae Nabi jana, na Nabi mwenyewe nahisi Nabi anataka kuondoka
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Lengo la Uzi huu si sana kujutia kupoteza hela, bali ni kuuweka kama funzo kwa wadau wengine kwamba, iko siku hata saa mbovu inaweza kuonyesha muda sahihi. Kiukweli kwa mara ya kwanza niliganda...
19 Reactions
32 Replies
2K Views
Kama mnavyojua Yanga anacheza fainali yakombe la shirikisho, matumaini yangu kuwa atapata kichapo kikali toka kwa USM Alger hasa akiwa ugenini. Ikiwa Yanga atatwaa hilo kombe mnipige ban ya siku...
1 Reactions
10 Replies
575 Views
Winga msumbufu, winga machachari namba kumi na moja Bernard Morrison (Toto tundu) kutokana na skills zake za kuchezea mpira ndani ya box la mpinzani hakika akipewa dakika arobaini (40) zinamtosha...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Back
Top Bottom