Ni mambo ya kusikitisha sana ukisikia Vijana wameajiriwa ili watumike kwenye mambo ya kihuni ili tu mabosi wao wapate raha.
Vijana hawa wemefikia kulewa mapenzi hasa baada ya kuhongwa simu macho...
Najaribu kutafakari endapo Al hilal wangemtaka Messi na kumshawishi avunje mkataba na PSG ili wamchukue bila mazungumzo na ingekuwaje?
Duniani kote hakuna utaratibu wa mchezaji kujiamulia...
Hello wanaJF, Habari za mihangaiko siku kutwa wakuu wangu humu ndani!?
Nimekuwa nikifatilia mahojiano na baadhi ya chambuzi za wachambuzi karibia wote wa pale EFM hawa jamaa kuanzia Geoff Leah...
Hapa wa kumshangaa sio huyu shabiki mpya lialia wa yanga, ila wa kuwashangaa ni mashabiki na viongozi wa yanga wanaoamini huyu ni mwenzao....
KALAGHABAOOOO...
Mpaka Sasa NALIA NGWENA nimechoka sana, nilipochungulia ratiba ya Yanga kumaliza msimu ni ngumu sana Tena sana.
Tarehe 03/6 Yanga itacheza mchezo mzito Tena wa kufa mtu(fainali huko Algeria)...
Klabu nyingine moja kubwa mara Nne ilishafanya hivi katika Mechi Ngumu za Kimaamuzi na Viongozi wake Maarufu Watatu Kufariki Wiki Moja kabla ya Mechi na Mmoja wa Shabiki wake Maarufu nae Kufariki...
Unaweza ukajiuliza kwanini Mama kawapa Yanga dege letu la kisasa.
Basi ondoa shaka ni kwa nia njema, kwani hawa watu wanahistoria mbaya huko Algeria.
Kama lilivyoreport gazeti la Mwanaspoti mwaka...
Feisal hana bifu na Yanga bali ana bifu binafsi na kiongozi wa Yanga (Eng Hers).
Je Umechukua mchumba wake (mpenzi) wake?
Nini umemfanya kijana huyu mpaka kuamua kabisa bora aachane na mpira...
Ipo sababu kubwa mpaka Feisal kuamua kwenda "CAS" kuteketeza pesa zake za urojo lakini kaamua kwenda Tena kwa kujiamini kabisa (kifua mbele).
Endapo atashinda kesi huko "CAS" basi viongozi wa TFF...
Simba, klabu yangu pendwa iliwahi kuingia kwenye mzozo kama huu na kiungo fundi wa mpira marehemu Method Mogella, Method alikuwa fundi hasa kiungo wa chini lakini baadae alitorokea Yanga. Mzozo...
Akizungumza Bungeni leo Juni 1, 2023 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amewataka Wabunge na Wananchi wote Waiombee Yanga itwae Ubingwa wa CAFCC
Michezo na Ushindi ni Moja ya mambo yaliyomo Kwenye...
Kutokana na interview yake ya kusema kuwa "Anaipenda sana Yanga na mashabiki wa Yanga."
Kutokana na kuibuka kila baada ya tukio muhimu yaani Yanga inapokuwa na mechi muhimu ni dhahiri kabisa bila...
Muda mchache ujao pale katika dimba la Puskas Arena jijini Budapest nchini Hungary kutapigwa mchezo wa fainali ya Europa League. Ni Sevilla Vs AS Roma
Ikumbukwe Sevilla hajawahi kufungwa pindi...
Akielezea timu ya Bunge, Mapema leo katika mkutano wa 11 kikao cha 39 cha Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge, Dr.Tulia Ackson ameisifia timu ya Bunge kwa kiwango chake...
Chutama mdogo wetu na usitafute huruma sisi Simba tuonekane tunakutaka. Pambana na hali yako na jinsi unavyozidi kuongea unazidi kuharibu tu.
Busara kunyamaza ili usiendelee kuharibu huku mtaani...
Baada ya ubishani wa watani wa Jadi kupamba moto kuhusu timu ipi hasa imeshawahi kucheza Fainali ya Michuano ya Afrika. Wadau mbalimbali wanaibuka kutoa uthibitisho kutetea hoja zao.
Mashabiki wa...
Kutokana na mashabiki wa Simba SC kukomaza mishipa ya Shingo na kutokwa povu la mdomo.
Kusema kuwa Yanga SC "inataka kutoa watu/viongozi/shabiki maarufu wa timu ndiyo ishinde mechi ya Algeria na...
Nilizozipata hadi muda huu ni kwamba Mambo ni Magumu na sikuwahi kujua kuwa kumbe hata Waarabu ( hasa wa Algeria ) na Wao mambo ya Unyangindo ( Ulozi ) wanayajua.
Kuna Mtu Mmoja wa Insider 259...
Ile video Ina masaaa matatu nimejaribu kuisikiliza kwa muda nilio bahatika.
Kwanza feisal anaonekana sio mzungumzaji mzuri lakini ana hoja ambazo zingefanya mkataba wake kuwa invalid siku nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.