Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huu Ubingwa tunauchukulia hapa. Hakuna wa kutuzuia. Kule tutaenda kamilisha tu mahesabu.
1 Reactions
9 Replies
554 Views
Tukisema huyu dogo anapotezwa na washauri wake, hasikii. Kaenda clouds kuongea shits kumbe kuna watu wamempanga namna ya kuongea. Kuna kundi la watu liko nyuma yake linampoteza bila yeye kujua...
14 Reactions
259 Replies
16K Views
Mwaka huu michuano ya kimataifa ya vilabu mambo mbali mbali yamejitokeza..... Nafikiri kazi ya kiongozi wa Tff ni kutetea nchi yake na kupenyeza agenda zitakazoisaidia huko kwenye shirikisho...
5 Reactions
14 Replies
656 Views
Hii ni Wyadad ambayo imeitoa Simba ligi ya mabingwa kwa penalti baada ya kutoshana nguvu, na sasa ipo fainali ya mabingwa CAF na inaweza kutwaa ubingwa wa ligi Kwa chini ni timu ambazo Yanga...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Twende. Mmeonyesha utofauti na ukomavu mkubwa,Kila jicho lililopata nafasi ya kutazama mechi hii ya Dar es salaam Young Africans na waarabu litakiri hili nalokwenda kulisema. Kiwango cha timu...
0 Reactions
3 Replies
400 Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Kiungo nyota wa Wekundu wa Msimbazi Pape Sakho ameitwa kwa mara nyingine kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Senegal kitakachocheza dhidi Benin na baada mchezo wa kirafiki dhidi ya Brazil Sakho...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Kila nikitizama darubini yangu inanionyesha jezi yenye rangi nyeusi yenye ufito mwekundu itashamiri sana hapo kesho. Kuna goli tatu kwa mwenyeji.
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye mada, CAF inaonekana kuipost zaidi Young Africans kuliko klabu nyingine yeyote. Kupitia ukurasa huu tuwaombe waruache kwani husuda za majirani zinazidi kuongezeka na sisi...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Simba guvu moya, Naombeni mnipe tofauti yake wadau, maana sisi Wanalunyasi tumekomaa sana na hili Abiola Cup?
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Hayo ndiyo matokeo ya mechi ya leo. Ngoja nakuja kuwatajia jina la mchezaji atakayefunga.
2 Reactions
12 Replies
733 Views
"niliambiwa na viongozi wa Yanga kuwa nauza mechi iliniuma sana na nikipokuwa nawapigia simu hao viongozi waliokuwa wanatamka hayo maneno hawapokei simu yangu. "Viongozi walikua wanamtukana mama...
28 Reactions
461 Replies
36K Views
Ni vema tukawekana sana juu ya Mchezaji wa Marudio wa Fainal kati ya YANGA VS USM Algeria. YANGA kuifunga USM ni ndogo ya Mchana najua wapo watakaopinga lakini ukweli utabaki palepale.Ushindi wa...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Fa masihara nini, mroge msiroge mwarabu kashabeba ubingwa, naahidi na tayari mzigo uko benki. Endapo mtafanikiwa kuwaadhibu waarabu kwao na kubeba ubingwa, siku hiyo ya jumamosi gemu ikiisha tu...
2 Reactions
23 Replies
928 Views
Huko Algeria kinachoendelea muda huu kinasikitisha,na kibaya zaidi huu uchawi wameshajua ndiyo udhaifu wenu. Niwaulize mashabiki na wadau wa Young Africans,ni kweli uchawi wa mvua mmeushindwa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwenye hiyo clip naiomba sana aiweke humu. Ile ilikuwa zaidi ya chenga aisee.
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Timu ya soka ya Yanga leo imefanikiwa kupata ushindi wake wa kwanza katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika baada ya kuwachabanga waarabu wa USM Alger ya Algeria kwa magoli 2-1 Yanga...
11 Reactions
253 Replies
22K Views
Nauliza misemo yenye lugha ya mbele bado ipo ama la, je mnakwenda Algeria na slogan gani? Je, mtakufa kiume? Mm nadhan ss hv mtakufa kikike, hilo nna uhakika nalo. Simba ndio wanaokufa kiume...
2 Reactions
15 Replies
570 Views
Kivumbi na Jasho lakin wapii, wale warabu nasikia walipokuja kwa mkapa walivaa viatu vyenye mfumo wa Four wheel drive 4×4,ndo maana walikua hawaanguki na ile mvua yote. ile kiatu unaweza cheza...
7 Reactions
53 Replies
2K Views
Back
Top Bottom