Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mashabiki wa Simba kujipa moyo baada ya kuona leo Wydad amemtoa Mamelod Sundowns huku mkiwacheka Yanga kumtoa Marumo aliyeshuka Daraja haibadilishi maana ya Yanga kucheza fainali, tengenezeni timu...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
Tetesi hizi zina ukweli wowote? Kuwa Sunderland the Only One kaweka bilioni 4 kuchukua tenda ya jezi za Simba?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wangapi tupo macho ambao tumekosa Usingizi tunapitia nyuzi za JF. Hapa kulala mpk saa 8 ndo usingizi unakuja. Nipo naangalia boxing lakini celewi nikaona niwape Hi wana JF. Kama upo macho tupia...
2 Reactions
7 Replies
485 Views
YANGA YAACHANA NA KOCHA NASREDDINE NABI. Taarifa rasmi zitakuijia hivi punde. Usiondoke Anaandika Jemedari Saidi Habari za uhakika zinasema Kocha NASRIDEEN MOHAMED NABI maisha yake na Yanga SC...
19 Reactions
120 Replies
14K Views
Kesho Jumapili tarehe 28 May kwenye dimba la Mkapa inachezwa fainali ya kwanza ya kombe la Shirikisho Afrika baina ya Young Africans hapa nyumbani dhidi ya USM Alger ya Algeria. Mm kama Mtanzania...
5 Reactions
3 Replies
604 Views
Mchezaji wa Valencia, Mouctar Diakhaby alikataa kusimama nyuma ya bango jipya la LaLiga la kupinga ubaguzi wa rangi linalosomeka "Wabaguzi wa rangi, waondoke kwenye soka", kabla ya mechi yao dhidi...
13 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwenye kujua walipo wachezaji wa Simba 2012 walioifunga Yanga 5 - 0 ashushe data hapa kwa heshima ya hawa Legends walioipa Yanga adhabu isiyovumilika. Wapo wapi na wanafanya nini kwa sasa?
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Eti wadau mi sielewi sijui Faisal anatuchukuliaje wenzake. Km aliweza kulipa zaida ya mil 100 ili avunje mkataba wake sasa anakosaje mil.50? Hii taarifa ni changanya bwege.Wale wale waliompa ile...
10 Reactions
61 Replies
3K Views
Wasalaam, Kevin De Bruyne na Lionel Messi ni wachezaji wawili wenye vipaji vya kipekee katika soka na wote wawili wanajulikana kwa ustadi wao wa kupiga pasi. Hata hivyo, wana mbinu tofauti za...
5 Reactions
63 Replies
4K Views
Bwana mdogo Ally Kamwe naona umeomba msamaha baada ya kuzungumza kauli ya kijinga na isiyofaa ya kusema kwamba "ukipewa Mgunda na andazi unachagua andazi" Hii ni kwa wasemaje wote mnaotaka likes...
9 Reactions
16 Replies
899 Views
Kupitia sheria na kanuni zilizowekwa za Bodi ya Ligi kuhusu udhibiti wa viongozi huenda Afisa Habari wa klabu ya Young Africans Ali Kamwe akafungiwa miezi mitatu kujihusisha na soka, endapo sheria...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza pichani ni kikosi cha simba kilichocheza fainali za Abiola 1993 na picha ya Roy Keane wa Man U 1993. Dah kitambo sana mara ya mwisho Tanzania kuingiza timu...
12 Reactions
35 Replies
3K Views
Kumekua na malalamiko kutoka kwa Mo dewj (boss wa Simba sc) akisema kuwa Simba inahujumiwa na baadhi ya watu (viongozi). Kwamba wanapewa pesa za usajili lakini hawatimizi (hawaifikii bajeti...
0 Reactions
2 Replies
481 Views
Aisee nimeshangaa kundi kubwa la watu walioshangilia timu yao kutolewa na Wydad kwa mbinde na kusema hawadai, wamekufa kiume cha ajabu zile kauli hazihakisi nyuso zao zilizovyo kwasasa. Admin wa...
8 Reactions
7 Replies
611 Views
Nipo palee nakunywa kahawa nasubiri majibu yenu wakubwa (wakulungwa). Nawasilisha swali.
3 Reactions
11 Replies
487 Views
Maoni ya mwanachama Je huyu scout atasajiri wazungu (kina Dejan) kutoka uholanzi au wachezaji wa hapa hapa Africa [emoji38][emoji38] ................................... Hivi Simba SC tuna akili...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Mchezaji maarufu wa mpira wa miguu duniani "Sadio Mane wa Senegal" (Afrika Magharibi), ambaye kipato chake ni dola 186K kwa wiki, alionekana katika maeneo mengi akiwa na simu zilizovunjika...
6 Reactions
7 Replies
741 Views
Katika orodha mpya iliyotolewa na Opta yenye kuonyesha ubora wa vilabu mbalimbali duniani kwenye vilabu kumi bora Afrika hakuna hata klabu moja ya Tanzania pamoja na tambo nyingi za wanazi wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika orodha mpya iliyotolewa na shirikisho la soka duniani (Fifa) yenye kuonyesha ubora wa vilabu mbalimbali duniani kwenye vilabu kumi bora Afrika hakuna hata klabu moja ya Tanzania pamoja na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Cha kwanza ameshawakwanza wananchi, akae akijua Yanga ni kubwa kuliko yeye na wanamzunguka, Sasa kawakwaza wanajangwani na wananchi, ameomba msaada wa watanazania wamchangie! Sidhani kua kwa...
0 Reactions
6 Replies
583 Views
Back
Top Bottom