Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

IKIWA Juni 3, 2023 inatarajiwa kuchezwa mechi ya mkondo wa pili wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, wawakilishi wa Tanzania, Yanga SC wana kazi moja kubwa ya kuweka historia na kuvunja...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Uwezo aliokuwa nao Yanga ni mkubwa tena ni wa kutisha katika medani za soka barani africa. kiukweli kweli kabisa Marumo Gallant walikuwa hatari sana na wakalala mabao mawili kwao africa kusini...
2 Reactions
9 Replies
868 Views
Kiukweli bika kumung'unya maneno, nchi inakwenda kuingia aibu kubwa huko Algeria Leo, wao badala ya kujikita kuhamasishana kuwafunga waarabu, kazi yao kupiga selfie na kurusha kwenye page zao...
1 Reactions
19 Replies
819 Views
Mkiona Nahodha wa Yanga SC Bakari Nondo Mwamnyeto Siku hiyo akiomba Waanze Wao Kuanzisha Mpira na waanzie Goli la Kusini na Mchezaji wao Aziz K au Fiston Mayele au Kenmeth Musonda Refa akipuliza...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Real Madrid na Eden Hazard wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wa Mchezaji huyo kuanzia Juni 30, 2023 huku akiwa amebakiwa na mwaka mmoja Hazard aliyejiunga Madrid kutoka Chelsea kwa ada ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Weka ubashiri wako na ulambe elfu tano hiyo kesho, mwisho wa ubashiri ni saa 3:59 usiku wa kesho, yaani dakika 1 kabla ya mechi kuanza. Updates: 🚨🚨🚨🚨🚨 Hakuna aliyepatia, elfu tano itakuwepo tena...
5 Reactions
204 Replies
7K Views
GK: Costa RB: Wan Bissaka CB: Kim Min Jae CB: Licha LB: Shaw CDM: Casemiro CM: Caicedo CAM: Bruno RW: Rashford LW: Garnacho CF: Kane
4 Reactions
2 Replies
766 Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana pamoja na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita leo Juni 3...
0 Reactions
1 Replies
626 Views
Baada ya kuangalia mahojiano ambayo Feisal Salum amefanya na Clouds Media, nimeshangazwa sana na kitendo chao cha kuachia mambo ya "off-air" yaruke hewani tena kwa muda mrefu. Kuna video ambayo...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii ni mechi ya kibabe kati ya miamba hawa wawili. Nani unampa karata yako ya ushindi. Hadi sasa dakika ya 40 bao ni moja kwa moja.
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Dah, msiba huko Algeria utakuwa mzito sana, habari za baruti sijui vitisho ni visingizio tu, hamna lolote
0 Reactions
4 Replies
630 Views
Sisi kama Waarabu kutoka Tanzania siku ya leo vibanda umiza tunaingia na kanzu haijalishi itakua ya rangi gani hiyo ndo sare yetu Leo kwenye vibanda naomba nitambue uwepo wenu usma kutoka bongo...
1 Reactions
0 Replies
263 Views
Msimamizi wa Feisal Salum, Bi. Jasmine Razack asubuhi hii amesema kuwa, tayari Feisal amelipa pesa ya awali na amefungua jalada (CAS). Amesema, kwenye kesi hiyo, Feisal hajaishitaki Yanga huko...
18 Reactions
235 Replies
16K Views
Nimefikiria sana huu upumbavu anaoukubali rais wetu wa Yanga !! Hivi Kweli yanga inahitaji hamasa za kisiasa kushinda mechi? Kiukweli ni hapana. Sijawahi kuona au kusikia popote kutoka kwa...
5 Reactions
9 Replies
723 Views
Kama kuna Mtu ana picha ya Waziri, Naibu Waziri, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Katibu Tarafa, Mtendaji Kata, au basi hata kiongozi wa mtaa wa Kariakoo akiongea na wachezaji wa Simba au Yanga...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kuhusu mechi ya USM Alger na Yanga ni kwamba Yanga atashinda ila kuna mchezaji muhimu ataumia. Kuumia kwa mchezaji huyo kutaiathiri timu na hivyo kuna shaka timu kushindwa kupata matokeo ya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Zanzibar imeibuka kuwa mshindani jasiri wa hafla ya Kiafrika kwenye kalenda ya mchezo wa magari ya Formula 1. Kwa kuungwa mkono na serikali, washindani wanaoheshimika, na wasimamizi wa michezo...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kukubali ukweli siku zote siyo udhaifu bali ni sehemu ya kujisahihisha. Ukweli ni kwamba USM Algers siyo TP Mazembe, Marumo Gallants, Rivers Wala Monastry. Wakati mwingine ni ngumu kwenda vitani...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Fiston kalala Mayele wanayanga hatuna tunachomdai. Laiti Kama Mayele angekuwa ukoloni saivi wangemjengea sanamu pale Msimbazi Kama Pape Osumane Sakho na kigoli chake Cha kubahatisha ulikuwa ni...
13 Reactions
60 Replies
3K Views
Nna uhakika Feisal anakwenda kuipata hiyo hela, na kama atafanikiwa kwenda CAS kulalamika na akashinda rufaa yake, am sure watanzania wanakwenda kupoteza imani na chombo hicho cha soka. Karia...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom