"Tumeumia kumkosa Aucho lakini hakuna namna, ni suala la kikanuni. Tumezungumza nae na atakuwa na timu kwenye mechi zote mbili kwa ajili ya kuwahamasisha kupata matokeo mazuri" Kocha Mkuu...
Kila nikifunga macho yangu sioni chochote kabisa ila ninaomba tu timu yetu.
Wawe makini Na mipira ya juu maana USM Alger ni wazuri zaidi kwenye mipira ya juu
Jinsi ya kucheza Na watu kama Hawa...
Tafadhali tubakie tu katika uchezaji wa Yanga SC na fainali iliyoko na tusizuge sasa kwa kuhamisha goli kujifanya kufungwa kwenu na USM Alger FC jana siyo Muhimu kwenu na kwamba ufungaji bora...
Sasa ni rasmi haina mbambamba, kuwa timu yetu hii pekee iliyobaki kimataifa itapambana kiume nje ndani ila matokeo ni kuwa atabaki na alichonacho, mwaka huu ni tasa sio wa kutwaa bali wa kufika...
Endeleeni kufurahi kwa kujipongeza wakati kabatini kila kukicha mnafuta Vumbi na kushangilia kombe alilo wapa mangungu la kumfunga mtani.
Hii ni aibu kubwa sana na haina tofauti na masikini...
BAADA YA KUDHIHAKIWA NA ALIKAMWE, JUMA MGUNDA AMPA JIBU
🗣️"Yanga ni Club yetu pekee Tanzania inayotuwakilisha kwenye fainaly hii ya CAF na kwa bahati iliyonjema inacheza na Club Inayotoka nje ya...
Shabiki ni mchezaji wa kumi na mbili (12) Kama kanuni za mpira zinavyosema, kwa hiyo basi ni matumaini yangu wachambuzi mliozoea kumuimba mayele na baleke itakua vyema sana Kama wachambuzi mtapaza...
Nitangulie kutoa pole kwa wafiwa wote na walioguswa na msiba uliotokea jana wa shabiki wa Yanga mwenye mapenzi ya dhati na timu yake.
Natumia jukwaa hili pendwa la michezo NALIA NGWENA kutuma...
Pambano limeanza
Pambano hili la Ibrahim Class ‘Mawe’ dhidi ya Said Chino linaongozwa na Mwamuzi mkongwe, Emmanuel Mlundwa kwenye Ukumbi wa The Warehouse, Masaki, Dar es Salaam.
Wanawania Mkanda...
USM Alger, watakuja na mbinu ya kulinda/ kujilinda na kukaa nyuma ya mpira ikiwapo na zoezi la kupoteza muda ili mradi wasiruhusu goli nyingi/wapate sale ili wakienda kwao waisurubu Yanga.
Hii...
TFF na Bodi ya ligi msifurahie kuhesabu kibunda (fedha za mapato ya uwanja) huku mashabiki/wateja zenu wakipata karaha kwa sababu ya miundo mbinu mibovu.
Nimesikitishwa sana kusikia mtu kafariki...
Kwa kile kilichotokea pale uwanja wa Benjamini Mkapa hakika wengi wametoka vichwa chini pasi na kuamini kilichotea hasa kutokana na imani waliyokuwa nayo kwa timu ya Yanga
Ni kutokana na imani...
“Maandalizi yetu ni magumu hatujapata muda wa kutosha tumetumia muda mwingi kwenye recovery. Tunataka tutoe wito kwa wanaopanga ratiba, tunaliwakilisha Taifa tunaombea siku zijazo lisitokee tena”
Ni ajabu na kweli ya kwamba kuna mashabiki, viongozi na wanachama wa klabu moja hapa nchini wamefanya sherehe ya kufurahia baada ya Yanga kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya kombe la...
Kongolee kwa wanayanga kwa matokeo haya tuliyoyapata dhidi mwarabu (USM ALGER).
Nilishawahi kuleta Uzi humu wakumwaga maua kwa Khalid Aucho na kusema ndiyo namba nane Bora katika kikosi Cha Yanga...
Sergio Rico ambaye ni kipa namba 2 wa Paris St-Germain amepata majeraha makubwa katika ajali wakati akiendesha farasi Nchini Hispania alipoenda kwa ajili ya mapumziko.
Rico (29) alikuwa katika...
Baada ya miaka kumi kupita huku ikibaki mechi moja tu msimu wa 2022/2023 bundesliga kuisha mtanange wa kuwania kombe la ligi hiyo kati ya bayern munich na borussia dortmund umezidi kunoga...
Hii kauli inachochewa. Na Mafanikio ambayo Yanga Imeyapata.
Hiki ni kikosi bora kuliko kikosi chochote katika historia ya mpira wa muguu Tanzaia.
Haijawahi kutokea katika ardhii hii ya Tanzania...
Habarini wanajukwaa hili!
Naomba nitoe mawazo yangu kuelekea Fainali ya Jumapili ambayo Yanga anacheza na USM Alger watu wengi ambao hawajui mi nawaita hawajui Mpira hadi wachambuzi wa soka hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.