Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kupitia alichokifanya Yanga kwenye michuano hii ya CAF ni wazi wamebadilisha mindset za klabu zetu hapa Bongo kwamba Mafanikio sio Robo Fainali wala kufa kiume. Simba alitolewa Robo fainali...
19 Reactions
38 Replies
2K Views
Waja wa mwenyezi mungu USM Algeria, walioruzukiwa dini ss hv wametulia na familia zao wanajiandaa kwenda kuchinja ingawa sio siku ya kuchinja, ila imetokeq t bahati mbaya, lazima wamchinje t...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakati Simba ikiwa imeuawa na wanaume Yanga imeonyesha maana halisi ya kufa kiume. Simba wamefia uvunguni mwa kitanda wakati Yanga imefia juu ya kitanda.
0 Reactions
5 Replies
581 Views
Mwanzo mwanzoni nitamke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga tangu utoto wangu. Lakini, kila ninapotazama mechi ya mpira(nilianza kufuatilia tangu miaka ya 90), huwa nauweka ushabiki wangu pembeni...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa kifupi sana Rais Samia katoa Ndege kwa Mashabiki kindakindaki wa Yanga kwenda kuishangilia Yanga fainali ya CAF huko Algeria Waliopanda hiyo Ndege sasa ni tofauti kabisa na malengo ya mh...
3 Reactions
3 Replies
652 Views
Jumapili baada ya yanga kupoteza nilihapa kuwa Nina uwakika yanga watarudi Na ubingwa Algeria Baadhi ya mashabiki wa Simba walinicheka Na kunisema nimelewa wengine nimevuta bangi. Leo Tena...
8 Reactions
47 Replies
2K Views
LICHA ya miaka 27 kupita, kovu la kipigo cha mabao 2-0 cha Simba dhidi ya Stella Abdijan ya Ivory Coast kwenye fainali ya CAF halijafutika kwa nyota wa Simba ambao wamefafanua tuhuma za kuuza...
0 Reactions
3 Replies
517 Views
Umati mkubwa Mashabiki wa Simba umejitokeza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kuwapokea Wababe wa soka hapa barani Afrika. Mashabiki wengi wa Simba ambayo imetolewa hatua ya...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria...
32 Reactions
181 Replies
9K Views
Hamna kitu kibaya sasa hivi kwa waarabu Kama wakikutana na Yanga kimataifa. Chini ya jangwa la Sahara hamna timu inaogopeka Kama Yanga. Club Africain kapigwa za uso kwake Monastri hataki kabisa...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
helloow africa Simba tunajua mnawivu sana mnaropoka mpaka mate yanawakauka Ila Ukweli usio pingika hapa leo tunaheshimisha Tanzania hapa tukishindwa nitukanwe matusi yote na ban juu
1 Reactions
12 Replies
860 Views
Timu ya Daresalam Young Africans imehitimisha safari yake salama na kuwa BINGWA NAMBA MBILI AFRICA, wa kombe la shirikisho. Klabu ya Yanga, wanachama na Wapenzi wa Michezo wenye moyo wa uzalendo...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Leo nimecheki weather ya lageria Naona mvua kubwa itaanza kunyesha Na saa 3 usiku ambazo saa yanga Na USM wataingia uwanjani Mvua itapumzika Na saa 4 usiku ambazo ni saa ambazo yanga watakwenda...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu.. Mpira sio uchawi wala mpira sio mdomo na maneno ya kijinga. Bali mpira ni dakika 90.. Daima usipende kuamini utabiri wao. Mpira unadunda. Walitabiri mengi sana. Mara itakuwa aibu...
2 Reactions
2 Replies
434 Views
Anayeifahamu hii nyimbo anayoimba fei tafadhali naiomba. 😂😂😂😂😂 Uzi tayari.
0 Reactions
10 Replies
886 Views
Yanga imefikia levo za CAF, kwenye level hizo hakuna timu za ajabu ajabu, kwenye levo za CAF hakuna wachezaji wanaosita sita kupiga pasi na anapoamua kupiga pasi anapoteza, kwenye levo za CAF...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninashabikia klabu ya Simba. Hakuna timu bora Tanzania kama Simba Sports Club. Leo ninasimama kama Mtanzania kuanza kushangilia ushindi wa watani zangu Utopolo wahed. Nawaombea kwa moyo mweupe...
5 Reactions
54 Replies
2K Views
Yanga hongereni sana tena sana, ni rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na timu yeyote afrika kushinda mechi zaidi ya tano away? Big up sanaaa Nb Nyumbani kuna wanga na wachawi
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Salaam wakuu. Bila kuchelewesha muda kama mnavyofahamu safari ya chizi huwa ndefu lakini akirudi anarudi na makopo na takataka nyinginezo. Nadhani wote tumeshuhudia jana hawa mbwa wa luc eymael...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom