Katika dunia ya leo ambayo ustaarabu upo kwenye kiwango cha juu mambo ya hamasa kwenye michezo hususani mpira yamepewa nafasi ndogo sana. Mpira ni mchezo wa medani unaitaji mikakati, mbinu na...
Siasa kuingizwa kwenye mpira, mpira huharibika.
Sidhani kama Yanga ingeshindwa jaza uwanja.
Wanasiasa wamechukua point, mashabiki wanateseka kwa kuuziwa tiketi kwa 15000/
Watu walio taifa ni...
Pazia la EPL linaenda kufungwa jumapili hii. Bingwa ameshapatikana ambaye ni Man City.
Top 4, timu zishapatikana ambazo ni Man City, Arsenal, Newcastle United na Man Utd. Kimbembe kitakuwa kule...
Kuelekea uchaguzi wa mwaka elfu mbili na ishirini na tano (2025) Kila ninapopita mtaani naona vijana wamependeza na jezi zenye maandishi ya DIWANI CUP, MBUNGE CUP, JIMBO CUP nk.
Vijana wanafanya...
Hii habari ya kuleta mapicha ya Rais na mwenyekiti wa CCM uwanjani ni mchezo mbaya sana. Mpira ni mpira na siasa ni siasa. Msiwagawe wa Tz kwa kitu pekee kilichobaki kuwaunganisha. Kesho mtu akija...
Mtani Hana uzalendo na wanautakia Yanga ushindi kwa shingo upande huku moyoni mwao kumejaa makando kando (chuki ) maana mashabiki wa Simba wanatambua Yanga akichukua kombe itakua kelo kwao.
Na...
Kama jibu ni ndiyo basi GENTAMYCINE nichukue nafasi hii kuwatakia kila la kheri ila kama Kawaida (kwa Unafiki Wetu tuliobarikiwa nao) Mdomoni naungana nanyi Waswahil, ila Moyoni nipo na Mwarabu...
Kwema wadau?
Nawaona hapa Yanga,...dizain kama Wana wasiwasi hivi!..ukiwatizama usoni ,nyuso zao kama watu wenye woga, hofu na mashaka....nyuso zimejaa simanzi! ...Nasikia Mayele hachezi leo eti...
Baada ya matokeo ya leo aliyoyapata Yanga watu wengi tutapata misongo na depression kwa sababu hatukuzoea.
Rai yangu kwa watanzania wote, tuchukue tahadhari ya hali ya juu tusije kuleta maafa...
Wote tunajua capacity ya uwanja wa Mkapa ni 60,0000. Ila ninavyojua Selcom hapa tiketi zitauzwa zaidi 70,000 na milango itachelewa kufunguliwa ili wengine wachelewe na kuambiwa uwanja umejaaa...
Juzi tumeona kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha timu ya USM Alger ikiwasili JK Nyerere International Airport ikiwa na shehena ya Maji ya kunywa na pia inasemekana walibeba na vyakula vyao...
Lionel Messi amefunga goli moja wakati timu yake ya Paris St-Germain ikitangaza ubingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa ‘Ligue 1’ licha ya sare ya 1-1 dhidi ya Strasbourg.
Goli alilofunga Messi...
Mpaka Sasa mashabiki ni wengi kufikia hatua ya kuvunja geti na kuingia na hiyo inatokana na utendaji mbovu wa pale getini.
Kama timu imetangaza kuwa tiketi zote 60000 zimeuzwa watendaji walipaswa...
MUHIMU: Hawa wahusika wameguswa na mafanikio ya yanga na ni wao kwa hiari yao wameamua kushow love wameongeza hamasa kwa kuwanuulia mashabiki tiketi, wala hawakuombwa wala kulazimishwa.
Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.