Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

shalom shalom Tusipangiane ipi timu ya kuishabikia, suala la uzalendo halipo kwangu. Natanguliza salamu za heri kwa timu ya USM Alger katika mbungi itakayopigwa hapo kesho.Kila la heri katika...
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Sisi kama wanasimba tunaungana na wananchi wote na familia ya mpira kuwatakia ubingwa mwema ndugu zetu Yanga kwa kuchukua ubingwa kibabe. Hakika tuna la kujifunza kutoka kwa WANANCHI.
9 Reactions
21 Replies
1K Views
Mchuano ni mkali Sanaaaaaa Hapa tickets 20,000 zimemalizika Sijahesabu zile 10,000 BMT , za mama , za mkuu wa mkoa wa dar
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Mkuu wa kituo anasema wamepata habari ya ki intelejensia kwamba mashaki wa yanga wamepanga safari ya kutoka Songea kuelekea Dar kushuhudia mechi ya Yanga na wapinzani wake. Kufuatia safari hiyo...
3 Reactions
14 Replies
949 Views
Habari Wana JF... Najua mko poa Leo nataka kuwasimulia kidogo kuhusu mtaalamu Fistoni Kalala Mayele.... Huenda yapo mengi ambayo unayajua lakini na Mimi pia mtaandika kile ambacho huenda hukuwahi...
7 Reactions
8 Replies
1K Views
Hiki ndio kikosi bora kuwahi kutokea cha wachezaji ambao wamewahi kucheza Tanzania. 1) Mwameja Mohamed Mwameja 2) Shadrack Joel Nsajigwa "fuso" 3) Mecky Mexime 4) George Magere Masatu 5) Bakari...
0 Reactions
55 Replies
2K Views
Kama mwanachama wa Simba tawi la mpira pesa nitaungana na Yanga kuleta heshima nchi hii. Wanalunyasi wenzangu tuungane pamoja katika hili. Tuweke historia kubwa kuleta kombe hili nchini mwetu...
4 Reactions
30 Replies
906 Views
Kwa mujibu wa kanuni za CAF ikiwa mchezaji atapata kadi 3 za njano kwenye mechi 3 mfululizo za mashindano au kadi nyekundu, adhabu yake itakuwa mara 2 hivyo atafungiwa mechi 2. Aucho alipata...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Kwani mfano ukisema tu wazi wazi kama Mimi GENTAMYCINE kuwa naitakia kila la kheri USM Algiers FC utapungukiwa nini? Acheni Uwoga na Unafiki. Jiaminini.
5 Reactions
14 Replies
832 Views
Mimi kwangu Jezi nzuri ni zile za Adidads kama Man U, Arsenal na Real Madrid. Kazi kwenu kwa uchambuzi wa Kina
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wale Mliyosoma Cuba mtakuwa mmeelewa. Uzi tayari.....
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Akimtolea uvivu Feisal Salum baada ya kiungo huyo wa Yanga SC kuomba kuchangiwa pesa kwa ajili ya kulipia gharama za kufungua jalada la kesi kwenye Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) Ni aibu...
13 Reactions
69 Replies
5K Views
Tunaambiwa pale England Manchester United imebeba Kombe x20, hapa Tanzania Yanga wanalo x29. Ukienda Uganda SC Villa wamebeba mara kadhaa hata pale Israel kuna Macabi Haifa wababe wa soka la nchi...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa...
15 Reactions
191 Replies
15K Views
Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu inabidi anunue tiketi 5000, kutoa hamasa kuelekea mechi ya Yanga vs USM Alger, ili ni jambo la kitaifa Simba Nguvu moja
2 Reactions
4 Replies
464 Views
Binafsi sikuwahi kuwaamini viongozi na wanasheria wa Yanga kwenye suala zima la mgogoro wa kimkataba na Feisal Salum kwa wasababu ya historia mbovu ya mikataba na wachezaji ambayo Yanga wamekuwa...
44 Reactions
151 Replies
9K Views
Mwanzoni mwa msimu Klabu ya Simba kupitia viongozi wake waliweka bayana malengo ya timu kuwa ni Nusu Fainali ya CAF Champions Leagu, kulirejesha taji la Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na lile la...
0 Reactions
30 Replies
1K Views
Kwa namna timu yetu inavyopitia kipindi kugumu Kwa ukosefu wa pesa za usajiri wa key players nashauri ule uwanja wa Bunju ubadilishwe matumizi kwenda kwenye kilimo cha matikiti then tutayauza Kwa...
9 Reactions
66 Replies
2K Views
Aliyekimbia mshahara wa mil 4 anawaomba walala hoi wa instagram wamchangie pesa za kupeleka kesi CAS; === Picha: Feisal Salum (Fei Toto) Feisal Salum katika ukurasa wake rasmi wa Instagram...
5 Reactions
209 Replies
14K Views
Tunaona wachezaji mbalimbali wakipewq adhabu kali kwa kutoa lugha za ubaguzi mfano Luis Suarez, John Terry na hata club ya Valencia kupigwa faini kubwa kwa mashabiki wake kumbagua Vinicius Iweje...
1 Reactions
12 Replies
942 Views
Back
Top Bottom