Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimeona post za wachambuzi ushabiki wanaochambua mpira kwa hasira baada ya kuona Yanga imepoteza mbele ya mwarabu (USM ALGER) kwa magoli ya mbili kwa moja. Kila mchambuzi anatupa mzigo wa lawama...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Kuna mtu kanidokeza kuhusu huu mpango wa mechi ya Yanga na USM Alger Mpira wa Africa hata uwe na Quality Players lazima ucheze na mechi nje ya uwanja ili utwae mataji . Quality Players +Mbinu...
12 Reactions
52 Replies
3K Views
Nimefanya utafiti games 3 alizocheza Yanga mvua ikinyesha 2 kapigwa! Yanga vs Simba nk Je ni wakati sahihi kuamini Yanga mvua ndiyo ulozi mkubwa kwao!
1 Reactions
9 Replies
763 Views
Habari wakuu Naomba kufahamishwa sehemu tulivu yenye big screen ya kutazama mpira na familia maeneo ya Dar es Salaam. Isiwe bar au kibanda umiza. Nawasilisha.
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kila lakheri USM Alger, hapa tunakaza wakija kule kwetu tunawapiga za kutosha. 🔴⚫️
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Game imeisha Kwa mkapa Yanga kafungwa bao 2 Kwa 1. Je Kwa matokeo tuseme yanga Hana chake kule Algeria maana hawa USM Algeirs wanaenda kukamilisha ratiba tu
3 Reactions
23 Replies
7K Views
Nimeangalia mpira wa YANGA vs USM ALGERS nikiwa home SINZA VATICAN hapa.... Sikupata fursa ya kwenda Uwanjani hasa nikijua wazi kupata nafasi itakuwa ngumu + mvua. Kwa nilivyoungalia mchezo huu...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Ila hii pole mbona kama vile,yanga wanalalamika kuwa wamepigwa ndege wawili kwa jiwe moja. POLENI SANA UTO, KILA SHABIKI WA SIMBA SC APITE HAPA AANDIKE NENO POLE,KISHA ATOKE...
0 Reactions
4 Replies
444 Views
Sisi ndiyo Simba, ile kauli ya nguvu moja huwa ina balaaa usiombe ukutane nayo. Makelele yalikuwa mengi sana hapa mjini, oohhhh kombe kombe, kibaya zaidi wakatutukania kocha wetu. 😡 Nyie Yanga...
1 Reactions
7 Replies
428 Views
Suala la kufa kiume mmeshalikataa, tusiwasikie mnasema "tumekufa kiume".
0 Reactions
5 Replies
605 Views
Nichukue tu nafasi hii Kuwashukuru Klabu ya USM Alger Wachezaji na hasa hasa Kocha wao ambaye si tu anajiamini ila hata alipotua nchini alipohojiwa alisema ameshaiona Yanga SC na kwamba ni wepesi...
1 Reactions
2 Replies
511 Views
Kuna watu wajinga sana tena wanajifanya watu wa mpira, eti yanga ina nafasi kule ugenini, pumbav* kweli. Umati wa washabiki wa USM watakaojazana kwao ni mara 10 ya hapa leo, vitisho na mikwara...
3 Reactions
17 Replies
821 Views
Halafu mlivyo wa hovyo badala ya Kuitangaza vyema kwa kusema kuwa Yanga SC imefungwa Kiuwezo mnachokifanya sasa ni kutafuta Wasikilizaji wenye Uyanga na kuwalazimisha waseme kuwa Yanga SC itaenda...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
🇲🇱 Djigui Diarra 🆚 Oussama Benbout 🇩🇿 A glimpse on @yangasc1935 and @USMAofficiel goalkeepers’ head-to-head stats before #TotalEnergiesCAFCC finals! 🥅
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Makolo msimu huu wanatia huruma sana. Leo wanafurahi lakini kila siku humu wanasema hilo ni kombe la looser. Sasa kama ni kombe la looser, hiyo furaha inatoka wapi? Wengine walipoona Yanga...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Tunawapongeza Yanga kwa hatua hii mliofikia hakika ni kubwa sana kwenu na kwa nchi kwa ujumla. Kwa mazingira ya mechi yalivyo USM ni bingwa. Najua mtapinga ila huo ndio ukweli hata nyie mnajua...
8 Reactions
48 Replies
6K Views
NALIA NGWENA nimewadharau mno wachawi, walozi na waganga wajadi kutoka pande zote za Tanzania hii hakika natamka wazi wazi bila ya kificho kuwa hii nchi ina waganga njaa tu na matapeli...
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Msemaji wa Yanga aliongea maneno hayo baada ya kumfunga US MONASTIRIE pale kwa Mkapa
2 Reactions
12 Replies
822 Views
Nawasikia tu mnavyodanganyana na kupeana Moyo katika Vijiwe vya Mitaani na humu Mitandaoni. Wenye Akili na tunaojua Mpira tunajua kuwa tayari USM Alger FC kwa 85% wameshakuwa Mabingwa wa CAFCC...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom