Suma jkt na tff lazima wabebe lawama hii kulikuwa na haja Gani ya kutumia polisi ..maji ya kuwasha na virungu kwa raia wasio na hatia na viingilio wamelipwa?
Kwa mujibu wa Yahaya Mkazuzu wa Clouds Fm anadai kuwa mashabiki waliokuwa wamechoshwa na kukaa kwenye foleni huku utaratibu wa kuingia uwanjani ukiwa haupo vizuri, basi mashabiki wakavunja geti na...
Timu ya Yanga SC kupitia kurasa zake rasmi za mitandao ya kijamii imetangaza kuuza tiketi zote za mchezo wa fainali ya #CAFCC ikiwa imesalia siku moja tu kabla ya mchezo huo dhidi ya USM Alger...
Naam Khalid Aucho ataukosa mchezo wa fainali dhidi ya USM ALGER kutokana na kadi za njano mfululizo.
"Tunasikitika kumkosa Khalid Aucho kwenye kikosi lakini tumeongea naye atatumika kuleta...
Ninachokishuhudia hapa benjamini mkapa ni rekodi ya aina yake kwa nyomi ya mashabiki waliojazana hapa, na bado barabara ziko bize uelekeo ni benjamini mkapa, hakika ni mechi ya kihistoria...
Yaani kile kitoto naanza amini kweli siyo riziki. Mgunda ni moja ya makocha ambao wana busara sana hapa nchini. Toka namfahamu sijawahi msikia akiizungumzia Yanga vibaya
Amekuwa na heshima kwa...
Leo natabiri hivi..
Dakika ya 7 kuna goli.
Jezi namba 7 inafunga goli.
Kuna goli 7.
Nitakasea kidogo tu.
Rangi ya bahati ni njano(saffron)..
Wananchi tunaenda kuishangaza dunia leo
Ligi imekosa mvuto, timu moja inachukua kombe kwa miaka 11 mfululizo kwa kutumia mbinu za kupora wachezaji wazuri kutoka timu pinzani
Kwa mbinu hii pengine inaweza kuchukua ubingwa hata mara 20...
BAADA YA KUDHIHAKIWA NA ALIKAMWE, JUMA MGUNDA AMPA JIBU
🗣️"Yanga ni Club yetu pekee Tanzania inayotuwakilisha kwenye fainaly hii ya CAF na kwa bahati iliyonjema inacheza na Club Inayotoka nje ya...
Tajiri Asiye Bahili & Mwenye roho safi leo mchana amepata fursa ya kuzungumza na wachezaji kielekea mchezo wa kwanza wa fainali ya CAFCC.
Katika Kikqao hiko kifupi Ameahidi wachezaji kwamba kila...
Hakika elimu ni ukombozi wa maisha. Ukiwa umeelimika inakuwa sio rahisi mtu kukushikia akili, ukiwa na elimu sio rahisi kuendeshwa kama gari bovu, ukiwa na elimu sio rahisi kutumiwa kwa maslahi ya...
Nahodha na beki wa timu ya Taifa ya Nigeria U20 inayoshiriki World Cup ya U20 huko Argentina, kinda mwenye miaka 17, Daniel Kolocho Bameyi imebainika kuwa alidanganya.
Imezoeleka wachezaji wengi...
Hapo jana jioni makachero wa Mashujaa FC wamebaini mauzauza waliyofanya timu ya Pamba FC kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza kwa kuchimba sehemu za uwanja na kufukia Ndumba.
Maeneo ambayo...
Football Accumulator Tips for 29-11-2018
Here is the Free Football Acca Tips for today 29-11-2018
Easy football accumulator tips of the day – Fill your bet coupon with this football acca, we...
Jambo Jambo?
Nakumbuka kipindi kile kama sikosie kampuni ambayo ilikuwa miongoni mwa makampuni ya awali ya michezo ya kubahatisha “Kubeti” ilikuwa ni M-BET, MERIDIAN na kadhalika.
Kama ilivyo...
Pelly Ruddock Mpanzu (amezaliwa 22 Machi 1994) ni mwanasoka wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo Katika klabu ya Luton Town Ambayo Imefanikiwa Kupanda Ligi Kuu ya Uingereza Msimu ujao.
Pelly...
Picha: Abubakari Salumu (Sure boy)
Naam, kiungo bamia kiungo lainishi fundi huyu kutokana na kupenda kula urojo kule zenji kwa mzee kaju, basi wachezaji wenzake wakambatiza jina la "babu kaju"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.