Hiki ndio kinakwenda kutokea huko ugenini tarehe 03/06/2023. Yanga ushindi ni popote ugenini au nyumbani. Waarabu hawataamini kama ilivyotokea kwa wale Waarabu wa Tunisia.
Goli moja walilopata...
Kuna watu wanacheka saana Yanga Na kusema safari kwisha. Nataka tu niwaambie Yanga sio kama Simba.
Mimi Nina 100% Yanga anakwenda kupindua matokeo ugenini
Kuna uwezekano mkubwa mechi ya round ya...
Kocha Mkuu wa USM Alger Benchikha Abdelhak amesema bado ni 50 kwa 50 kwa kikosi chake kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika, licha ya kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Young...
Timu zitakazochukua ubingwa mashindano ya CAF 2023
1. CAF confederation cup USM ALGER Bingwa atamfunga YANGA fainali.
2. CAF champions league AL AHLY Bingwa atamfunga MAMELODI fainali.
Nipo hapa kuueleza umma kwamba mimi nisiwe mnaa. Furaha yangu kwa Utopolo kula kichapo haiwezi kufichika kwa uzalendo uchwara.
Nawaombea mkienda huko Algeria mchakazwe kama mbwa koko mkirudi...
Kocha nabi ndo mtu anaeshinikiza kwa nguvu zote kutokuondoka kwa Feisal, anajua uwezo wa Fei na anajua umuhimubwake ndani ya kikosi na anajua hakuna mchezaji anaefikia nusu ya uwezo wa fei kwa...
USM Alger hawana mpira wa kuwafunga yanga
Nimecheki game Yao Leo na asec mimosa
Nafikiri asec mimosa wangekuwa Na washambuluaji wenye speed kama fiston mayele , kisinda Na wengine basi Hawa...
Mpaka tutambue hili, hakuna maendeleo ya maana kisoka yatapatikana.
Matokeo ya jana pamoja na Taifa Stars v Uganda mwezi uliopita ilikuwa ni funzo lakini bado hatutaki kuelewa.
Kuna Mtu anakujua ndani nje aliwahi kuniambia kuwa Sifa yako Kuu ni kuwa Mnafiki na mwepesi Kununuliwa na Kusaliti nikawa namkatalia ila kwa Upuuzi ulioufanya leo kwa Kuvalia Jezi ya Yanga SC huku...
Nashauri hiyo hela (Gharama) ya Ndege kuwapeleka wachezaji wa Yanga SC na wanachama wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na...
Habari za weekend wadau wa soka na mashabiki wa mpira Tanzania pamoja na East Africa kwa ujumla. Yakiwa yamebaki masaa machache kabla ya mchezo wa final ya kwanza ya Caf confederation cup pale...
Habari wadau
Nilikuwa napendekezo kwa shirikisho la mpira Afrika (CAF), mashindano yajayo kwenye Champions na Federation, timu zishinde kwa juhudi zake bila kuongezewa GOLI zinapoenda ugenini. Na...
USMA walijiandaa zaidi ndani na nje ya uwanja kuikabili YANGA SC, ila YANGA SC wao mbali na kujiandaa kumkabili mwarabu, pia waliweka jitihada zao za ziada kumkomoa SIMBA SC.
Kwa mantiki hii...
Poleni sana Wananchi kwa kupoteza mchezo jana. Naamini nafasi bado ipo kama mtaenda na mipango na mbinu sahihi ugenini.
Nikirudi kwenye mada hapa, shida yangu ipo kwenye namna ya ahadi ya Rais...
Najua mnae wa Kucheza Mechi zenu za Ndani tu ( NBC Premier League ) kutoka Kilosa Morogoro na mnae yule wa Kucheza Mechi zenu za Kimataifa tu atokaye Uvinza Mkoani Kigoma ila kwa kupenda Kwenu...
Simba tuache wivu wa kipumbavu, hii mvua tunajuwa wazi siyo swala la season Bali ni wivu wa kijinga tu kuharibu Burudani ya Kihistoria.
Acheni hizo bana, ushindi wa Yanga ni heshima kwa Taifa...
Matumaini yangu ya Yanga kuchukua ubingwa yameshuka mpaka asilimia ishirini (20).
Kiufupi wachezaji wamecheza chini ya kiwango hata MORALI usoni mwao ilikua ndogo kabisa.
Ukitazama goli la pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.