Mvua jana ndo ilitunyima ushindi. Uwanja ukawa unateleza. Na pia iliondoa .... Kabisa. Waarabu wanatumia sana majini.
Morrison hakuwa wa kukosa lile goal. Namjua Morrison maeneo kama yale. Lakini...
Mbwembwe zote kusogeza mbele mpaka game za mnyama ili haya majamaa yaone kweli yanakazi ya kuleta heshima hapa nchini, matokeo yake yamekalia michambo na kuwatusi watu ambao hawajawakosea...
Hakuna wakumfananisha nae nasema tena hakuna, hakika mwamba kutoka Tunis kocha wa mpira wanayanga hawana Cha kumdai kwa kazi kubwa anayoipiga ikiambatana na mataji (makombe) yanayorejea mitaa ya...
Leo ndio leo hatimaye imefika siku muhimu kwa wapenda soka barani Africa.
Ni fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Africa kwa msimu wa 2022/2023 kati ya Yanga na USM Algerz Mechi hii...
1. Hatuna cha Kuwadai Wachezaji wetu wa Yanga SC na Jana Wachezaji wetu wa Yanga SC walikuwa na Siku mbaya Kazini / Ofisini
2. Lengo letu lilitimia pale tu Yanga SC ilipofuzu hatua ya Robo...
Kama Jibu ni ndiyo basi kuna Watu Medali pekee watakazorudi nazo nchini Tanzania ni Tiketi zao tu za Ndege ya Msaada waliyopewa na Kuipanda.
Kudadadeki....!!
FAINALI CAF;DOSARI YAANZA KUJITOKEZA MECHI YA YANGA.
Fainali CAF; dosari yaanza kujitokeza mechi ya Yanga.
Washabiki wa yanga wanalowa na mvua toka saa mbili asubuhi wapo nje ya uwanja,kwa nini...
Mmoja ni Mshambuliaji, Mmoja ni Kiungo na mwingine ni Winga wa Kushoto.
Baada ya GENTAMYCINE kuipata hii Taarifa naanza kuona Timu Moja ikifungwa hata Goli 7
Ni Mwendo wa Kuwakera tu JF.
Natoa angalizo hili mapema ili tusije kulaumiana, hayo mabango yenu yaishie kwenye hizo Jogging zenu za Mbagala, Mkileta ujinga huo uwanjani tunashangilia USM Alger. Potelea mbali.
Rais kutoa...
Ndio kilichobaki aletwe kaburu kutuendeshea Uwanja wa Mkapa
Sisi tunataka burudani Siyo Siasa
Hata Tundu Lissu akitutafutia mwekezaji kutoka Ubelgiji kwa akina Mbwana Samatha na Lukaku ni Sawa...
Wachambuzi wa Soka Tanzania na Watanzania ni Wanafiki sana wengine washakuwa Wachawi.
Kwanini kufungwa Yanga kiwe kitu cha ajabu kiasi hicho?Kila kona kelele na uchambuzi mavi usio na kichwa wala...
Japo wakati mwingine mpira unakuwa na matokeo ya kushangaza lakini kuna wakati lazima uonyeshe uwezo ili uweze kuwa bingwa. Yanga wametembelea ngekewa hadi kufika fainali. Kwanza kucheza...
Kwanza naomba niipongeze Timu yangu ya Yanga kwa kufikia hutua hii adhimu ya fsinali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Mmetuheshimisha sana sana, kweli hatuna deni na nyie, pokeeni maua yenu...
Baada ya Wananchi kupoteza mechi ya Leo huku kukiwa na matumaini hafifu kwenye re-match tunaweza kusema wachezaji wetu wamekufaje? Simba wao walisema walikufa kiume.
Lazima yanga wavunje bank wanunue Namba sita mkata umeme mwenye kasi Ili akae katikati na aucho acheze 8
Namba kumi wa kisasa mwenye kasi na anayeficha mpira
Namba saba mwenye kasi na anayetumia...
Wanajamvi na wanaspoti habari za wakti huu....
Nitangulie kutoa Pole kwa Wanayanga wenzangu,ila pia nitoe pongezi kwa viongozi,socialites & pundits wote ambao ni wanazi wa simba kwa kuzika...
Wanafiki wakubwa nyie yaani leo baada ya Kipigo cha jana kutoka kwa USMA ndiyo mnajifanya Kumjua Allah ( Mwenyezi Mungu ) mbona kabla ya Mechi yenu neno hili mlikuwa hamlitaji mara kwa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.