Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Iko hivi, Feisal Salum na Wakili wake wakiwemo wanaomdanganya wanafahamu kabisa huko CAS hawezi kushinda kwasababu mara nyingi CAS wao hupitia sana sana hukumu iliyotolewa na shirikisho la mpira...
4 Reactions
11 Replies
669 Views
Shida Kuu Simba Sports Club 1. Mwekezaji Mo na Uongo wake juu ya kuweka Tsh 20 Billion huku akifaidika zaidi na Timu kuliko Simba SC inavyofaidika nae 2. 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kamati ya Sheria na Nidhamu ya Young Africans imemuelekeza Feisal kuwasilisha utetezi wake juu ya tuhuma zinazomkabili ndani ya siku 7. Pia Kamati imemuelekeza kuhudhuria Kikao cha Kamati ya...
3 Reactions
87 Replies
7K Views
Mwenyekiti wa bodi ya Simba Salim Abdallah Try Again amesema Cesar Lobi Manzoki alisaini mkataba wa awali Simba (Pre contract) lakini baada ya kusaini mkataba na klabu ya hiyo, Manzoki alipata ofa...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Imekuwa ni kawaida kwa washabiki na wapenzi wa Simba kutoyakubali mafanikio ya Yanga na kubeza jitihada zao. Imefikia kiasi ambacho timu zote zilizofungwa na Yanga kwenye mashindano ya shirikisho...
11 Reactions
18 Replies
944 Views
Wachezaji wa Yanga SC kutoka kulia Salum Kabunda ‘Ninja’ (sasa marehemu), Kenny Mkapa, Abeid Mziba, Method Mogella, David Mwakalebela, Said Mwamba ‘Kizota’ (marehemu) na Hamisi Gaga (sasa...
6 Reactions
8 Replies
3K Views
Naona watu mapovu yanawatoka kuhusu post ya Feisal ila kama unauelewa game vizuri utagundua Feisal anataka mambo mawili. 1. Ameweka tangazo la biashara la kampuni ya simu. Kafanikiwa. 2...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Jumapili ndani ya dimba la Mkapa inaenda kuwekwa historia ya fainali ya kwanza ya mchezo wa CAF kwa ngazi ya vilabu. Ni fainali ya CAF confederation cup, tukumbuke tu kuwa mara ya mwisho Yanga...
0 Reactions
5 Replies
598 Views
Aongea kwa uchungu sana kuhusu timu yake, amedhihirisha kuwa unaweza kuhama dini lakini sio timu unayoipenda. Msikilize
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Baada ya Arsenal kuchezea kichapo cha goli moja kwa bila dhidi ya Nottingham forest ni rasmi ubingwa wa ligi kuu uingereza msimu wa 2022/2023 unakwenda kwa manchester city ambaye anajumla ya point...
24 Reactions
281 Replies
12K Views
Na John Walter-Mbulu Hospitali ya Kilutheri Haydom Dayosisi ya Mbulu imeandaa mbio za nyika (HAYDOM MARATHON 2023) kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wasioweza kugharamia matibabu hospitalini hapo...
1 Reactions
6 Replies
563 Views
Aisee kwa hali ilivyo, hawa Yanga ni wazi watachukua Kombe la Shirikisho Africa mbele ya USM Alger Mwarabu mbovu kuliko hata wale Monastir. Kwa niliyoyaona kwenye Nusu Fainali wakipata ushindi wa...
14 Reactions
33 Replies
3K Views
Kabla ya Yanga kwenda South Africa, nilishauri Rais atoe ndege ipeleke washangiliaji badala ya tuzo ya 10 ml. Leo Rais ameridhia kutoa ndege kupeleka washabiki Algeria kwenye mchuano wa marudiano...
2 Reactions
6 Replies
434 Views
Ligi ya diwani! Ligi ya mbunge! Uzinduzi unaendelea.... Yaani badala ya kutunga sera ktk halmashauri na wabunge waishauri serikali na washirikiane kuwekeza katika michezo ili kuzalisha ajira...
1 Reactions
4 Replies
359 Views
Salaaam Wana JF Baada ya kila upande wa wachambuzi na mashabiki wa mpira kuchambua ubora wa wachezaji hawa king Mayele vs king Phili katika kufumania nyavu leo nimekuletea takwimu zao za msimu...
8 Reactions
108 Replies
7K Views
Nimekutana na video hizi kwenye mtandao wa Facebook, mmoja kati ya wachambunzi wa mpira huko Algeria alikuwa amepost kuongelea Yanga. Kuna habari zimenifurahisha na kunihuzunisha. Zilizo ni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nsikuchoshe na usinchoshe,tusichoshane!. Maswali yanayohitaji majibu kutoka Kwenu Makolo a.k.a Madunduka. 1. Je, kwa Mkapa anatoka Mtu au hatoki mtu? 2. Je,Robetinho anafaa au hafai? 3. Je...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuhusu kuchukua vikombe n.k hayo ni ya kimpira zaidi ila Simba SC ilikua Bora mno, hili pia limethibitishwa na nominees za NBC premium league kama nilivyoziorodhesha hapo chini. Bodi ya ligi na...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Msimu mwingine bila kombe kwa wanasimba. Kebehi ya mtani ni: tayari ushindi wa SIMBA SC ni ahadi ya mwenyekiti wake kuifunga YANGA. Mindset ya mwenyekiti huyu ndo naihoji, kisha najiuliza...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
AFCON BID 2027 (IPO NAMNA HII). Tanzania, Kenya na Uganda zimeungana kwa lengo la pamoja la kuandaa michuano ya Mataifa ya Afrika 2027. Afrika haijawai kuwa na maandalizi ya pamoja huko nyuma...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom