Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"Ukienda kufanya Interview yoyote ile katika Redio tena katika Kipindi ambacho ni cha muda mchache (kama cha Saa Moja) huwa kunakuwa na Briefing juu ya kile ambacho Mgeni anaenda Kukisema Hewani...
12 Reactions
28 Replies
3K Views
Natamani kikosi kiwe hivi dhidi ya USM Alger kwenye kombe la CAF 🤗 1. Diarra 2. Djuma shaaban 3. Lomalisa Mutambala 4. Mwamnyeto 5. Bacca 6. Bangala 7. Morrison 8. Sureboy 9. Mayele 10. Mdathir...
2 Reactions
2 Replies
620 Views
Hii ni kwa wajuvi wa mambo na trend readers and observers. Jana tunaona trend ya shutuma na majibu ya shutuma dhidi ya Rais Mwinyi wa Zanzibar, tunatulia. Leo asubuhi tunaona trend ya shutuma...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Mwl wangu wa shule ya msingi alinichapia hadithi ya fisi, mfupa na jiwe. Alisema, siku moja fisi mwenye njaa Kali alikiona kitu cheupe mbali kabisa akidhani kuwa ulikuwa ni mfupa unaofaa kula na...
3 Reactions
12 Replies
923 Views
Nawasalimu. Wiki hii Klabu ya Simba imemteua Mholanzi, Melis Daadler kuwa msaka vipaji mkuu(chief scout )wa Klabu. NIna mtazamo tofauti na watanzania walio wengi wanaodhani kaja kusajili...
3 Reactions
5 Replies
980 Views
Unaweza kuona watu wanafaidi baada ya kusikia wamepatiwa pesa hiyo.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Yanga kufika fainali ya CAFCC kwa mwaka 2023 lakini pia nachukua nafasi hii kutokubaliana na upendeleo wa dhahiri uliofanywa na Mama kwa klabu ya Yanga Ni jambo la...
6 Reactions
59 Replies
3K Views
Taarifa toka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa Club ya Yanga inatarajia kupokea makinda 3 toka vilabu vya Villarreal na Atlético Madrid kama sehemu ya makubaliano yao na La Liga katika...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
siwezi kamwe kuiombea heri Yanga ....hata wakicheza na timu ya mtaani kwetu Mimi nitakuwa upande wa timu pinzani... Hata YANGA VS YANGA , mimi nitakuwa upande wa Vs.. Kesho FT USM Alger 3 young...
19 Reactions
51 Replies
4K Views
Kwamba baada ya Waalgeria kuzuia Camera za Media za Tanzania kuingia Algeria hivi punde inasemekana wamezuia Yanga SC kuingia na Maji yao ya Kunywa na Unga na Mchele wa Kupika waliotoka nao Dar es...
14 Reactions
36 Replies
4K Views
Wasalaam! Yaah! Wote tunaelewa nyakati zinabadilika sana, Yanga inavyobadilika na mpira wa bongo unabadilika, Kutoka kwa Manji to bakuli now kwa GSM, nakumbuka kipindi Yanga wanatembeza bakuli...
0 Reactions
1 Replies
746 Views
Uzi unajieleza, ilikua ni buku mbawa tu kwa jezi huku scarf zikienda kwa jero add zero. Nafikiri kesho vibanda umiza na sehemu za sports bar zitatamaradi. Roho mbaya roho mbaya tu. Ujugu arena...
0 Reactions
12 Replies
580 Views
Huyu mwehu anajua kama ujumbe huu anawafikishia watu wengi sana nchini? Asilimia kubwa ikiwa ni hawa mashabiki wa Yanga wanaopambania kuingia bure uwanjani kwa kukosa elfu tatu. Wengine ni...
9 Reactions
83 Replies
10K Views
Wote ni washambuliaji wa mwisho, Samatta alikuwa mmaliziaji zaidi wakati Mayelle anatengeneza nafasi pia anamalizia, lakini pia ana spidi na anaweza kufunga goli katika angle ngumu, akienda Ulaya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Pamoja na kupewa dege na Rais bure kuwasafirisha yanga kwenda Algeria, naskitika kusema hapa kwamba tarehe 3/6/23 uto atapokea kipigo kama cha ngedere aliyekula parachichi za mkinga.
2 Reactions
21 Replies
986 Views
Si mlijifanya kuwawekea Sumu katika Vyumba vyao na mkawafanyia hadi Fujo katika Hoteli waliyoifikia? Sasa ndiyo mtawajua Waarabu kuwa hawatanii na Fitina za Soka / Mpira Kwao ndiyo Makao Makuu...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Hayo ni maneno aliyoyapost sadio mane, aliambatanisha na clip fupi iliyokuwa ikimuonyesha mchezaji wa simba Pape osumane sakho akikata mauno mbele ya wanaume wenzie. NALIA NGWENA THE GREAT...
9 Reactions
90 Replies
4K Views
Katika hili GENTAMYCINE niko Serious na naweka Utani ( Ucharuraji ) wangu wa Usimba na Uyanga na naomba upesi sana haya yafuatayo yafanyike kwani kwa Saikolojia yangu Kali na Maono yangu Makali ya...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Nimejaribu kufatilia Ratiba ya Yanga ni ngumu Mno na Sijui kwa nini Bodi ya ligi Imemua kupanga hii Ratiba. Hii na Ratiba ya Mechi za Yanga inacheza: 👉Tarehe 3 Juni CAF fainali 👉Tarehe 6 Juni...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Kama tiketi 62,000 zote zimeisha na wamenunua waarabu wenyewe, najiuliza hawa mashabiki wa Utopolo watapata wap tiketi za kuingia uwanjani kesho, ninazo taarifa kuwa nje ya uwanja kutakuwa na TV...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom