Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Wizara hiyo itaendelea kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA) katika sekta ya michezo nchini ili kuendelea...
Kituo A cha Kuchukua Dozi kilikuwa ni Dar es Salaam Tanzania ila huenda Mgonjwa akaenda Kujifia zake Wiki ijayo Jijini Algiers nchini Algeria Kituo B cha Kuchukulia Dawa mbele ya Madaktari mahiri...
Rekodi nyingine zinatia aibu sana.
Je ni wasi wasi gani mlikuwa nao na mnajiamini mlisajili?
Au ni kuitoa timu iliyoshuka daraja?
Hii ni aibu kubwa kwa Taifa.
Mwaka 1979, Simba Sc ya Tanzania ilipangwa kucheza na klabu ya Mufulira Wanderers ya Zambia katika michuano ya CAF.
Mechi ya kwanza katika dimba la taifa ( sasa uhuru ) Simba likufa 4-0...
Kumekucha huku,
Clouds fm inaripoti kuwa Simba sc wameamua kurudi kuwekeza katika soka la vijana.
Yaani ndo gia namba moja kueleke msimu mpya.
Yajayo yanafurahisha. Ha ha ha haa
Yanga bingwa...
Moja ya changamoto kubwa ya Uwanja wa Mkapa ni kuharibika mara kwa mara kwa sehemu ya kuchezea kutokana na jua kali au mvua.
Leo nakuja na pendekezo kuntu, kwa nini tusiezeke bati kumaliza...
Kufuatia Mheshimiwa Rais kutoa ndege ya Bure, Uongozi wa Yanga umempa kazi Manara kuratibu kuhusu wachambuzi watakaokwenda Algeria kwenye mechi ya Yanga na USMA.
Hiki ndicho alichoandika Manara...
Dortmund walikuwa na 'fainali' yao leo, baada ya kukosa ubingwa kwa miaka 11 wangeshinda leo, wangekuwa mabingwa
Basi wakajaza uwanja "FULL HOUSE" kama Yanga, shangwe nyingi na vifijo, ila...
Namaanisha kwenye mshono kweli.
Hii ni baada ya kutangaza usajili wa winga/kiungo mshambuliaji Augustine Okrah.
Huyu jamaa nilijua yupo kwenye timu ya taifa ya Ghana, lakini sikujua kumbe kutoka...
Mpira ni ajira na burudani kama burudani nyingine. Mpira ni ajira kwa kuwa Kuna watu wanapata pesa kutokana na mpira kama mishahara ya moja kwa moja na wengine hupata pesa kwa kuwauzia bidhaa...
Kwa yanayoendelea sasa kwenye mpira wetu ni ujinga na upumbavu mkubwa kuoneshwa na wapenda maendeleo ya michezo hususan huu mchezo pendwa wa mpira wa miguu.
Ndani ya siku tatu kumekuwa na matukio...
TAYARI HUKU.
"HATUHITAJI kwenda Algeria kwaajili ya kwenda kuchambua mechi ya Gongowazi mzigo wote DSTV kama kawaida na hakuna ambacho hakitaingia kwenye Record.
KILA jiwe litahesabiwa na...
Mshambuliaji hatari wa Yanga S.C ambaye pia ni mfungaji bora wa kombe la Losers na lile la NBC premier league, mkongoman Fiston Mayele inasemekana huenda msimu ujao akaenda kupata changamoto...
Habari za mda tena wadau na wapenzi wa kandanda humu jukwaani.
Ikiwa tunaelekea mwisho wa msimu wa kimashindano 2022/23 barani ulayq na kwingineko duniani. Timu mbalimbaili zimeanza maandalizi ya...
Baada ya klabu ya Yanga kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho, ligi kuu Tanzania bara itapeleka timu nne(4)
katika misimu miwili mfululizo ambapo mbili ligi ya mabingwa...
INACHOSHA lakini ndio hali halisi. Tunalazimika kumzungumzia Fei Toto, ingawa jana kulikuwa na mechi kubwa zaidi katika historia ya Tanzania iliyotazamiwa kucheza. Siwezi kumlaumu Fei. Haikuanzia...
Niwakumbushe tu Wana utopolo katika michuano hii ya luza USM hawajapoteza mchezo wowote nyumbani kwao,
Na kingine timu yoyote iliyotembelea pale kwao imekula kuanzia goli 2 na ni timu moja tu...
....ushindi wa Yanga waweza kuwa hivi:
Dk ya 2, Wanapata goal, dk ya 45 wanapata la pili....wkt waarabu wanashambulia, inapigwa Counter dk ya 73, Utopwinyo wanapata goal la 3 mpk mpira unaisha...
Kifupi / Kiufupi Naibu Waziri wa Michezo Hamis Mwimjuma (alias Mwana FA) ulichokifanya leo ni Usaliti mkubwa na Usiovumilika dhidi ya Klabu yetu ya Simba SC.
Naushauri Uongozi wa Simba SC uache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.